Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Nchi inaporomoka tena kwa kasi, kasi ya ajabu. Imeshaporomoka katika Elimu, Afya,, Kilimo, Ukusanyaji kodi, matumizi ya fedha iliyopo, na mengine mengi. Hili la uraia ndo litaimaliza nchi yangu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu salaam sana. Nimekuwa nikjuliza bila majibu. Huwa Viongozi wanapigiwa mizinga 21 kwa mujibu itifaki. Sasa je, kwa nini ni mizinga 21 na siyo 22 au 20? Naomba mwenye kufaham anijuze
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za mchana wanajamvi, kuna jambo naliona na kulifananisha na wizi ambao tunafanyiwa waajiriwa huku waajiri na ma bank wakishilikiana kutuibia, kwa mfano si taasisi binafsi au serikalini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, Nimefikiri namna kompyuta inavyofanya kazi, hasa CPU. Kwa ujuzi wangu mdogo nimeona kuna uwezekano CPU ikaonyesha utofauti fulani kuashiria imetumika sana(imefanya kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Madiwani nchini sweden wametaka serikali itoe muda wa saa moja tuu kila mwezi kwa ajili ya kufanya ngono, wakifafanua madiwani hao wamesema kuna wakati watu wanakuwa na stress sana hivyo kufanya...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kuanzia mwaka 1968 mpaka mwanzoni ya miaka ya 70 taifa kubwa la Marekani lilikubwa na mtu mmoja hatari sana,si mwingine bali ni muuaji tambulishi(serial killer) ambaye yeye kama yeye alipendelea...
39 Reactions
71 Replies
19K Views
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake. Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
  • Redirect
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo siyo nzuri sana na imenitisha sana. Nimeota nimekufa niko ndani ya jeneza kwenda kuzikwa na watu wanalia sana. Ghafla nikashtuka toka usingizini...
1 Reactions
Replies
Views
I hope these videos will help warn people in Africa about the dangerous LGBT radical agenda. What's happened in the USA is very sad. I hope Africa can avoid this. Powerful videos from...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Leo wanajamvi Katika maisha kuna vipindi mbalimbali ambavyo mtu anaweza kupitia Ila kuna kipindi hiki ambacho ni "No option" hiki ni kipindi ambacho unavitu vingi sana kichwani ambavyo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
TAARIFA KUHUSU SUALA LA KAMPUNI YA RICHMOND Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na maneno na vijembe ati kuwa kuna mkono wa Rais Jakaya Kikwete katika kutoa tenda ya kuzalisha umeme wa...
0 Reactions
80 Replies
10K Views
Habarini! Moja ya mambo ambayo ni telezi basi bila Shaka ni asili ya binadamu. Zipo nadharia nyingi kama mchanga wa bahari zinazoelezea asili ya kiumbe huyu ambaye ni mtawala wa hii dunia. Moja...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Message showing the infected computer. Several countries in the world have been hit by a ‘cyber attack’ throwing hospitals and several organisations IT systems into chaos...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwaka 1984 Ronald Reagan akiwa rais wa 40 wa U.S,kwa muunganiko wa bunge na viwanda alipendekeza kuundwa kwa space station ambayo hapo awali jambo hili lilionekana kama nadharia!(science fiction)...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Nipo na angaria documentary inayohusu Libya,kupitia Aljazeera, Wazungu hawawezi kuruhusu nchi yoyote ya kiafrika,ukiacha Afrika kusini,kuwa huru kiuchumi,na kwenda kinyume na Sera za kichumi za...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar zetu wadau... Kama mada inavyo jieleza, ningependa kujua, kufahamishwa zaid.. iv kuna interdependence between these two "confident na intelligent " I mean mtu akiwa anajiamin sana ni dalil...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona hili neno limekuwa likitumika sana katika kutoa faraja kwa watu, utasikia mtu anamwambia mwenzake, "Pole sanaa ni mipango ya Mungu" ikiwa ni njia ya kumfanya mtu aone hilo jambo ni la...
12 Reactions
78 Replies
9K Views
Salam. Kwanza naomba niipongeze serikali yetu yenye amani tele toka enzi ya Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na sasa jembe letu lingine Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa namna...
0 Reactions
27 Replies
15K Views
Wana wa Israili ni kabila la jamii iliyozalikana na Nabii Ya‘quub (‘Alayhis Salaam) ambaye jina lake jengine lilikuwa ni Israil. Hivyo, kizazi cha watoto wake kumi na wawili kikawa kinaitwa Bani...
10 Reactions
26 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…