Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
The knights of Malta, ni kikundi cha kanisa katoliki ambacho kilianzishwa kipindi cha middle ages. Ukiangalia classification yake kimegawanyika katika makundi makuu 3 kama nilivyo quote hapa...
5 Reactions
7 Replies
5K Views
Mpaka leo officially sijui ni nani alilipa mabomu yale ya Soweto na pale kanisani Olasiti! Je kijana Ambrosi kesi yake imeishia wapi? MODs heshimu free speech!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja ya jukumu kubwa la wanajeshi ni ulinzi wa mipaka ya nchi na hasa kukabiliana na uvamizi wa kijeshi kutoka mataifa mengine Hata hivyo ni ukweli kuwa nchi yetu kuingia vitani ni tukio la nadra...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Ndugu wana jf nashawishika kuamini hawa kina sheikh ponda na wenzake wanajua ud.dhaifu wa Rais kikwete ndo mana fujo zote wamezileta kipindi alipoingia madarakani. Nani aniambie kipind cha benja...
8 Reactions
283 Replies
30K Views
Two competitors, Both are well prepared with equal chance, Is win/loose God's will ? I believe it is coz if He want you to win definetely you can't loose and this goes along with my second belief...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umaru Dikko wakati huo akiwa waziri wa uchukuzi nchini Naijeria Umaru Dikko alivyo sasa Mkasa mzima huu hapa........... Huyu alikuwa ni Waziri wa uchukuzi katika serikali ya Naijeria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Kila siku ni TISS tu ina maana tanzania tuna idara moja tu ya usalama??? Hivi hawa wakizidiwa inteligensia nani anawa back up?? Kuna idara ngapi??? Hivi idara gani ina utaalamu wa mambo ya...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
IN EAST AFRICA ESPECIALY KENYA,TANZANIA AND UGANDA, KUNA PUBLIC FIGURES AMBAZO NI VYEMA WANANCHI WA NCHI HIZI TATU WAWAFAHAMU......KATI YA WATU HAO JOSEPH KONY WA UGANDA NI VYEMA WOTE...
0 Reactions
59 Replies
16K Views
Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana...
3 Reactions
56 Replies
11K Views
Ivi kwa nini idadi kubwa ya wachawi ni ni wanawake wengi hususani wazee na siyo wanaume kuna uhusiano gani hapa na je? Kwa nini vichaa wengi ni wanaume kuliko wanawake hili ni duniani kote?
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habarini?? Nadhani wengi wetu mmekwisha sikia hii habari ya chumaulete hasa kanda hizi za pwani kama tanga na pwani Hivi majuzi nilikwenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anakibanda cha Mpesa...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
wana JF, katika utafiti wangu mdogo, nimeona kuwa kuna watu wanaopendwa sana nje ya familia zao na kuonekana wakarimu, watoa misaada ... mara nyingi hawako hivyo ndani ya familia zao. Japo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF ivi ni kwa nini idadi kubwa ya wachawi duniani hata hapa tanzania wanao kamatwa ni wanawake hususani wazee na ni vip? ididadi kubwa ya wtu wanaougua vichaa huwa ni wanaume?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nionavyo mimi, watanzania wengi ni waoga wa utafutaji maisha. Wengi wanapenda maisha ya dezo...kukaa tu na kusubiri kufanyiwa michongo au maisha ya gwelele. Wanapenda vitu vikubwa na masifa ya...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari wana inteljensia. Naomba kufahamu sababu ya 1. Kwa nini bullet proof inavaliwa kifuani tu na kuacha kichwa kikiwa vurnerable na risasi? 2. Kwa nini mtu anae shoot mara nyingi analenga...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
By Kelsey D. Atherton | Jan 22, 2014 Modular Advanced Armed Robotic System (MAARS) MAARS is a remote-controlled gunbot. It can be fitteed with machine guns and...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
habari za leo wanaforum sasa katika hii THREAD tujaribu kumshauri Rais wetu MUH. JAKAYA M.KIKWETE, tuongelee yale ambayo hawezi kuyaona kwa sababu bunge liko hoi, yanafanywa na watendaji...
0 Reactions
449 Replies
47K Views
Nimekua nikishangazwa mara nyingi rais wetu anapokuwa akihutubia mikutano ,semina,warsha nk huwa anakuwa na walinzi wawili hii nikwanini?wakati tunaamini nchi yetu ni ya amani ,,
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu. Binadamu anaouwezo wa...
5 Reactions
188 Replies
16K Views
EMAU ENGLISH MEDIUM CHATO GEITA. Salama wana jf,tunaweza kuonekana wambeya lakini ni hali halisi ya maisha ya watumishi waalimu na wasio waalimu katika jumuiya ta EMAU.Kitu kizuri ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom