Share your experience with me...it has happened to me

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,819
8,884
It has happened to me several times. Ni hivi, I may be sleeping hata kwa mda mfupi. Ghafla nahisi Kama nimeishiwa nguvu kabisa usingizini. Najiona Niko helpless na in the process nakuwa na woga mkubwa sana. Extreme fear. Yaani hata kuinua mkono siwezi, hata kushika shuka au chochote siwezi. Ila my mind inakuwa very sharp Kabisa in my own imagination na Najiona Kama mtu kanibana hataki hata nitikisike. Najaribu kadiri ya uwezo wangu wote kuinuka nashindwa. Naanza kuhisi Kama sitaamka tena. I feel like giving up on life completely. Nikishtuka nahisi nimechoka sana. Lakini ule uchovu unakuwa subdued na sense of victory kwamba nimeamka..after giving up.... In the end Mara nyingi na kuwa muoga wa kulala tena. It can happen to me anytime..nikiwa nimekula au sijala. Usiku au anytime nimepumzika....Ila kiukweli nikiwa usingizini hii Hali ikanipata nakuwa muoga sana na naona ndo mwisho wa maisha yangu. Siumii ila sometimes baada ya hii Hali kichwa kinaweza kuuma. Ila mara nyingi naogopa hata kulala for fear kwamba naweza pata hii Hali tena.

Sijawahi kuihusisha hii Hali na nguvu za Giza au uchawi maana kiukweli Mimi I don't trust in uchawi.

kuna mwenye hii experince Kama Mimi? Can somebody share his or her thoughts on this?
 
Back
Top Bottom