Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo...
2 Reactions
8 Replies
881 Views
It has become clear from the literature of psychology in general and therapeutic psychology in particular that certain events in anyone's memory must occupy a central position and have a...
3 Reactions
0 Replies
370 Views
Mimi Ni Nani,Ni siri nzito na fumbo Kubwa Yote yako Chini,Chini ya Bendera.Wapi? Ebu kuta unajisoeza kwanza na NATURAL MYSTIC-BOB MARLEY Alafu tukapakue(Meza ya Coco the Rasta-alpha...
9 Reactions
74 Replies
18K Views
"The 7th Planet, Mercury Rising" ni kitabu kilichoandikwa na Zacharia Sitchin, mtaalamu maarufu wa nadharia za kale na ufasiri wa maandiko ya Mesopotamia. Sitchin alijulikana kwa kujikita katika...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature leo naanza na hii Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled Source: ≡ 7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled ➤ Brain Berries Archaeologists are not always faced with...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
MAMBO YA KUZINGATIA Usiruhusu hasira ikuendeshe. Kasirika lakini acha iende. Huhitaji watu au vitu kuwa na furaha. vinaongeza tu furaha yako. Watu ambao hawakupendi wanakupa...
5 Reactions
1 Replies
403 Views
Mimi ni mkristo nimelelewa katika ukristo tangu nikiwa mdogo. Mwanzo tu wa biblia katika kitabu cha mwanzo 1:1-3a kunakuwa na makosa makubwa ambayo yamedumu karne na karne. Haya yalitokana na...
17 Reactions
166 Replies
8K Views
Bara la kupokea kila mgeni Bara lenye rasilimali nyingi Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe Bara lenye wajinga wengi Bara lenye magonjwa yote...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ninyi na rasilimali zenu safiii!!! Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa...
0 Reactions
4 Replies
487 Views
1.Great glaciation. Great glaciation is the theory of the final state that our universe is heading toward. The universe has a limited supply of energy. According to this theory, when that energy...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Salute mate.. Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa...
14 Reactions
30 Replies
7K Views
Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo...
11 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimeamua kuandika makala hii kwa heshima ya Jukwaa hili lakini pia kwa ajili ya kuchochea udadisi lengo likiwa kumpa kila asomaye uthubutu wa kutaka kufukiri nje ya Box. Makala hii ni mjumuisho...
56 Reactions
499 Replies
73K Views
Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza Mwanzo 1 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Katika...
10 Reactions
95 Replies
3K Views
Nadharia ya Mchezo (Game Theory) – Maelezo, Mifano, na Matumizi Nadharia ya Mchezo ni Nini? Nadharia ya mchezo ni tawi la hisabati linalochunguza maamuzi ya kimkakati yanayofanywa na watu au...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Salute bosses! Sina takwimu zozote (kama alivyosisitiza Anko), lkn binafsi nahisi nimekumbwa na ugonjwa wa micropsia, yani naona kama mwaka 2017 umekua mfupi kuliko miaka mingine yote, juzi tu...
235 Reactions
711 Replies
134K Views
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao. Kwa mfano...
69 Reactions
310 Replies
23K Views
Huenda Ibilisi pamoja na malaika wengine waovu kabla ya kushindwa vita huko mbinguni waliishi katika sayari ya Mars. Ni lazima nikiri ukweli ya kwamba hakuna nyaraka zilizopo ambazo zinaweza...
9 Reactions
48 Replies
8K Views
Back
Top Bottom