Can you give scientific facts makes this sheep to carry its weight?

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
501

Tizama video hii na uchangie ila naomba utumie akili zaidi na ustarabu ktk comments zako
 
Equillibrium na hyo weight mkuu ? haya ni maajabu lakini
Sawa nakubali ni maajabu lakini elewa Equillibrium ni kitendo cha kitu kubalansi sehemu mbili kupitia egemeo la kati la kitu hicho, tuseme kiwiliwili cha huyo mbuzi kimebalansi na sehemu ya kichwa cha huyo mbuzi kupitia miguu yake.
 
An object can't balance at center if there is uneven weights at a both sides. Sasa mtizame vizuri huyo mbuzi je uzito unaweza kulingana toka shingoni mpaka migiuni ukilinganisha na sehemu ya pili toka miguuni mpaka ilipo katika miguu ya nyuma?
 
Sitaki kuamini hiyo video nahisi kama ni ya kutengeneza, nachelea kuamin sababu ya umri wa uyo mbuzi na inavyoonekana icho kilema ni kama cha kuzaliwa nacho ambapo binadamu sio rahisi kufuga mnyama mwenye ulemavu

Na pia kama alikipata kwenye ajali inakuwa sio rahisi kusurvive kutokana na athali alizopata na kama tunavyojua mnyama akigongwa tunamuwai kumchinja kabla hajafa

Back to the topic.
Kisayansi viumbe tunaishi kwa kuadapt mazingira inawezekana ni adaptation to imetake place

Mfano..kuna dogo mmoja alikuwa ana matatizo ya kutosikia lakini hatukujua mpaka pale tulipompeleka hospital ndipo Dr akatuambia ni totally diff na sisi hatukujua sababu alikuwa ana adapt mazingira na kutumia njia mbadala za kuangalia mdomo wa mtu anayemwongelesha
 
Back
Top Bottom