Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habari za jumapili wana jamvi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Moja ya habari kubwa iliyotawala vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifafa mwanzoni mwa wiki hii ni uzinduzi wa sanamu...
12 Reactions
42 Replies
9K Views
Hii ni moja kati dini changa zaidi Duniani kwa sasa. Dini ilianza karne ya 19 huko Iran ikiwa imechupikia toka dhehebu la Shia. Waanzilishi wa dini hii ni Bab na Bahaullah! Dini hii inaamini...
1 Reactions
55 Replies
17K Views
Ni Ali Abdoul Saoud Mohamed alikuwa double agent wa CIA na EIJ( Egyptian islamic jihad) ambayo ndio ilipelekea kuundwa kwa ALQAEDA huku yeye akiwa mwendesha mafunzo wa mbinu za kivita na kijasusi...
25 Reactions
117 Replies
38K Views
Mashushushu hawa ndio wenye mafanikio makubwa kuliko wote Duniani. Njama 638 za mauaji aliyoepuka Fidel Castro.(Chini ya mashushushu wenye ustadi wa hali ya juu sana(skillful) Njama ya kutumia...
23 Reactions
137 Replies
37K Views
Amani iwe nanyi Katika kuwaza jinsi ya kuingia kwenye Ufalme wa Mungu kuna mambo mengi nimekuwa nikijiuliza ikiwepo akina nani kutokana na nature ya kazi zao wana nafasi nzuri ya kufika Paradiso...
6 Reactions
52 Replies
8K Views
Tunataka Serikali ya CCM ielewe kwamba kama ikiendelea na viini macho dhidi ya watanzania then watanzania wote tulioko nje tutazishinikiza serikali za magharibi kujaribu kuhakikisha kwamba this...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto. Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao...
27 Reactions
379 Replies
50K Views
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tele wakuu! Katika tafakari zangu za huku na kule ktk masuala ya imani ya dini, inaonekana ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye mkamilifu kwa maana ya kuwa...
2 Reactions
94 Replies
16K Views
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
4 Reactions
316 Replies
24K Views
Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’ Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi. Katika wimbo...
23 Reactions
68 Replies
24K Views
Tangu kuteuliwa kwake nilikataa kusema lolote juu ya Pinda na nakumbuka niliandika kuwa nampa benefit of the doubt ili aniconvince yeye si mmoja wao. Niliamini kwamba kila mtu ahukumiwe kwa...
0 Reactions
79 Replies
11K Views
:angry: Nimeona nitumie kiswahili ili aibu hii ya Biashara ya Ulanguzi kwa watoto na Biashara ya Madanguro tuisome na kuichangia kitanzaniatanzania Maana Kwa kiingereza nimeona nitakuwa...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari... Nimejaribu kuuliza na kufatilia kwa kiasi fulani kuhusu hii kitu lakini nikaambiwa ni sayansi tu. Lakini mimi naona kama kuna nguvu za giza zinatumika hivi. Kama ni sayansi kwanini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Eda ni kipindi anachokaa mwanamke aliyeachika au aliyefiwa na mumewe, na baada ya kipindi hicho ndoa yake huwa halali. Na imeitwa eda kwa jina hili kutokana na jina la kiarabu ‘iddah’ kwa...
17 Reactions
41 Replies
8K Views
Kwangu mimi huyu dereva wa Lisu ndio 'the hero of the day' kwenye tukio la shambulio la Lisu. How did they ignore such an important factor in the equation? Kawaida unapotaka kufanya tukio kama la...
68 Reactions
173 Replies
18K Views
Maana halisi ya neno RASTAFARIAN: ni imani ya mtu mweusi au mweupe inayotetea UTU wa MTU MWEUSI. MPIGANIA HAKI YA MTU MWEUSI huitwa RASTAMAN au RASTAWOMAN na kwa WATOTO wao huitwa RASTABABY...
25 Reactions
289 Replies
72K Views
Usiku wa kuamkia Leo nimeota bibi yangu ambaye ni mama mdogo wa baba yangu anakufa na msiba analetwa maenoe ya nyumbani. Sinaelewa iyo ndoto imetokana na nini maana hata uyo bibi hatukuwa na...
1 Reactions
5 Replies
26K Views
Wana jf naomba kujulishwa kifo husababishwa na nini, mwanzoni nilifikiri kuwa kifo hutokea pale moyo unapoacha kufanya kazi , lakini nikaja gundua hali hii ikitokea kunamashine ya kusukuma damu...
0 Reactions
32 Replies
15K Views
JINA LAKE Ameitwa JINNI kwa sababu ya kutokuonekana kwake na watu, na hii ni kwa sababu kila kisichoonekana kwa jicho la binadamu katika lugha ya kiarabu jina lake hutokana (hutoholewa) na herufi...
1 Reactions
49 Replies
16K Views
Wasalaamu, Kwa muda wa takribani miaka 12 nimekuwa nikiota ndoto baada ya muda mfupi hutokea tukio halisi likiashiria ndoto niliyoota. Mfano, mwaka 2006 nilikuwa najisomea usiku, tena nilikua na...
1 Reactions
109 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…