Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
1,262
2,191
SEHEMU YA KWANZA.

Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians.

Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe waliofika duniani kutoka sayari nyingine huwezi kuwasahau annunaki. Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).

Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.

Zecharia Sitchin, muhandishi na mtafiti na mtafsiri maandishi ya kale na msomi kutoka chuo kikuu cha London, anasema hawakuwa Mungu, japo walichukuliwa na kuabudiwa kama Mungu. Baada ya kufanya tafiti nyingi za maandiko ya kale aliitimisha kwa kusema kwamba, hawakuwahi kuwa Mungu, bali viumbe wa ajabu wenye nguvu waliokuja duniani kutoka sayari ya mbali Nibiru inayopatikana kwwnye mfumo wa sayari, ambayo uikaribia dunia kila baada ya miaka 3,500 ikiwa kwenye muhimili wake.

Creation of Human Race
Kutokana na ushahidi uliopatikana kutoka kwenye maandiko ya kale, inasemekana zaidi ya mamia ya maelfu ya miaka iliyopita walikuja viumbe waliofanana na Annunaki kwenye sayari ya dunia- Enki na Enlil, ambao walikuwa watoto wa Annunaki, katika kipindi hicho Anu alikuwa bado anaishi hadi millennia karibu na kuzaliwa kwa Jesus Christ.

Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.

Hebu turudi kwanza kwenye biblia na historia ya kuumbwa kwa mwanadamu. Historia ya Biblia ya uumbaji inatueleza kwamba, mwanaume na mwanamke hawakuumbwa kwa wakati mmoja, bali mwanamke alitolewa kwenye ubavu wa mwanaume (Adam), Adam akiwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani kutokana na maandiko ya Biblia, Kwahiyo Adam ndiyo mwanadamu wa kwanza kutokana na maandiko matakatifu ya Biblia takatifu. Je mwanamke alitolewaje kwenye ubavu wa mwanaume? (hapa imani ndiyo inatuongoza tuliache kwanza lilivyo).

THE CREATION OF MAN
Ushahidi wa kwanza kabisa, uliotafsiriwa na sumerians unaonyesha ya kwamba mtu (binadamu wa sasa) alitengenezwa/kuumbwa na Nefilim. Ushahidi huu umezua mkanganyiko kuhusu theory of evolution na Judeo-Christian tenets ambayo imeegemea kwenye Biblia, lakini ukweli ni kwamba ujumbe uliopatikana kutoka Sumerian texts, ndiyo unaoweza kudhibitisha hizo nadharia mbili.

Ukisoma kutoka epic of creation ya sumerians, imeelezwa kwamba uwepo wa mtu, ulitokana na uwepo wa Nefilim zama hizo, ambapo matukio mbali mbali yalirekodiwa, ,mfano tukio la Enlil na Ninlil, tukio lililotukia kabla hata ya uumbaji wa mtu, wakati ambao kwenye Nippur waliishi gods tu, vile vile maandishi haya yanaelezea kuumbwa kwa dunia na maendeleo ya mimea na maisha ya wanyama, hii inaweza kudhibitisha theories za mabadiliko (evolution) za sasa.

Sumerians texts zinaeleza kwamba, wakati ambapo Nefilim alikuja duniani kwa mara ya kwanza, sanaa ya kupanda mbegu za mazao, matunda na ufugaji wa wanyama ulikuwa bado haujaanza duniani. Vile vile Biblia inasema hivyo, kuhusu kuumba mtu kwa siku 6. Kitabu cha Genesis kimegusia hatua za kwanza za mabadiliko (earlier evolution stage):

No plant of the cleared field was yet on the earth,

No herb that is planted had yet been grown,

And Man was not yet there to work the soil.

Lakini vile vile Sumerians texts zote zinaeleza kwamba Miungu ilimtengeneza mtu ili afanye kazi yao. Creation of epic imelithibitisha hilo (Nukuu zote nitaziambatanisha zilivyo kwenye vitabu bila kuzitafsiri ili nisipindishe maana kwa msomaji):

I will produce a lowly primitive,

Man shall be his name.

I will create a primitive worker ,

He will be charged with the service of the gods,

that they might have their ease.

Neno mtu(man) limetokana na lugha ya Sumerians na Akkadians, ambalo lilitokana na maneno lulu (primitive ), lulu amelu (primitive worker), an awilum (laborer).

Turudi kwenye biblia, baada ya Mungu kumuumba mwanadamu, akampa bustani ya Eden aitunze na kuitawala dunia na vyote vilivyomo, lakini Adam na Eve wakamkosea Mungu kwa kula tunda la mti wa ufahamu. Mungu akasema tazama, mtu amekuwa mmoja wetu, kufahamu mema na maovu. Je huyo Mungu alikuwa anamwambia nani?, na Mungu anayezungumziwa hapa katika Sumerians ni Elohim (Annunaki).

Agano la kale limeweka wazi ya kwamba mtu hakuwa Mungu wala hakutoka mbinguni. Mtu wa kwanza aliitwa Adam kwa sababu aliumbwa kwa "adama" ambayo ina maana ya udongo wa dunia (mtu akifa tunasema ametoka mavumbini, amerudi mavumbini).

Adam aliumbwa katika picha na ufanano wa Muumba (Mungu), kuumbwa kwa ufanano huo, hakuachi wasiwasi wowote ya kwamba Mtu alifanana na Mungu kimwili, kimuonekano wa nje na ndani. Je mtu angewezaje kufanana na muumba wake? Mtu alitengenezwaje? (Majibu utayapata mbeleni).

Mnamo mwaka 1859 Charles Darwin alichapisha utafiti wake kuhusu evolution "On the Origin of Species by Means of Natural Selection, or the Preservation of Favoured Races in the Struggle for Life". Darwin kutokana na utafiti wake huo, alihitimisha kwa kusema kwamba, viumbe hai wote akiwemo mwanadamu ni matokeo ya mabadiliko(evolution by natural selection). Mwanzoni kanisa lilikuja juu kwa kumpinga lakini badae kadri wanasayansi na watafiti walivyozidi kutoa machapisho yao, kanisa likakubaliana.

Lakini je tumetokana na apes, kama ni hivyo mbona wa sasa hawabadiliki. Evolution kwa ujumla inaweza kuelezea matukio yaliyosababisha mabadiliko ya maisha na aina mbali mbali za maisha zilizokuwepo duniani, kuanzia kwenye kuumbwa kwa mtu, lakini evolution haiwezi kuelezea kuhusu uwepo wa binadamu wa sasa (modern man/Homo sapiens) na haina udhibitisho wowote wa kuonyesha jinsi mabadiliko ya ghafla kutoka Homo erectus kwenda Homo sapiens yalivyotokea.

Hominid ya genus Homo ni matokea ya evolution, lakini Homo sapiens ni matokea ya tukio la mabadiliko na mapinduzi ya haraka sana. Homo sapiens(binadamu wa sasa), ilitokea miaka 300,000 iliyopita, muda ambao ni wa karibu sana.

Watafiti na wanasayansi hawana maelezo ya nini kilitokea, kupelekea mabadiliko ya ghafla hivyo na kutokea kwa binadamu wa sasa, lakini jumbe kutoka sumerians na Babylonian zimeelezea. Agano la kale pia limeelezea.

Homo sapiens-modern man-aliletwa na miungu wa kale (ancient gods).

Aliletwa kivipi? na wapi?. Endelea kufuatilia hapa hapa.

N.B. Andiko hili linaweza lisiishe karibuni kwa sababu nataka niweke kila aina ya ushahidi ili kudhibitisha ukweli huu.

IMG_20220129_120525_178.jpg
 
View attachment 2099862
Kaka hii naomba unitag kwenye miendelezo
View attachment 2100572
 
Vitabu kutoka Mesopotamia vimeweka wazi ya kwamba Annunaki alimtengeneza binadamu wa sasa kwa tabu sana akifanya majaribio zaidi ya mara 40 usiku na mchana. Baadhi ya mistari kutoka kwenye vitabu hivyo imeweka wazi:

For 10 periods they suffered the toil,

For 20 periods they suffered the toli,

For 30 periods they suffered the toil,

For 40 periods they suffered the toil.

