Ndoto za mapenzi zinanitesa

Sossy Mwasi

Senior Member
Jul 19, 2015
190
23
Napata ndoto za mapenzi kwa wiki mara mbili au tatu karbia mwezi mzima, yaani mara kwa mara.

Kinachonishangaza ni kuwa despite of having sex mara kwa mara bado napatwa na ndoto hizo. Sielewi nimepatwa na nini na limekua tatizo la muda sana.

Nisaidieni kwa wenye uelewa..
 
Tafuta msaada wa kiroho haraka. Kama wewe ni mslam tafuta kiongozi wako wa kiroho. Kama ni mkrito vile vile mtafute kiongozi wako wa kiroho akuombee ufunguke. Majini mahaba ni mabaya sana uharibu maisha ya watu hata kupelekea kifo. Mwombe sana mungu akuondolee pepo hilo. Uharibu. Ndoa. Maisha. Afya. Na nk.
 
kuweni na utu please

if u can't help don't bother,jus quit...
 
Last edited by a moderator:
Tafuta msaada wa kiroho haraka. Kama wewe ni mslam tafuta kiongozi wako wa kiroho. Kama ni mkrito vile vile mtafute kiongozi wako wa kiroho akuombee ufunguke. Majini mahaba ni mabaya sana uharibu maisha ya watu hata kupelekea kifo. Mwombe sana mungu akuondolee pepo hilo. Uharibu. Ndoa. Maisha. Afya. Na nk.

nilishafanya hivyo pia kwa kudhani ni hlo tatizo but halikua hilo...
 
Unahitaji kuombewa kwa jina la Yesu Kristo. Tafuta Mtumishi wa Mungu mwenye neema ya kuombea watu. Yesu Kristo hajawahi kushindwa, ni wewe tu.

Tatizo ulilonalo ni kuwa upo possessed na marine spirits, kila mfungwa ana jinsi yake ya kufunguliwa.Mwamini.Yesu atakuponya
 
Unahitaji kuombewa kwa jina la Yesu Kristo. Tafuta Mtumishi wa Mungu mwenye neema ya kuombea watu. Yesu Kristo hajawahi kushindwa, ni wewe tu.

Tatizo ulilonalo ni kuwa upo possessed na marine spirits, kila mfunugwa ana jinsi yake ya kufunguliwa.Mwamini.Yesu atakuponya
 
Last edited by a moderator:
fumba macho tuombe,baba katika jina la yesu namuweka mikononi mwako kijana sossy ukapate kumuokoa na mambo ya giza,jini mahaba ashindwe kwa jina lako nakuomba baba utawale mawazo yake,mawazo ya uzinzi ,umalaya,ukahaba na uasherati yashindwe kwa jina lako MUNGU.AMEN! Umebarikiwa tembeea na damu ya YESU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom