Teknolojia ya kucheza filamu na wanyama

BOGABICHI

Member
Jan 16, 2014
89
95
Habali wana jf
hil jambo huwa linanifikilisha sana hivi ni sayansi gani wanayoitumia wenzetu kucheza filamu na wanyama
mfano wa filamu hzo
ANACONDA
KINGCON
PILONA(samaki wa bahalin)
wana wa trein au nimicomputer
KARIBUNI WAUNGWANA MCHANGIE CHOCHOTE
 

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,116
2,000
kingkong yule ni mtu kaveshwa kama nyani.afu wanatrack zile movements zake.baada ya hapo anachorwa nyani kwenye pc (3d) wanalink na zile movement walizotrack kwa yule nyani m2.
nakumbuka nimewah kuona tutorial ya kingkong ila sina uhakika kama ni official
 

ruralofficer

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,022
2,000
ni kweli mkuu pia yule dada aliyecheza kweny kingkong alihojiwa mpka akasema alivyoiona aliogopa coz iltumka technologia
 

BOGABICHI

Member
Jan 16, 2014
89
95
Asante sana wakuu Kwa kunijuza lakini
vp kuhusu nyoka kuwa washiriki nayo pia ni technology
Maana JENIFALOPOZ na wenzie walitaabika xana kwenye move ya ANACONDA
 

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,505
2,000
kuna muvi inaitwa SAVAGE na nyingne PREY dah! Humo ndani ni kuliwa na Simba mwanzo mwisho!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom