Number 12; Umuhimu wake kimaisha na kidini ni upi?

Number 12; Umuhimu wake kimaisha na kidini ni upi?

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
Wadau, naomba tuelimishane juu ya namba 12. Naona inajirudia kwenye mambo kibao yenye umuhimu kimaisha na kidini. Ni nini kitu maalum kuhusu hii namba? Hapa kuna Mifano.

1. Mwaka una miezi 12

2. Zodiac symbols zipo 12

3. Muda unapimwa katika mafungu 2 ya saa 12.

4. Mzunguko wa miaka kwa nchi za Asia (haswa China) ni katika mafungu ya miaka 12

5. Kalenda ya Kichina inatumia alama za wanyama aina 12

6. Kwenye Abrahamic faiths; Watoto wa Yaakub (Jacob) walikuwa 12

7. Ishmael (mwanaye Ibrahim) pia alikuwa na 12 princes

8. Yesu alikuwa na wanafunzi 12

9. Msichana wa Kiyahudi anaanza kuwajibika na Torah (Bat-Mitzvah) akifikia umri wa miaka 12

10. Yerusalem mpya toka pepono pia itakuwa na Ma-geti 12

Umuhimu wa namba 12 ni UPI? Huenda pia kuna mifano MINGI kutoka fani zingine za maisha yetu na vyema ukatujulisha​
 
mmhh tatizo ukisema namba 12 kuwa ina kitu fulani...pia kuna namba nyingine zinatumika ushawahi kujiuliza?? mi naona huenda ni coincidence tu
mfano..namba 7
kuna myth kuwa paka ana roho 7
mabara duniani yapo 7
matundu katika mwili wa binabamu yapo 7
katika biblia jamii ya waizrael walitabiriwa miaka 7 ya njaa
inasemekana tabaka za mbingu zipo 7
watoto walio wengi(sio wote) huanza shule na miaka 7
Mungu alipumzika siku ya 7 baada ya kaz ya kuumba
wazaz wakikorofishana wakatengana sheria nyingi zinataka baba amchukue mtoto baada ya miaka 7

sasa turudi kwenye 40..hapo pia kuna mengi
mvua ya gharika ilinyesha siku 40
wanasema za mwizi ni 40
ili uwe rais wa jamhuri yetu shart. uwe na kuanzia miaka 40
pia wazungu wana msemo wao kuwa life starts at 40
kwa waisalamu mtume alikabidhiwa utume akiwa na miaka 40
kwa wakristu yesu alipaa siku 40 baada ya kufufuka
mtu akifariki hukumbukwa kwa visomo maalum baada ya siku 40

labda wengine wanaweza kuongezea kwa maarifa yao ila haya manamba siyo ya kuzingatia saaanaaa
 
Mkuu binadamu tuna matundu saba?
 
najua umeegemea kuwa hata ngozi ina matundu mengi yasiyo na idadi...nimelenga matundu makubwa..kuanzia sirini...masikio pua na mdomo...jumlisha...kama mwenzetu yamezidi basi funguka hapa
Ninayo 6 tuu mkuu ilo la 7 sina
 
Mdomo,pua mtundu mawili,masikio matundu 2,sirini matundu 2
 
Sijui..!? Hivi mwanaume na mwanamke wana matundu sawa!?

we unaonaje mkuu?? kwa kuwa umesahau na wanaume tuna matundu mawili sirini au?? au tafsiri yako ya tundu labda mwenzetu ni ipi?? shirikisha ubongo basi
 
Yesu hakupaa siku ya 40 ila alifunga siku40..akapaa siku ya 3 baada ya kufufuka
Nadhani wewe sio msomaji mzuri wa HOLY BIBLE. Kama sivyo basi utakuwa umechanganya makaratasi yako ya kumbukumbu
 
mmhh tatizo ukisema namba 12 kuwa ina kitu fulani...pia kuna namba nyingine zinatumika ushawahi kujiuliza?? mi naona huenda ni coincidence tu
mfano..namba 7
kuna myth kuwa paka ana roho 7
mabara duniani yapo 7
matundu katika mwili wa binabamu yapo 7
katika biblia jamii ya waizrael walitabiriwa miaka 7 ya njaa
inasemekana tabaka za mbingu zipo 7
watoto walio wengi(sio wote) huanza shule na miaka 7
Mungu alipumzika siku ya 7 baada ya kaz ya kuumba
wazaz wakikorofishana wakatengana sheria nyingi zinataka baba amchukue mtoto baada ya miaka 7

sasa turudi kwenye 40..hapo pia kuna mengi
mvua ya gharika ilinyesha siku 40
wanasema za mwizi ni 40
ili uwe rais wa jamhuri yetu shart. uwe na kuanzia miaka 40
pia wazungu wana msemo wao kuwa life starts at 40
kwa waisalamu mtume alikabidhiwa utume akiwa na miaka 40
kwa wakristu yesu alipaa siku 40 baada ya kufufuka
mtu akifariki hukumbukwa kwa visomo maalum baada ya siku 40

labda wengine wanaweza kuongezea kwa maarifa yao ila haya manamba siyo ya kuzingatia saaanaaa

ni kweli kabisa mkuu Doyi, mimi pia nazani ni coincidence tu.
mf. namba 3.

(1)petro alimkana yesu mara 3

(2)wanafunzi walimwambia yesu tujenge vibanda vi-3

(3)yesu alifufuka siku ya 3

(4)shetani alimjaribu yesu mara 3

(5)pale msalabani jumla walikuwa wa-3

(6)kuna Mungu baba, Mwana na roho mtakatifu (jumla wa-3)

(7)kutoka kwenye jua, dunia sayari ya 3

(8)africa yetu ni ulimwengu wa-3

(9)milango mingi uswahilini kwetu imeandikwa piga hodi mara 3

(10)box ya condom mara nyingi ndani kunakuwa na mipira mi-3

(11)mguu pande, mguu sawa, nyuma geuka, moja mbili tatu

(12)siku za kazi zinaanza juma-3

(13)wengi wetu tukiwa faragha floor fit six kwa bed chenga nyingi kama PERE lakini tunaishia kufunga goli 3

(14) EXECUTIVE, JUDICIARY and PARLIAMENT kwenye serikali ndiyo miamba mikuu mi-3

(15)mfanyakazi wa ndani= beki-3

(16)advanced level tunachukua masomo ma-3

(17)baba, mama na watoto wanaunda familia (jumla nguzo 3)

(18)mdudu ana sehem za mwili kuu 3

(19)kuna baadhi ya watu wanadai suruhisho ni serikali 3

(20)mpaka kichwa kinauma sasa ngoja nikanunue dawa 3

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Labda umehesabia na kitovu mkuu lakini kiuhalisia binadamu ana matundu sita
 
yataje hayo sita mkuu..labda na mimi utanielimisha kitu
Pua,masikio matundu ma 4,mdomo la 5, mnduku la 6 hiyo mwanaume..kwa mwanamke linaongezeka moja.sawa mkuu
 
Pua,masikio matundu ma 4,mdomo la 5, mnduku la 6 hiyo mwanaume..kwa mwanamke linaongezeka moja.sawa mkuu

duuuhh siamii tangu niulize zimepita siku kadhaa bado unaendelea kubisha na umeshindwa kufikirisha akili yako japo kidogo tu..haya basi mwenzeti utakuwa kiumbe wa ajabu sana..kwa kuwa uume wako hauna tundu..ryt?? haya haya mkuu wamekusoma wadau
 
Back
Top Bottom