habari zenu,
ningependa kufahamu wangapi wameshakisoma hicho kitabu na walitumia mbinu gani kukielewa na waliokota nini humo,Mimi ninayo copy yangu Ila inaniwia ngumu sana kuelelewa
Nimeota jua kali limewaka usiku likatembea kwa haraka likaenda kugonga mwezi, kukatokea kishindo na giza flani.
Baada ya muda jua likabaki gizani lakini mwezi ukatoka ukiwa na rangi nyekundu...
Nawasalimia wana JF wote. Huu nimwendelezo wa kujifunza Science ya kiroho na namna ya kujitambua.
Leo nitaongelea jinsi gani ilivyo vigumu kujitambua na kujua wewe asili yako ni nini. Jambo gumu...
Habari wanajamvi,
Nadiriki kuanza na kusema kuwa MWENYEZI MUNGU alikosea sana kuumba kiumbe hiki,au laah maksudi yake hayajatimia hata kwa asilimia moja.
Kiumbe ambaye ni mnyama mwenye damu...
Kwa miezi miwili sasa kuna ndoto ya ajabu naiota, Namuomba Jah isiwe ya kweli ndoto hii! Kila nikijitahidi kuikwepa lakini bado naiota tu, ina secret cod iitwayo "the august". Ni mpango wa mauaji...
Wadau naomba uzoefu wenu,uchunguzi nilioufanya toka kwa watu nnawajua wanafanya siasa.Nimesoma nao na wengine tumefanya kazi pamoja. Wengi wana uwezo mdogo wa darasani hata kupembua mambo.
Ni kawaida kuona usalama wa nchi ukichukuliwa kisiasa zaidi, badala ya kuwa makini, na endelevu.
Tulijionea raia wa Malawi na Rwanda waki "rasimishwa" baada ya sintofahamu na Joyce Banda na Paul...
Kiukweli Intellijensia ya Marekani wako makini sana.
Kuna gaidi mmoja wa ISIS alijipiga selfie mbele ya makao makuu yao alafu akaituma kwenye Social Media.Baada ya muda mfupi jamaa wa Intelijensi...
Wengi wa wanadamu wamechanganyikiwa, hawajui wawe na msimamo wa imani juu ya nguvu gani kiroho. Wengi wameishia kuwa vuguvugu, si moto wala si baridi!
Kwa mganga wa kienyeji wanaenda na kinga...
Nimekuwa Interested kujua habari za hivi viumbe (kama vipo), coz habari zake na mambo yanayosemekana kufanywa na hivi viumbe ni superb. But my question is where is common living place of Aliens in...
NINI MAANA YA INTELLIGENCE (SECRET INFO)??
secret information about the governments of other countries, especially enemy governments, or a group of people who gather and deal with this...
Wadau,
Kuna nguvu fulani katika mwili wa binadamu zenye kumvuta mtu kwa namna ambayo mtu huyo anayevutwa lazima avutike atake asitake. Ni mithili ya zile alizo nazo chatu kwa mbwa. Wengi hufikiri...
Habari za jiona wana jf leo na muda na siku ka.a ya leo napenda kuwasilisha haya.
Katika milima ya urugulu inayopatikana katika mkoa ww morogoro kuna hadith zipo miaka na miaka kuwa katika...
They both use very similar entry techniques, to relax and calm the mind. They are both very powerful self development tools, but that is where the similarity ends.
In my experience of hypnosis...
Pentagram ni ishara ya nyota encased katika mduara. Daima na pointi 5 (moja akizungumzia zaidi), kila mmoja ana maana yake mwenyewe. Hatua zaidi ya nyota ni mwakilishi wa roho. Pointi wengine...
Ninaandika haya nikiwa na ushahidi wala sio mambo ya kusimuliwa.
Nilipokuwa mdogo, kuna stori za mtaa kwamba Padri flani akikulaani inakupata. Nikawa na wasiwasi juu ya hilo, lakini katika kukua...
Wazo ni mtazamo au fikra inayobebwa akilini kutokana na uwezo wa kufikiria. Kutokana na hali ya KUFIKIRIA ambayo ni hali ya akili, mawazo au wazo huwepo. Kama kungekuwa hakuna kufikiria au...
Wakuu,
Nimeulizwa hilo swali na kijana wangu Jana, lakini kwa vile mile sayansi kwangu ni Giza nikabaki nakodoa macho tu.
Msingi wa swali ni kuwa umbali toka kwenye jua mpaka duniani...
Habari wapendwa,
Leo nataka nilete mjadala kwenu kuhusu kuwa Muotaji Hai. Mimi binafsi hii hali ishanikumba na mpaka sasa hujitokeza, na ilikuwa kama hivi;
Nilikuwa nikipenda kuota nikiwa mtu...