Binadamu wa kwanza kula chakula na kunywa maji

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Habari,

Hivi huyu binadamu wa kwanza kunywa maji pamoja na kula chakula, alifundishwa na nani? na siku hiyo ilikuaje? Alijuaje kwamba nikijisikia hivi ninatakiwa nitafute chakula? nikijisikia hivi natakiwa nitafute maji?

Ni moja kwa moja alikula chakula? au kuna vitu vingine alivijaribu na vika-mdhuru?

NAWASILISHA.
 

Van dick

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
223
170
Ww ulipozaliwa kuna aliyekufundsha kulia???kwann ulilia?c ulijua dunia kchaa!nan aliyekufundsha kukaa Na baadaye kutambaa hata kusmamaa Na hatimaye kutembea Na kukimbia??????????!!!!!!!!!!!?? Vvvvbb?????think twice think great.
 

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Maswali Ya Cheke Cheya?
Kwanini Uichoshe Brain Yako Kumamanua Mizigo Ya Maswali Kwa Hayo Mifano Si Ipo Kwanin Utake Kujua Kwa Mfano Alie Kalia Moto Mara Ya Kwanza Alijisikiaje?
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
12,593
2,000
Kkkkk kwanza alianza kutafuna Big G ndio ikamfanya asikie njaa zaidi na kuamua kupika wala na samaki moto alikwenda kuomba kwa JIRANI.
Nalog offf
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,341
2,000
mmh hii mada ila walakini kiasi fulani, kwakuwa kwenye misahafu tumeambiwa ilikuwaje, lakini kwenye historia pia imeelezwa vizuri tu
 

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,207
2,000
Habari,

Hivi huyu binadamu wa kwanza kunywa maji pamoja na kula chakula, alifundishwa na nani? na siku hiyo ilikuaje? Alijuaje kwamba nikijisikia hivi ninatakiwa nitafute chakula? nikijisikia hivi natakiwa nitafute maji?

Ni moja kwa moja alikula chakula? au kuna vitu vingine alivijaribu na vika-mdhuru?

NAWASILISHA.


Marehemu baba yangu aliniamba his great grand father alikuwa ni mtu mdadisi sana katika jamii na pengine alikuwa na akili sana shinda hata Eistein. According to legends, baba aliniambia kuwa babu yake alijisikia mtu wa raha sana ile siku japo kuna wenzake walihisi angekufa baada ya kula chakula kilichopikwa na kuungwa. Cha kushangaza baada ya siku kupita na yeye bila kudhuhurika watu wakamkimbia na kumwacha peke wakihisi yeye ni shetani, hivyo akarudi mapangoni kuendelea kula mizizi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom