THE HIDDEN HISTORY OF CHRISTMAS

ngoja niweke bando afu nichek hyo story ila hatupendelei sana mavideo hayo bila kutoa intro....sawa mdogo wangu?
 
Historia zina mambo mengi .Ukiangalia historia ya wasabato mwanzilishi wa hiyo dini ni mwanamke Hellen WHITE.Na wanatumia vitabu vyake kwenye dini yao.Cha ajabu hawataki wanawake wawe wachungaji wakati mwanzilishi ni mwanamke na mafundisho ya kanisa yanatumia vitabu vyake.Kama wanawake hawawezi mbona huyo aliweza kuanzisha dini na wanaume wanasoma vitabu vyake ili wawe wachungaji.
 
CHRISTMAS_NI_UPAGANI
??UNAOTUKUZWA!?
1f4e1.png

_________________________
Maelfu ya watu duniani leo wanaamini X-MASS ni
sikukuu ya kuzaliwa kwa YESU japo wachache
hawaamini.

..Makundi haya mawili ; moja litakuwa SAHIHI, maana neno la Mungu halijipingi.

Hebu tuiulize BIBLIA itusaidie majibu ya waziwazi
bila KUPINDISHA maneno.

Tuangalie X-mass
(A) KATIKA BIBLIA AGANO JIPYA.
(B) NA JINSI INAVYOHUSIANA NA:

1f449_1f3fe.png
>NIMRODI (mungu jua)

1f449_1f3fe.png
> TAMUZI (mungu mwana wa jua)

1f449_1f3fe.png
>SEMERAMIS (mungu mke-marikia wa
mbinguni);

1f449_1f3fe.png
> Kuwafungulia wafungwa.

(A) TUANZE NA AGANO JIPYA.

**LUKA 1:26-31
MWEZI WA SITA (6) malaika Gabrieli
alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa
Galilaya, jina lake Nazareti,
kwa mwanamwali bikira ......
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu,....
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto
mwanamume; na jina lake utamwita YESU.

>>Tumeona tangazo la Maria kubeba mimba ya
Yesu likitolewa mwezi wa sita ;
Iweje kufika mwezi wa 12. Awe kazaliwa !!!?

SWALI :
Je; Yesu alizaliwa NJITI (kabla ya miezi
9)?

JIBU:
LUKA 2:6,7.
"…siku zake za kuzaa ZIKATIMIA .
..akamzaa..."

>>Tumeona kumbe siku za mwanadamu kuzaa
(miezi 9) zilitimia .
...Hakika Tangu Kitabu cha
Mwanzo mpaka ufunuo hakuna ushahidi wa X-
MASS (25.desember) kuwa Sikukuu ya LUZALIWA YESU.

Yesu alikaa na mitume na wanafunzi wake kwa
zaidi ya miaka mitatu; lakini Muda huo wate
hawakuwahi kumwona/kumsikia akiwahimiza
WASHEREHEKEE SIKUKUU YA KUZALIWA KWAKE
kwa kutenga tarehe yoyote ile.
...wala wanafunzi
hawakuwahi kuulizia tarehe ya yeye kuzaliwa.

Hata baada ya kupaa kwake mitume
hawakutenga siku yoyote.

>SWALI:
***KWANINI YESU HAKUWAPA WAAMINI WA
KWANZA TAREHE YAKE YA KUZALIWA NA
KUWAHIMIZA WAISHEREHEKEE??

>JIBU:
Hii ni dhahili kuwa Yesu hakuona umuhimu wa
watu kusherehekea kuzaliwa kwake maramoja
kwa mwaka.
Kutokana na umuhimu wa YESU ndani ya maisha
ya watu;

Aliwataka wafungue mioyo yao AZALIWE NDANI YAO KILA SEKUNDE, Ilikubadirisha Maisha yao
sikukwasiku ,hivyo sherehe ya kuzaliwa Yesu
haina ukomo na inafanyika ndani ya MIOYO
WAMTUMAINIO Kila sekunde; wanaitikia kuzaliwa
Huko Kwa kuacha maovu kila siku.

>[HASHTAG]#SWALI[/HASHTAG]:
****JE; KUNA SHEREHE YOYOTE AMBAYO
YESU ALIWAAGIZA WAIFANYE KAMA
KUMBUKUMBU YA KILE KILICHOMFANYA
AZALIWE KUISHI KUFA NA KUFUFUKA?

>[HASHTAG]#JIBU[/HASHTAG]:
Walipewa PASAKA (passover) na siyo Easter

Utaratbu wa PASAKA NI HUU:

YOHANA 13:9-15
..Basi alipokwisha kuwatawadha miguu, na
kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena,
akawaambia, Je! Mmeelewa na hayo
niliyowatendea?
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu,
nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo
KUTAWADHANA miguu ninyi kwa ninyi.
..Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi
nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.

>Mitume wanaendeleza PASAKA kama agizo la
Yesu. siyo X-MASS wala EASTER ifanyikayo
mwezi March au April (zote za kipagani)

1WAKORINTHO 11:24-26
..naye akiisha kushukuru akaumega, akasema,
Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni
hivi kwa UKUMBUSHO wangu.
..Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe,
akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu
yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa
#UKUMBUSHO_wangu.
..Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea
kikombe hiki, MWAITANGAZA Mauti ya Bwana
hata AJAPO .

Tumeona tukio lipaswalofanywa kama
kumbukumbu ya kile kilichofanya Yesu azaliwe na
kufa.
>> Pia tumeona utaratibu wa kuendesha PASAKA
(MEZA YA BWANA) na hatupaswi kiuka huo
utaratibu wa:

1f449_1f3fe.png
>Kuoshana miguu waamini wote (wanawake
kivyao) kama ishara ya unyenyekevu.
1f449_1f3fe.png
>Kula mkate; waamini wote ;
1f449_1f3fe.png
>Kunywa divai isiyo na chachu; waamini wote.
*******************

(B) FAMILIA YA NIMRODI (mungu jua) KIINI
CHRISTMASS:

....Baada ya kuona Yesu mwenyewe na biblia ktk
agano jipya ikiikana CHRISTMASS (Dese.25)
kuwa siyo SIKUKUU ya kuzaliwa YESU.
...Tuangalie
chanzo_chake kwa Uthibitisho wa BIBLIA
**HISTORIA YA NIMRODI**

Mwanzo 10:8-12.
Kushi akamzaa... NIMRODI akaanza kuwa
mtu HODARI katika nchi.
Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za
BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi,
hodari wa kuwinda.....
Mwanzo wa ufalme wake ulikuwa BABELI
(machafuko) na Ereku, na Akadi, na Kalne, katika
nchi ya Shinari.
.....akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji
mkubwa.

>>Tumeona alivyoishangaza dunia ya kipindi
chake kwa uhodari wake hadi wakamdhania
anatenda mbele za Mungu ; yani uhodari wake
siyo wa Kawaida .
Ana miji mingi na mikubwaa pamoja na Babeli
(machafuko).
Katika fungu hapa chini tutauona mwanzo wa
upagani_wake; Mana alisimamia ujenzi wa
MNARA mrefu WA BABELI ; ili wamfikie Mungu
mbinguni; marabaada ya garika .
Hivyo Akajiinua awe sawa na
MUNGU.
.Huu ulikuwa UASI MKUU na upagani Kinyume na
NENO LA MUNGU ( "Tawanyikeni usoni pa nchi")

**MWANZO 11:4-9.
Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na
MNARA, na kilele chake kifike MBINGUNI ,
tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa
nchi yote.

BWANA akashuka ili auone MNARA na mji
waliokuwa WAKIUJENGA wanadamu.

BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa
moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo
wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa
neno wanalokusudia kulifanya."

Kwa ufupi Nemrodi ni kitukuu cha Nuhu
kilichozaliwa baada ya
Gharika Kinatoka ukoo wa HAMU mwana wa mwisho wa NUHU ambae
uzao wake ULILAANIWA kwa Kosa lake (Hamu)
kuuona Uchi wa NUHU na kucheka....
NIMRODI ktk ufalme wake alifanya makuu mpaka
akaanza kuabudiwa kama mungu

; Alikuwa na mke aliyeitwa SEMERAMIS nae
akahesabiwa kama mungu mke.
Baada ya kifo cha Nimrodi akimwacha mkewe
mjane anaeheshimiwa kama mungu Mke;

SEMERAMIS alipata mimba ktk Ujane wake;
chakushangaza alipoulizwa Akasema ;
Mimba ile ni ya NIMRODI; akiwambia kuwa
Nimrodi alipokufa alikwenda kwenye JUA hivyo
HUWA ANAKUJA Kumtembelea kwa mionzi na ndiye kampa
mimba ile.

Watu walimwamini japo ukweli ni kuwa mtoto
kwa jina TAMUZ aliyezaliwa 25. DESEMBER.
alikuwa wa UZINZI .

>>Hivyo Nimrodi akaendelea kuwa mungu jua ; na
akiabudiwa kila JUMAPILI.

>>Semeramis akaendelea kuwa mungu mke
marikia wa mbinguni.

>> TAMUZ akawa mwana wa mungu Jua.
Akisherehekewa kuzaliwa kwake kila mwaka; 25.
DESEMBER.

CHRISTMAS SHEREHE
YA KUZALIWA TAMUZ:
____________________________

. Baada ya X-mass kuanzia BABELI upaganini
iliendelezwa na Wapagani wa Kirumi.

Mbali na kusherehekea kuzaliwa kwa TAMUZ
ndani ya sikukuu hii;baadhi ya wafungwa
walikuwa wakiachiwa huru.
...
**YEREMI 52:31,33.
Hata ikawa, katika mwaka wa thelathini na
saba wa kuhamishwa kwake Yehoyakini, mfalme
wa Yuda, katika MWEZI WA ....12....SIKU ya
..25.ya mwezi, Evil-merodaki, mfalme wa Babeli,
katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake,
akamwinua kichwa chake Yehoyakini, mfalme wa
Yuda, akamtoa gerezani.

Baadae kulitokea mapatano kati ya DINI TAIFA
LA RUMI YA KIPAGANI na KANISA la kipindi cha
kushamili kwa UPAPA.

...mambo ya KIPAGANI yakavishwa vazi la KIKRISTO ili waumini
wasiyastukie vizazi na vizazi.

Kisha YAKAINGIZWA
kanisani.
Chini ya ungozi wa UPAPA yakisimamiwa na
Joka la zamani, yule Baba wa uongo na Mpinga neno la
Mungu tangu zamani.

*AYA NI BAADHI TU YA MAMBO YA KIPAGANI YALIYOVISHWA UKRISTO

01: Sherehe ya kuzaliwa TAMUZ .mungu mwana
wa mungu jua yani 25.Desember.
>>Ikavikwa jina la Kuzaliwa YESU KRISTO.

02: Siku za kufunga wakimlilia TAMUZ baada ya
kifo chake.
>>Zikavikwa jina la mfungo wa KWALEZIMA (siku
40) kabla ya ijumaa kuu.

03: Siku ya kumwabudu mungu jua (Nimrodi)
yani Jumapili .
>>Ikavikwa Jina la Siku ya BWANA, siku ya
ufufuko wa Yesu.

04: mungu mke yaani Semeramis malikia wa
mfalme Nimrodi, mama wa mungu mwana
(TAMUZ)
>>Akavikwa jina la BIKIRA MARIA ,malikia wa
Mbinguni mama wa Mungu.

05: EASTER. Pia ni sikukuu ya Kipagani; amboyo
makanisa mengi uifanya leo katika mwezi wa
TATU au WANNE.
>>ikavikwa jina la PASAKA aliyoifanya Yesu
kabla ya kifo chake.

TAZAMA MACHUKIZO:
**EZEKIELI 8:14-16.
"..Ndipo akanileta mpaka mlango wa kuingilia
katika nyumba ya BWANA,...na tazama, wanawake (KIUNABII NI
MAKANISA) wameketi WAKIMLILIA_TAMUZI.
..Akaniambia,...
Utaona tena machukizo makubwa kuliko hayo.

.. Akanileta mpaka ua wa ndani wa nyumba ya
BWANA, na tazama, mlangoni pa hekalu la
BWANA, kati ya ukumbi na madhabahu,
walikuwako watu kama ishirini na watano,
wamelipa kisogo hekalu la BWANA (wameziacha
kweli za biblia kwa kutanguliza mapokeo ya
kibinadamu)
na nyuso zao zimeelekea upande wa
mashariki, nao WANALIABUDU JUA,...."

*** KWANINI WATU WANADANGANYWA??

i/- VIONGOZI WA DINI.
wameshiriki kupotosha
kweli za neno la Mungu kwa. Maslahi binafsi
tangu zamani. Hata YESU algombana nao sana.
MATHAYO 15:
".. Mbona wanafunzi wako huyahalifu MAPOKEO ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo
chakula.
..Akajibu,.. Mbona ninyi nanyi
huihalifu AMRI ya Mungu kwa ajili ya MAPOKEOyenu?

ii/- Kutozingatia neno la Mungu kwa kulichunguza
sisi wenyewe, Kisha kuamini kila WAFUNDISHALO_Viongozi.

2.TIMOTHEO 4:3-6
".. Maana utakuja wakati Watakapoyakataa_mafundisho yenye UZIMA ila kwa kuzifuata nia
zao wenyewe watajipatia waalimu makundi
makundi,...
nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na
kuzigeukia hadithi za UONGO.

iii/- MAWAKALA_WA_Shetani wamejivika dini
wakijiita Manabii na mitume.

2.WAKORINTH 11:13-15.
"..watu kama hao ni mitume wa UONGO,
watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe
mfano wa mitume wa Kristo.
.. Wala si ajabu. Maana SHETANI Mwenyewe
hujigeuza awe mfano wa malaika wa NURU

..Basi si neno kubwa watumishi wake nao
KUJIGEUZA wawe mfano wa watumishi wa haki,
ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi
zao.

iv/-MANABII_WA_UONGO
wameibuka na
Kuaminiwa maana wanapenda kuhubiri
yanayowapendeza wasikilizaji ili wajipatie FAIDA

2PETRO 2:1-2.
1 Lakini kuliondokea manabii wa MANABII katika
wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako
#waalimu_wa_UONGO, watakaoingiza kwa werevu
#uzushi_wa_KUPOTEZA...."
2 Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao
njia ya kweli(YESU) itatukanwa.
..Na katika kutamani watajipatia faida kwenu
kwa #maneno_YALIYOTUNGWA.

**#JINSI_YA KUHEPUKA_MAD_NGANYO**

..UFUNUO 1:3.
" #Heri_asomaye na wao wayasikiao maneno ya
unabii huu, na #KUYASHIKA_yaliyoandikwa_humo;
kwa maana wakati u Karibu"

..MATENDO 17:11
..Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale
wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno
kwa uelekevu wa moyo, #WAKAYACHUNGUZA_maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo
ndivyo yalivyo. karib "

>>nasi Tuyachunguze maandiko kuthibitisha kile
Viongozi wa dini wafundishacho
;Hatakama
wanafanya #MIUJIZA_ya_KUKAUSHA_BAHARI;
tena Tuyachunguze kwa unyeyekevu mbele za
Mungu na kumwomba Roho. Atueleweshe na
#Tuwe_tayari_kuyafuata.
************************************************
>>#Mungu_hajal_WENGI_WANAIFUATA X-MAS au
Fundisho lolote la UONGO; Bali anajali
#WANAOLITII_NENO_LAKE.

Hebu tizama ,
...Kipindi cha Nuhu waliokoka [HASHTAG]#wanane[/HASHTAG](8) tu
watiifu kati ya Mamilioni,
(Mwanzo 7:13)
...Kipindi cha SODOMA walipona #watatu_tu_watiifu kati ya MAELFU.
(Mwanzo 19:27)
*****************************

>>VYANZO ZAIDI VYA KUJUA UKWELI
WA [HASHTAG]#KRISMASI[/HASHTAG] KIHISTORIA.

Na Jinsi #MTI_wa_KRISMASI [HASHTAG]#ULIVYOABUDIWA[/HASHTAG] na kuwekwa ktk mahekalu ya KIPAGANI hata kabla ya Yesu kuzaliwa :
1f447_1f3ff.png

(1):
1f449_1f3fe.png
Addison G. Wright, Roland E. Murphy, Joseph
A. Fitzmyer, “A History of Israel” in The Jerome
Biblical Commentary , (Prentice Hall: Englewood
Cliffs, NJ, 1990), p. 1247. (2):
1f449_1f3fe.png
The first mention of a Nativity feast appears
in the Philocalian calendar, a Roman document
from 354 CE, which lists December 25th as the
day of Jesus’ birth. (3):
1f449_1f3fe.png
Increase Mather, A Testimony against Several
Prophane and Superstitious Customs, Now
Practiced by Some in New England (London,
1687), p. 35. See also Stephen Nissenbaum, The
Battle for Christmas: A Cultural History of
America’s Most Cherished Holiday, New York:
Vintage Books, 1997, p. 4. (4):
1f449_1f3fe.png
Nissenbaum, p. 3. (5):
1f449_1f3fe.png
David I. Kertzer, The Popes Against the Jews:
The Vatican’s Role in the Rise of Modern Anti-
Semitism , New York: Alfred A. Knopf, 2001, p. 74. (6):
1f449_1f3fe.png
Kertzer, p. 33, 74-5. (7):
1f449_1f3fe.png
Clement Miles, Christmas Customs and
Traditions: Their History and Significance, New
York: Dover Publications, 1976, pp. 178, 263-271. (8):
1f449_1f3fe.png
Miles, p. 273. (9):
1f449_1f3fe.png
Miles, p. 274-5. (10):
1f449_1f3fe.png
Miles, pp. 276-279.

TUSIZIGEUZE DINI KAMA MASHAMBA YA URITHI
Tusiyoweza kuyaacha;
Bali tuzingatie NENO LA MUNGU LISEMACHO
mana ndilo liwezalokutupatia URITHI wa UZIMA WA MILELE.

Tuiseme #KWELI_Tusijedaiwa siku ya mwisho.
*********************************************
*********
**never hid the TRUTH, watch out**
 
Kama Ujuwi bora ukae kimya tu, ushawahi kuudhuria Ibada ya kisabato mwanzo mpaka mwisho.
 
Kama husomagi biblia usiisome hii post
 
Hivi Biblia inapotaja tarehe, tunatumia hizi calendar zetu za siku 365 au 366 za mwaka?
 
Kama Ujuwi bora ukae kimya tu, ushawahi kuudhuria Ibada ya kisabato mwanzo mpaka mwisho.
Nilishawahi hudhuria ibada za wasabato lakini sijawahi ona mchungaji wa sabato mwanamke.ILA vitabu vingi vya sabato ni vya mwanamke Hellen white.Sabato ndiyo dini pekee ambayo wanawake waweza jivunia kuwa nao wanaweza.Dini zingine zilianzishwa na wanaume kasoro ya sabato.Kwa kumuenzi huyo mama ruhusuni wanawake wawe wachungaji.Unakuta wanaume wanachambua maandiko ya mama Hellen hadi basi kwa nini binti zake msiwape uchungaji.Akina mama wanaweza nao.
 
Hiv ni kweli wasabato wanawake siyo wahubiri kiongozi nilikua sijui?
 
][HASHTAG]#KRISMASI[/HASHTAG][/URL] KIHISTORIA.

Na Jinsi #MTI_wa_KRISMASI [URL=
Nina swal
 
Huaa nafsi inakuwaa nzitoo sana kufata mkumboo eti kiss tu umezaliwa ukakuta iko hvyoo pasipo kuhoji
 
Back
Top Bottom