Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ninaposoma baraka za Ibrahim,naona wazi kabisa kama vile wapo watu wanaofurahia nchi ya maziwa na asali. Nikiangalia nchi hii ya Qatar imebarikiwa na chemi chemi ya mafuta kiasi kwamba hata mtu...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Let us move to the era of Newton and imagine ourselves living in that period. Newton introduced theories in physics that revolutionized the field and some other sciences. His concept of gravity...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Maisha haya bhana! Nilipokuwaga mdogo nilikuwa na akili finyu sana nadhani kuliko watoto wote wa mtaani kwetu.. Niliamini kirahisi sana mambo bila hata kufikiri kwa kina yaani zile akili teketeke...
47 Reactions
162 Replies
41K Views
MATE; Previous I wrote a topic centered on Illusion projection and I discussed a bit about how the brain process and encode memory, So this Topic will be serving as a stand-alone sequel of that...
50 Reactions
233 Replies
22K Views
Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an: "Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine...
5 Reactions
18 Replies
759 Views
Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki. Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali...
15 Reactions
201 Replies
22K Views
Wakuu, Nna maswali kadhaa najiuliza:- 1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI 2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Naam imesimama, Namaanisha imesimama kiteknolojia na ugunduzi na utatuzi wa changamoto za binaadam za kila siku. Ukisoma vitabu Dunia wakati inaumbwa haikuwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
 KWA WAHUSIKA, KUTOKA PANDE ZOTE. Enyi WAJAMAA, Karibuni kwenye Lami ya Kondoa-Babati to start THE JOURNEY BY NIGHT,  Q R17. Fupisho la Kafia getho-Ni Machozi yaliyosheheni pumziko Zito...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Niliwahi kusikia kuwa njia rahisi ya kutambua nyota ni herufi ya mwanzo ya jina na Tarehe ya kuzaliwa.. Herufi ya jina ni nyota nyingine na tarehe ya kuzaliwa ni nyota nyingine.. Hapo ipi nzuri...
2 Reactions
51 Replies
67K Views
THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU 👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana...
32 Reactions
26 Replies
9K Views
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!! Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi...
64 Reactions
718 Replies
160K Views
Military Intelligence Coup: Kisa cha majasusi wa Mossad waliomhonga rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq (Mikoyan-Gurevich MiG-21) Kuanzia mwaka 1952 mpaka mwaka 1963 Isser...
91 Reactions
185 Replies
59K Views
Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao...
21 Reactions
135 Replies
34K Views
Kifo ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na kila mmoja wetu anajua kuwa siku moja, maisha yetu yatakwisha. Ingawa ni jambo lisiloepukika, kifo bado linabaki kuwa suala gumu na...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Tunajidili namba tatu kivingine leo... Sio tatu kama tatu la hasha bali mara tatu. Tuangalie kwanza jinsi uhai unavyotengenezwa; Makutano ya jinsia mbili tofauti Kutungwa mimba Kuzaa Mfano huu...
19 Reactions
105 Replies
14K Views
Baada ya Mgogoro mkubwa wa Kanisa uliozaa Makanisa mawili - Western Roman Catholic Church na Eastern Orthodox Catholic Church mwaka 1054, Kanisa la Magharibi ambalo ni Western Roman Catholic...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
31 Reactions
1K Replies
166K Views
Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Kamwe huwezi kudanganya kifo. Michael Jackson alitaka kuishi kwa miaka 150. Aliteua madaktari 12 nyumbani ambao wangemchunguza kila siku kuanzia nywele hadi kucha. Chakula chake kilijaribiwa kila...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom