Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Salamu wakuu nimekua nikijiuliza swali hili kwa mda sasa bila kupata jibu sahihi,ila kwasababu humu kuna watu wenye uelewa mkubwa wa mambo zaidi yangu naomba mnisaidie akili ya mwanadamu inakaa wapi?
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Kwa lazima kutambua kuwa "ndoto ni maisha ya rohoni" yawe mabaya au mazuri lakini yanategemea sana matendo yako na mind set yako juu ya matendo. Siku zote matendo mabaya hupelekea ndoto mbaya...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Redirect
Nimeonelea nipost mada hii kwa kiswahili ili wote wanaojua lugha hii wafaidike lakini katika kuchangia tutumie lugha yoyote inayotumika hapa jukwaani . Nilipata challenge katika ule uzi wa UFOs...
0 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Nimeonelea nipost mada hii kwa kiswahili ili wote wanaojua lugha hii wafaidike lakini katika kuchangia tutumie lugha yoyote inayotumika hapa jukwaani . Nilipata challenge katika ule uzi wa UFOs...
72 Reactions
353 Replies
96K Views
Habari za hapa. Nimefanya research juu ya ukweli wa dini na uwepo wa Mungu hasa Mungu anaeongelewa na wakiristo na waislamu. Ktk utafiti huo nimegundua mushkel mwingi SANA kuhusiana na dini hizo...
23 Reactions
798 Replies
49K Views
The 8 most elite special forces in the world Elite Special Forces are some of the best-trained and most formidable units a country can boast. They go where other soldiers fear to tread, scoping...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Heshima kwenu viongozi napenda kuwasalimu wote. Na zaidi wale waaminio hawa waaminio napenda kuwataka radhi kwani swali langu laweza kuwakera. Naam swali hili hata Mimi sikupenda kuliuliza lakini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Habarini Za Majukumu! Naombeni Mnijuze Kuhusu Sare Za Majeshi Ya Ulinzi Wa Mipaka Ya Nchi (Defence Forces) Kwanini Sare Za Nchi Zote Zina fanana (Mabaka-baka) Au Ni Moja Ya Sheria Za Umoja...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Watu wengi huwa wanauliza swali hili mara nyingi sana kama kupinga au kujaribu kuonyesha kuwa hakuna Mungu lakini mimi leo nataka nikwambie Mungu yupo na ndiye aliyezifanya mbingu na nchi ktk...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
  • Redirect
Natumai wanna jukwaa mpo poa na mnazid kupambana na changamoto za" Hapa kazi Tu" Bila kutumia maneno zaidi, Nakiri kuwa mfwatiliaji mzuri wa mada za members wa jf hasa za akina, mshana, Lara 1...
6 Reactions
Replies
Views
natambua kuwepo na magomvi mbalimbali kwa sababu ya dini tofauti na hata wafuasi wa dini moja kupambana. lakini kusingekuwapo na dini kabisa, haka ka amani na ka haki kadogo na ustawi na maendeleo...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Scopolamine ni madawa ya kulevya yanayotengenezwa kutokana na ungaunga wa mbegu za matunda ya mti unaoitwa kitaalamu "borachero tree". Miti hii inapatikana kwa wingi huko Bogota, Columbia. Baada...
10 Reactions
47 Replies
9K Views
WEISHAUPT!!! Alikuwa nanguvu sana ndani ya Illuminati. Alizaliwa February 6.1748, nani mtoto kutoka kwenye familia ya kiyahudi. Na baba yake alifariki mwaka 1753. Kijana huyu aliingia katika...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Soma upate Ufahamu na Maarifa. Kama mmewahi kupitia makala moja jamiiforum iliandikwa vitu sita ambavyo havijaumba na mungu. Nakuonya usije ukakufuru bure. Vitu vinavyoonekana na visivyo onekana...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
U hali gani mwana JF? Ningependa kujua faida au thamani ya mnyama aitwae Kakakuona katka maisha na mizunguko ya binadamu!. Nawakaribisha wataalam jamvini..
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Habari wana jamvi, Inafahamika kuwa hapa duniani kuna nchi ambazo zinatawaliwa kifalme, mtawala akiwa mfalme au malkia. Watawala hao hutoka katika ukoo mmoja tu na ulithishana ukuu huo. Naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano mwanaume-mwanamke ugali-wali mahindi-mpunga mwanga-giza...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
  • Redirect
MAMBO 10 KUHUSU KOREA KASKAZINI 1.Bangi inaruhusiwa na haijawai kuorodheshwa kama dawa nchini Korea Kaskazini 2.Korea kaskazini ni taifa pekee duniani kuiteka meli ya kijeshi ya Marekani...
6 Reactions
Replies
Views
Kamanda mwandamizi na mtaalamu wa Milipuko wa kundi la Hezbollah Mustafa Badreddeen ameuawa juma lililopita kufuatia mlipuko mkubwa unaoonekana kuwa ni shambulizi la anga la Israel katika jiji la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi" na tumefundishwa Mungu hana mwanzo. Sasa kabla ya kuumba ulimwengu mungu alikua anafanya kazi gani?
4 Reactions
91 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…