Ukweli juu ya NASA kutuma chombo mwezini

edgar90

Senior Member
Jun 18, 2016
145
116
Habari wana jamii forums!! Hope mko poa, mimi swali langu kwamba.

Kuna hili shirika la anga la Marekani (NASA), kuna ule uzushi ulioenea kwamba mmarekani hajawai kufika mwezini, kama wameweza kutuma chombo kwenda sayari ya Jupiter basi ata Neil Armstrong kuna uwezekano alifika mwezini, kwa akili yangu ya kawaida naona kutoka duniani mpka kwenye mwezini ni karibu kulinganisha na kwenda sayari ya Jupiter.
 
haya mambo ya kwenda mwezini hayataki kutumia akili ya kawaida maana katika akili ya kawaida mimi mwenyewe siwezi kuamini chuma kimesafiri miaka mitano na ni umbali wa kilometa bilioni mbili nukta nane......kwa akili ya kawaida hii itakuwa ni sound
Kwenda mwezi ni kawaida hata Dada zetu huwa wanaenda mwezini..waulize watakwambia!
 
Mradi wa NASA kwenda mwezini ni kama LUGuMi kuibia JEsh la TZ. Uo ulkuwa miongoni ya miradu ya serkal ya Marekan kupiga pesa na kupata superiority.
 
haya mambo ya kwenda mwezini hayataki kutumia akili ya kawaida maana katika akili ya kawaida mimi mwenyewe siwezi kuamini chuma kimesafiri miaka mitano na ni umbali wa kilometa bilioni mbili nukta nane......kwa akili ya kawaida hii itakuwa ni sound
Umesahau kuna chombo kimetumwa sayari ya pluto ambacho kimetumia miaka kumi kufika na kilisafiri umbali wa kilomita billion tano?
 
Uwezekano kuwa wamekwenda mwezini unawezekana maana hapo ni 400000km tu, ila nilipatwa nashaka juu ya huu uwezekano wa mtu kufika mwezini baada ya kusoma historian na purpose ya uwepo wa ISS. Unajua kipindi hiko kwenye ishu za anga kulikuwa kuna ushindani Sana Kati USSR na USA, n baada ya USA kupeleka mtu mwezini USSR na yenyewe ikataka ipeleke mtu kwenye anga za mbali na sayari pamoja na mwezini kwa mda mrefu ila kabla ya kufanya ilibidi waanze kufanya tafiti ndo wakarusha laboratory ya kwanza inayoelea. Then baadae raisi wa marekani akaomba USSR washirikiane kwenye hii space exploration wakasaini mkataba ndo ikaja kuzaliwa hiyo ISS ndo maana sehemu kubwa ya hiyo ISS ilitengenezwa na Russia, nilichokuwa najiuliza kama USA walifanikiwa kupeleka mtu mwezini kulikuwa kuna haja gani ya kufanya tafiti mda wote huo tena ni joint project na nchi hasimu kama Russia.?
 
haya mambo ya kwenda mwezini hayataki kutumia akili ya kawaida maana katika akili ya kawaida mimi mwenyewe siwezi kuamini chuma kimesafiri miaka mitano na ni umbali wa kilometa bilioni mbili nukta nane......kwa akili ya kawaida hii itakuwa ni sound
Mkuu hizo kilometa bilioni mbili nukta nane ni umbali wa kutoka wapi kwenda wapi?.
 
Back
Top Bottom