Je wajua kwamba yesu hakuzaliwa Desember 25 soma kisa hiki

marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
999
2,000
Imekuwa Desturi watu kusherehekea Desember 25 kuwa ni cku ya kuzaliwa yesu lakini kumbe sivyo

Kumbe'' Desember 25 haikutokana na chanzo chochote ktk kibiblia kinasema kitabu The Christmas Encyclopedia,lakini ilitokana na sherehe za kipagani za kirumi zinazofanywa mwishoni mwa mwaka, karibu na wakati jua linapochomoza tena wakati wa majira ya baridi kali ktk kizio cha kaskazini. Sherehe hizo zinatia ndani,Saturnalia,sherehe ya saturn. (Saturn jina la sayari)planet, yaan mungu wa kilimo

Na sherehe mbili hizo hufanywa pamoja za miungu wawili wa jua Sol wa Warumi na Mithra wa waajemi"kinasema kitabu hicho Sherehe zote mbili zilifanyika awali Desember 17 jadi 24 jua lilipochomoza tena wakati wa majira ya baridi kali kulingana na kalenda ya Yulio,sherehe hizo za kipagani zilianza kuingizwa ktk ibaada inayodaiwa kuwa ya kikristo ktk mwaka wa 350,wakati ambapo papa julius caiser wa kwanza alitangaza Desember 25 kiwa cku ya kuzaliwa kristo maana yake kutoka ile ya kwanza yaan 17 desember had 24 sasa akaitangaza rasm 25 Desember hiyo kwamba ni cku ya kuzaliwa kristo.

Pole pole maigizo ya kuzaliwa kwa yesu yalimeza au kuchukua mahali pa desturi nyingine za kuchomoza kwa jua, kinasema kitabu Encyclopedia of Religion,Picha za jua zikaanza kutumiwa sana
Kumwakirisha kristo (ambae pia aliitwa Sol Invictus) na duara la jua likaja kuwakilisha nuru ya mvirimgo


Hisani

Mary Evans picture Library
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom