Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Kanuni ya Usawa wa Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha ya Mtu "Like attracts Like" Kanuni hii kwa Upande wa Ndani Sheria hii wengi wanaifahamu ikisema "Like attract like". Kuelewa sheria...
12 Reactions
23 Replies
10K Views
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na...
0 Reactions
73 Replies
11K Views
EPISODE 2:CHAMA HATARI CHA MAJESUIT. .. Ignatius akawa ndiye kiongozi mkuu (Superior General) wa chama cha Yesu – Society of Jesus. Yeye ndiye aliyetunga katiba ya chama hicho mwaka 1540...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu. Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa. Ubongo una seli billioni kumi na nne. Kama ukiutumia kwa...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Nini maoni yako kuhusu habari hii? Unaweza zoom hiyo habari kwenye gazeti hili kisha tupe ulichopata.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Police seizes Stakishari guns Details Published on Monday, 20 July 2015 16:20 Written by ONLINE Reporter Hits: 202 Special Zone Police Commander, Mr Suleiman Kova displays part of seized...
6 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa Muda Mrefu Nimekua Mfuatiliali Wa Hawa Viumbe(UFO) je Kweli Wapo Na Watavamia Planet Yetu Mwenye Evidence Waungwana
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari wanajamvi humu, Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. Labda niseme kuwa ninavyoelewa kuwa ushirikina na uchawi hutumia mitishamba na tech zao katika kuharibu na kuroga watu. Pia...
3 Reactions
109 Replies
19K Views
Wakuu heshima yenu,naomba msaada wenu katka jambo hili tafadhalini. Jambo lenyewe ni hili "ikiwa nafahamu mwaka na mwezi niliozaliwa. Je kuna njia yeyote ya kujua siku niliozaliwa. Hope watundu...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Uhusiano wa nazi ya Hitler, Freemason na uchaguzi wa CCM na Tanzania Ndugu Watanzania na wanamageuzi wenzangu na haswaaa vijanaa tupime kila kitu kwa jicho la tatu tujikumbushe huu msemo wa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
CCM iliyojengwa juu ya ufalme wa shetani kupitia ktk udhamini wa waganga wa kienyeji inatenda km shetani...Imeviambia vyama vingine viisujudie na kuiheshimu ili vile mema ya nchi .Vyama vingine...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
LEO TUPATE ELIMU KUHUSU KUNDI LA JESUIT kundi la ‘Jesuit Society' maana wao ndio waliomfundisha Adam Weishaupt ambaye ni muasisi wa Illuminati. Shirika la Jesuits lilianzishwa na Ignatius...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
6+6+6=18 7+11=18 18/3=6+6+6 666 666 is the number of the beast 7 11 is satanic Source: Conspiracy forum
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuanzia pikipiki ya askari wa usalama barabarani hadi gari ya mwisho ya kwenye msafara, mwendokasi unaogofya. Mwendokasi wa msafara kama wa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na wengineo huwa kati...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Katika kipindi ambacho watu wameitembea JamiiForums basi ni jana na leo kwa sababu updates zote zinatoka humu na kusambaa kwenye mitandao mingine. Pia leo ndio umeonekana umuhimu wa kuwa na ID...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Hadithi ya Ugiriki, mikopo, madeni yaliyoshindikana na Demokrasia ya Wananchi katika kuamua hatma ya nchi yao kulipa au kutolipa inatoa funzo linalopaswa kuigwa haraka sana na Serikali za nchi za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajukwaa, Katika kusoma kwangu tulipewa kazi ya kuongelea falsafa mbali mbali za duniani hapa hususani mtu alitakiwa aongelee any political and legal theory which is particular and...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
DAWA NA MATIBABU KWA KUTUMIA MAWE 1. Mawe yana nguvu kubwa ya kupunguza ukali wa nguvu mbaya ambayo husababishwa na sayari, Mawe husaidia kutibu maradhi mbali mbali lakini unatakiwa kua...
0 Reactions
2 Replies
29K Views
Back
Top Bottom