Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Eda ni kipindi anachokaa mwanamke aliyeachika au aliyefiwa na mumewe, na baada ya kipindi hicho ndoa yake huwa halali. Na imeitwa eda kwa jina hili kutokana na jina la kiarabu ‘iddah’ kwa...
17 Reactions
41 Replies
8K Views
Kwangu mimi huyu dereva wa Lisu ndio 'the hero of the day' kwenye tukio la shambulio la Lisu. How did they ignore such an important factor in the equation? Kawaida unapotaka kufanya tukio kama la...
68 Reactions
173 Replies
18K Views
Maana halisi ya neno RASTAFARIAN: ni imani ya mtu mweusi au mweupe inayotetea UTU wa MTU MWEUSI. MPIGANIA HAKI YA MTU MWEUSI huitwa RASTAMAN au RASTAWOMAN na kwa WATOTO wao huitwa RASTABABY...
25 Reactions
289 Replies
72K Views
Usiku wa kuamkia Leo nimeota bibi yangu ambaye ni mama mdogo wa baba yangu anakufa na msiba analetwa maenoe ya nyumbani. Sinaelewa iyo ndoto imetokana na nini maana hata uyo bibi hatukuwa na...
1 Reactions
5 Replies
26K Views
Wana jf naomba kujulishwa kifo husababishwa na nini, mwanzoni nilifikiri kuwa kifo hutokea pale moyo unapoacha kufanya kazi , lakini nikaja gundua hali hii ikitokea kunamashine ya kusukuma damu...
0 Reactions
32 Replies
15K Views
JINA LAKE Ameitwa JINNI kwa sababu ya kutokuonekana kwake na watu, na hii ni kwa sababu kila kisichoonekana kwa jicho la binadamu katika lugha ya kiarabu jina lake hutokana (hutoholewa) na herufi...
1 Reactions
49 Replies
16K Views
Wasalaamu, Kwa muda wa takribani miaka 12 nimekuwa nikiota ndoto baada ya muda mfupi hutokea tukio halisi likiashiria ndoto niliyoota. Mfano, mwaka 2006 nilikuwa najisomea usiku, tena nilikua na...
1 Reactions
109 Replies
21K Views
mshana jr hili jambo unaweza lielezea zaidi. nikikaa chini nikiwaza naona kabisa sisi waafrika tumerogwa. trust me. tumerogwa si kwa mambo tunayoyafanya. hata kama wenzetu pia wanafanya basi wao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NASA inatuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya dunia mwaka 2135. Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu...
2 Reactions
141 Replies
36K Views
A specter is haunting Tanzania. The Specter of African Socialism. Workers and Peasants of Tanzania Unite. Mzuka unaindama Tanzania. Ni Mzuka wa Usoshalisti wa Kiafrika. Wafanyakazi na Wakulima...
0 Reactions
218 Replies
22K Views
Lester Joseph Gillis ndio jina alilopewa na wazazi wake alipozaliwa mwaka 1908 December 6 Jina maarufu zaidi alilojipatia alijiita George Nelson, almaarufu kama baby face Nelson kutokana na...
14 Reactions
27 Replies
6K Views
Tundu Lissu Mzalendo Nmaba moja Tanzania . Alianza Muda Mrefu kuandika , kutafiti , kutetea maslahi ya nchi yake. Moja ya Kazi zake ni Kitabu kuhusu Fursa ya Dhahabu Alicho Kipa Jina Golden...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana jamvi leo ni siku nyngne pia 2nakutana humu jamvini kujuzana habari mbalimbali. Kichwa ch habar km knavyojieleza hapo leo ndo mada yetu; Kwanza tujue maana y kifo; KIFO NA NINI, Kifo...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wana jf leo nahitaji nieleze kwa ufupi tu kuhusu mmea huu wa bangi au cannabis hii ni kutokana na propaganda mbaya kuhusu mmea huu kwa jamii, yaani Force knowledge. Cannabis plant au...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi si mtaalamu sana wa mambo haya,ndo mana napenda kuuliza maswali machache juu ya mashirika haya. Tayari nishasikia machache kuhusu CIA,MOSSAD na hapa kwetu TISS. Ningependa kujua...
5 Reactions
28 Replies
9K Views
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu! A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position...
39 Reactions
140 Replies
20K Views
RISASI ZA LISSU NA MAJASUSI WA URUSI NCHINI MONTENEGRO. Na Augustino Chiwinga Usiku wa tarehe 16 October 2016 katika Jiji la Podgorica nchini Montenegro kulitokea jaribo la kimapinduzi ambalo...
20 Reactions
54 Replies
11K Views
Na Mgeni wa Jiji Ni ngumu kuongelea udukuzi uliofanywa na shirika la kijasusi la Urusi KGB ndani na nje ya Uingereza na shirika lake la kijasusi MI6 bila kutaja jina 'Kim Philby'. Ni nani hasa...
13 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari za jamvini wadau nimewaletea huu uzi nadhani kama utausoma na kuzingatia kwa usahihi unaweza unlock baadhi ya brain patterns kuhusu cannabis au bangi na dawa za asili kwa ujumla...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Mwenyewe Agoma Kuzungumza! Rais wa Bunge la Afrika, Mama Getrude Mongella, anatuhumiwa kutenda makosa ya kukosa uaminifu, Wizi na utoaji ajira kinyume na taratibu za kazi yake:- 1. WIZI:-...
1 Reactions
344 Replies
50K Views
Back
Top Bottom