Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
kuna mtu aliniambia kwamba sheria za dini na serikali zinatufumba tusiwe wabunifu, nyie mnaonaje ili uwe mbunifu ufanyaje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni kujua kama mwezi (moon) unakua na sehemu maalumu yakutokea, mfano jua linatoka mashariki na kuchwea magharibi. Vipi kuhusiana na mwezi, je, kuna mwelekeo wowote?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naitwa japhethy, kunasiku nilkuwa naota juwa katika mji mmoja wa Spain unaitwa Bercelona, cha ajabu nilipokuwa naliangalia juwa kikatoka kitu kwenye juwa na kunipiga katoka paji langu la uso...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Kama tunavyofahamu maji ni sehemu kubwa ya sayari ambayo tunayoishi. Je, naomba tufahamishane kama maji tunayotumia ni yale yale tokea Dunia inaumbwa, au kuna maji mengine...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Greetings… (Nitaandika kwa English sababu ya urahisi wa maneno ya Kingereza) So it is like this, let us put God's presence and absence debate apart first of all, I'll be referring to the...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Having grown up in a strongly catholic family, I have had to, and still do, endure long sermons and lectures about how god creates life, and maintains it by imparting inherent morals and ethical...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Eavesdropping is secretly listening to the private conversation of others without their consent, as defined by Black's Law Dictionary. US and UK spies hacked SIM card manufacturer to steal codes...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kiambatanisho kinajieleza vizuri.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IMEBAINIKA! Mapambano na wahalifu wanaosadikiwa ni magaidi kwenye Kitongoji cha Amboni jijini Tanga, yaliingia sura nyingine baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuvujisha siri tano...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
1. Wewe Oluoch Ezekia na msajili wa vyama vya wafanyakazi mama Uiso mnahujumu chama cha CWT. 2. Umemwajiri Godwin Monyo ambaye ni ndugu wa msajili (mama Uiso) kuwa mtaalamu wa mifumo ya kompyuta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kifo kifikapo lazima utaabike na kuhangaika sana . Je hali Hii kwa nini hutokea?
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Sijui wangapi wamemsikiliza Dr. David Peter Beter. Katika audio letter no. 45,topic no. 2. Anasema Jimmy Carter aliuawa 22 April 1978, He was replaced by a robotoid. Sikliza audio no 46 na 47...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
A recent medical study, published by Dr. Amanda Black, has discovered a very surprising and controversial cure for AIDS. Since the 1980's, doctors and scientists worldwide have sought a cure for...
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Spies lead the way in Big Powers' second scramble for Africa In Summary A South African assessment of its security apparatus revealed that more than 140 foreign spies operate in the country...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna jambo nimeona mtu anasumbuliwa na mazingira ya kiintelijensia anafuatwa kila aendako na kumwagiwa madawa kwa siri. Anasema anaonja kabisa na kuhisi kumwagiwa bila yeye kuwaona. Kila nguvu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Date: 19 October, 1986 Samora Machel On 19 October 1986, the Mozambique President, Samora Machel and thirty-three other passengers, died when their Tupolev 134 plane crashed into the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
-- Kilichojificha nyuma ya pazia katika hili: Hoteli nyingi zenye hadhi ya kitalii jijini Nairobi zinamilikiwa na Kampuni za KIjerumani na Kiisrael sasa wegeni wengi wanafikia hoteli hizo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeangalia yule aliyejiita gaidi wa bongo rangi ya nguo ni km nyeusi na wale wachinjaji wa ISIS ni km nyeusi pia na lile likitambaa lao mh!! Hii haina maana yoyote? Wenye tetesi waweke hapa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, mimi nikifika mto wami wakati naenda au narudi toka dar huwa nanyamaza mpaka gari livuke. Wewe mwenzangu wapi pana kunyamazisha?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ningependa kujua kuhusu malengo hasa ya hivi vikundi vya kigaidi. Vikundi vingi mfano Boko haram, ISIS na Alshabab vinadai kuwa lengolao kuu ni jihad na kusimamisha dola ya kiislamu. Hata...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom