Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kila siku najuiliza nini chanzo kkikuu na kinacho sababisha rushwa isipingue badala yake imekuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, kama wizi ilivyo kwa watumishi wa umma wezi huutwa wajanja...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Kuna kampuni moja imesajiliwa visiwa vya Belize inajulikana kama Kilimanjaro Capital Limited. Ukiiangalia kwa haraka haraka waweza fikiri ni kampuni ya wazawa ya Kitanzania wenye malengo ya kuleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejawa na furaha ya ajabu mchanawa leo kwa mara ya kwanza nimepokea barua pepe kutoka international criminal court(ICC). Mnamo tarehe 27/08/2013 nilituma barua pepe kwenda ICC nikiomba...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Ice cold beer plz......... mtanisamehe sehemu nilizo changanya lugha. usawa wa kijinsia maana yake ni kwamba wanaume na wanawake ni sharti wapate same treatment unless there is sound...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari za mchana, Naomba Bunge letu ifanye kikao maalum ya kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi kuhusu Lt. Col. Seromba. Watanzania wanataka kujua ukweli. Watanzania, lazima tujue huyo Lt...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
  • Closed
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la...
2 Reactions
244 Replies
19K Views
Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo...
0 Reactions
85 Replies
14K Views
Nimekaa na kufikiria ya kwamba: Mara nyingi tunawaambia wenzi wetu tunawapenda, na pia wakati wa kufunga ndoa tunatoa viapo na mwisho wa siku tunakabidhiwa 'a piece of paper' kuashiria muunganiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jeshi letu lina udhaifu mkubwa katika 'information war'. Nina mifano miwili ya haraka haraka: 1. Vijana wetu waliposhambuliwa Darfur hivi karibuni, walijibu mapigo na kuua attackers wengi tu...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
I am not sure if this topic have been posted in JF. If you think you know something about Pyramids, may be you are Wrong. Just watch this Video and you will come out with many things connected...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Tumeusikia mkakati wa serikali ya Tanzania wa kumaliza sintofahamu zilizojitokeza baina ya Rais wetu JK; na Paul Kagame; Rais wa Rwanda kupitia kwa Waziri Mkuu Peter Pinda jana bungeni alipokuwa...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu wana JF. Salaam kwenu ....'Tumevamiwa; Mwendawazimu ametuvamia, sasa tutampiga. Nia ya kumpiga tunayo, Uwezo wa kumpiga tunao na sababu ya kumpiga tunayo'. Ndugu, hayo yalikuwa ni maneno...
11 Reactions
76 Replies
9K Views
Nilikuwa siamini, lakini nimesoma maeneo mengi ya kimataifa, inasemakana Tanzania hosts not less than 20,000 twenty thousand Rwandans/Rwandese only in NGARA,KIBONGO (KIGOMA REGION) AND KAGERA...
9 Reactions
48 Replies
9K Views
Kabla ya RPf kuingia madarakani kwa Mtutu , kulikuwa na mazungumuzo ya Arusha muda mrefu yale Mazungumzo ambayo madhumuni yake yalikuwa kumaliza tofauti zilizopo kati ya Wananchi wa Rwanda, lakini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, Habari nilizopata hivi punde kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon kupitia kwa Mshauri wa UN katika ukanda wa Maziwa Makuu, Bi Mary ROBINSON...
10 Reactions
71 Replies
9K Views
  • Closed
Wana Jamiii Nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda.....siamini ninachokiona machoni mwangu....kuanzia jana tarehe 1/09/2013 serekali ya Rwanda imeongeza ushuru wa barabara ( ROAD TOLL)...
11 Reactions
387 Replies
47K Views
Ndugu wanaJF, Mimi naona zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu linaweza lisiwe na TIJA kwajinsi linavyoendeshwa. Kuwaondoa wahamiaji haramu nchini zoezi hili lazima lifanyike mikoa yote wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
René AbandiSuppose the civilians killed by the DRC Govt in Rumangabo were Killed in Goma by the M23. CONGODRC NEWS Why? Why? Why this Injustice in Congo? Every one must check this Massacre...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
  • Closed
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesitisha wapiganaji wake kwenda likizo na kuwaita waliokuwa likizo kurudi makambini. Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa vya kiinteligensia...
22 Reactions
150 Replies
19K Views
Back
Top Bottom