Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
🗣️ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani. Mwezi huu Machi kutakua na matukio mawili...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Ulimwengu! Umeacha wanadamu wenye macho hafifu ya ndani waendelea kuishi uhalisia badala ya ukweli! Hivyo maisha yamekuwa ni kama bahati nasibu!aliyesifika Leo kwa kutafuta heshima Mali na fedha...
2 Reactions
1 Replies
397 Views
Cold War Espionage: Makomando wa KGB walimhoji na kumfanyia recruitment Senator John MacCain alipochukuliwa mateka (Missed In Action) vita ya Vietnam. Serikali ya Vietnam iliwahi kuthibitisha...
18 Reactions
150 Replies
30K Views
1. Uvumbuzi wa Dini na Wanadamu Dini imekuwepo kwa maelfu ya miaka, lakini hakuna dini moja ambayo imewahi kutawala imani za wanadamu wote kwa ujumla. Kila jamii imeunda miungu, hadithi, na...
1 Reactions
2 Replies
496 Views
Juzi nilienda kumtembelea mjomba wangu, yeye ananiita "His favorite Nephew", kwasababu ananikubali sana kuliko hata wanae. But hiyo sio point yangu. Mjomba wangu ana hasira za karibu (Short...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu. SURA YA 1 1 Uzazi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
One of the greatest challenges faced by humans in their interactions with the details of life is the sayings, discourses, and concepts socially entrenched, which have gained legitimacy in...
3 Reactions
3 Replies
566 Views
JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima. Mungu ni Roho. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi, akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai...
26 Reactions
259 Replies
66K Views
Kwa miaka mingi, eneo la Kusini mwa Afrika limeonekana kuwa salama dhidi ya vitendo vya kigaidi. Hata hivyo, kuongezeka kwa shughuli za kigaidi katika maeneo mengine ya Afrika kunatoa tahadhari...
1 Reactions
3 Replies
545 Views
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama...
20 Reactions
111 Replies
12K Views
Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Bila shaka mko vizuri wakuu… Niliwahi kusema ya kwamba dunia ni sehemu ambayo inautaratibu wake na kutokana na asili hiyo basi maeneo mengi ya kitaasisi au ya kimifumo yameweza kulazimishwa, na...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs...
12 Reactions
137 Replies
5K Views
Habari wakuu wana jamii forums[emoji112].. Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu napenda kuzungumzia suala la mabishano ya kidini baina ya waumini wa dini mbalimbali hasa dini kuu mbili zenye...
16 Reactions
119 Replies
6K Views
Mates Inawezekana hua unajiuliza kwanini labda wachawi/waganga hua wanaweza kumpa utajiri mtu lakini wao wanabaki kwenye umaskini wa hali ya juu huku wateja wao wakineemeka na mali zao. Hawa watu...
51 Reactions
202 Replies
80K Views
Katika ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi, teknolojia imeleta mafanikio makubwa pamoja na vitisho vya kisasa ambavyo vinaweka faragha binafsi katika hatari. Pegasus, spyware yenye asili...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu. UTANGULIZI Wakati wa kipindi cha vita...
25 Reactions
188 Replies
43K Views
Kuwepo kwa jamii intelligence mimi naona nikama kikwazo katika jamii kwa sababu huu mfumo unaenda kuaribu sekta ya ajira kwa vijana wa Kitanzania
3 Reactions
13 Replies
743 Views
Habarini, Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa...
2 Reactions
28 Replies
968 Views
From book of john Inspired by dune, frank Herbert Are you ready, Bado maamuzi ya lugha itakayotumika ndio changamoto, Kiingereza kikitumika, waswahili watabaki nyuma lakini kiswahili...
1 Reactions
3 Replies
335 Views
Back
Top Bottom