Maandiko ya kale na vitabu vilitumia neno "ma" kuonyesha muda(period), neno period limetafsiriwa kama mwaka (year). Annunaki alifika duniani miaka 400,000 iliyopita na utengenezwaji wa binadamu wa sasa ulitokea miaka 300,000 iliyopita. Nefilim (Annunaki) akutengeneza mammals, primates wala hominids bali homo sapiens(sisi binadamu wa leo). Adam wa kwenye biblia hakuwa genus ya Homo, bali Homo sapiens wa kwanza.

Nefilim alikutana na kiumbe mtu mwenye kufanana na mnyama duniani, ukisoma epic of Gilgamesh inaelezea Enkidu kiumbe aliyewekuwepo kabla haja sitarabika alikuwaje:

Shaggy with hair is his whole body,

he is endowed with head like a woman.

He knows neither people nor land,

Garbed he is like one of the green field,

With gazelles he feeds on grass,

With the wild beasts he jostles,

at the watering place.

With the teeming creatures in the water

his heart delights.

Viumbe hao wa apes walikuwa na manyoya, nusu mtu nusu mnyama, hawakuwa na ufahamu kuhusu watu au ardhi, walikula majani, na waliishi na wanyama. Kwa maneno mengine ni kwamba aliwalinda wanyama wenzake wasishambuliwe na kuuliwa na alien.

Baada ya Nefilim kuwa amefika duniani na kukumbana na tatizo la nguvu kazi ndipo akapata wazo la kumtengeneza mtu kutoka kwenye hao viumbe(tutaona mbeleni) ili awe kijakazi wake wa kutafuta na kuchimba dhahabu.

Hapa chini ni picha ya kwanza iliyotolewa kwenye michoro ya vitabu vya kale ikionyesha apes human like being walivyofanana.

IMG_20220129_122955_304.jpg

bear-human-hybrids-olaus-magnus-p-627-650-416-65.jpg

xy2-2658560.jpg
 
Vitabu kutoka Mesopotamia vimeweka wazi ya kwamba Annunaki alimtengeneza binadamu wa sasa kwa tabu sana akifanya majaribio zaidi ya mara 40 usiku na mchana. Baadhi ya mistari kutoka kwenye vitabu hivyo imeweka wazi:

For 10 periods they suffered the toil,

For 20 periods they suffered the toli,

For 30 periods they suffered the toil,

For 40 periods they suffered the toil.

Maandiko ya kale na vitabu vilitumia neno "ma" kuonyesha muda(period), neno period limetafsiriwa kama mwaka (year). Annunaki alifika duniani miaka 400,000 iliyopita na utengenezwaji wa binadamu wa sasa ulitokea miaka 300,000 iliyopita. Nefilim (Annunaki) akutengeneza mammals, primates wala hominids bali homo sapiens(sisi binadamu wa leo). Adam wa kwenye biblia hakuwa genus ya Homo, bali Homo sapiens wa kwanza.

Nefilim alikutana na kiumbe mtu mwenye kufanana na mnyama duniani, ukisoma epic of Gilgamesh inaelezea Enkidu kiumbe aliyewekuwepo kabla haja sitarabika alikuwaje:

Shaggy with hair is his whole body,

he is endowed with head like a woman.

He knows neither people nor land,

Garbed he is like one of the green field,

With gazelles he feeds on grass,

With the wild beasts he jostles,

at the watering place.

With the teeming creatures in the water

his heart delights.

Viumbe hao wa apes walikuwa na manyoya, nusu mtu nusu mnyama, hawakuwa na ufahamu kuhusu watu au ardhi, walikula majani, na waliishi na wanyama. Kwa maneno mengine ni kwamba aliwalinda wanyama wenzake wasishambuliwe na kuuliwa na alien.

Baada ya Nefilim kuwa amefika duniani na kukumbana na tatizo la nguvu kazi ndipo akapata wazo la kumtengeneza mtu kutoka kwenye hao viumbe(tutaona mbeleni) ili awe kijakazi wake wa kutafuta na kuchimba dhahabu.

Hapa chini ni picha iliyotolewa kwenye michoro ya vitabu vya kale ikionyesha apes human like being walivyofanana.
@Norshad,Dumas the terrible,ibn
 
SEHEMU YA PILI.

Wanyama waliokuwepo(Homo erectus), kilikuwa ni kikwazo kikubwa sana kwa Nefilim kuweza kutimiza mpango wake. Hivyo aliitaji kutengeneza kiumbe mwingine atakayeweza kutembea, kuinama na kusimama kama yeye, mwenye akili zaidi, mwenye uwezo wa kutafsiri mambo kwa haraka na kutekeleza maagizo yake. Hali hii ilimfanya kutengeneza kiumbe mwingine (binadamu wa leo) kutoka Homo erectus-Homo sapiens(modern man) kwa kutumia "genetic manipulation".

Kutoka Summerians imethibitishwa kwamba Annunaki alikuwa na tecknolojia za hali ya juu, aliweza kufanya space travel zaidi ya miaka 450,000 iliyopita na walikuwa wame endelea sana kwenye tasnia ya sayansi ya maisha kuliko sisi binadamu wa leo. Vile vile walikuwa na uelewa mpana kuhusu kuunganisha chromosomes na kupata genetic results kwa kutumia cloning, cell fusion, genetic transplant na njia nyingine ambazo hatuzijui sisi. Sio kwamba waliweza kufanya hivyo kwenye maabara tu, bali hata kwa viumbe hai wengine.

Uthibitisho wa kutumia mbinu hizo umethibitishwa kwenye vitabu vya kale, kimoja wapo ni Berossus, ambacho kimeweka wazi ya kwamba deity Belus (lord) ambaye kwa neno lingine ni Deus(god) aliweza kutengeneza viumbe wengine tofauti kwa kutumia njia mbili:

Njia ya kwanza.
Viumbe(watu) walitokea wakiwa na mabawa mawili, wengine manne na sura mbili. Walikuwa na mwili mmoja ukiwa na vichwa viwili, kimoja cha mwanaume na kingine cha mwanamke, walifanana viungo vya mwili, wakiwa na vya kike na kiume.

Njia ya pili.
Wengine walionekana wakiwa na miguu na pembe za mbuzi. Wengine walikuwa na miguu ya farasi, wengine walionekana wakiwa na miguu ya farasi nyuma ila kwa mbele ni sura mtu wakifanana hippocentaurs, huku wengine wakiwa na mikia ya samaki. Kiufupi walitengenezwa viumbe wengine wengi wa kila species ya mnyama.

Inaelezwa kwamba kabla ya kumtengeneza mtu kwa mfano wake, Nefilim alifanya majaribio mengi ya kutengeneza viumbe tofauti tofauti(ape-man-animal).Baadhi ya viumbe hao waliishi muda mfupi huku wakishindwa kuzaliana (reproduce).

Kupatikana kwa bull-men na sphinxes katika Near East ya kale inaweza kuthibitisha kwamba actual creatures walitokana na maabara za kibaiologia za Nefilim kama ilivyo andikwa kwenye vitabu vya sumerians.

Sumerians texts pia zinasema kwamba Enki na Ninhursag (mother goddess) walitengeneza deformed Humans ili awe kijakazi wao. Mother Goddess anaonekana akimuuliza Enki:

"How good or how bad is Man's body?

As my heart prompts me,

I can make it's fate good or bad".

Sumerians texts zinasema kwamba katika kujaribu jaribu kutengeneza mtu, Mother Goddess alizaa mtu ambaye asingeweza kuzuia mkojo, mwanamke ambaye ansigeweza kuzaa mtoto, kiumbe asiye na viungo vya mwili vya kike wala kiume. Kiujumla zaidi ya deformed humans sita zilitolewa na Mother Goddess.

Enki aliadhibiwa na Nefilim kwa kutoa kiumbe asiye sahihi. Baada ya majaribio hayo, akaja kupatikana kiumbe waliomkusudia (Tutaona mbeleni ilikuwaje na waliweza vipi).

Hapa chini nimeambatanisha picha ya kwanza inayo onyesha apes-humans, waliopatikana wakati wa majaribio yao.

Norshad
IMG_20220129_123023_040.jpg

360_F_368119916_sxtOz2KnXyOJqYobv8h7N13VF6tfUmOC.jpg

centaur.jpg

the-centaurs_0.jpg

xy2-2658560.jpg

xy2-2658560.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom