Ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Kati ya vitu ambavyo mpka leo vinanipa shida ni kushindwa kujua ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi, kwa sababu kuna vitu mfano kisu ni kikubwa kinaweza kukita ndani ya mwili wa binadam still mtu akawa hai kwa muda fulani kuliko majeruhi wa risasi....tafadhali wenye Kujua

Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
 
Mweny kujua please

Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
 
Kwel mkuu, vp kuhusu kufumua

Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
 
Basically bullet inaundwa na madini yanayoipa jina risasi(lead)..hii ni heavy metal and better electro positive metal..cijui unanipata mkuuu???
Hivyo basi hii no sumu Kali endapo ikikutana na mwili...

Nb..1.water taps unapozitumia wanashauri ufungue maji yatiririke takriban 2minutes...ndo uchote maji
2.maji ya kwenye vyungu vya udongo ni hatari kwa afya...??
3.raisi fulani nimemsahau jina aliomba wanasayansi wamtengenezee dawa ya kuishi mda mrefu,yaan ya kurejuvenile cells za mwili...wanasayansi walifaulu kiasi Fulani lakini ndani ya hiyo dawa lead and silver ilikuwemo...kilichotokea n kifo

Umepata concept??

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu kwa elimu nzuri.
 
Trigger_mechanism_bf_1923.jpg

220px-Thompson_submachine_gun_Firecontrols.jpg

Risasi inaua haraka ikitegemeana na position mtu alipopigwa......ukipigwa moyo, au manleneo ya uti wa mgongo au kichwani ni rahisi kufa in less than a minute tofauti na aliyepigwa tumboni ambapo unaweza hata kwenda kufia mbele ya safari.......

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
 
Risasi inaharibu organ za mwili na kusababisha uvujaji wa damu nyingi kwa haraka ,hii inaongeza uwezo wa mtu kufa hapohapo hasa kama imepigwa maeneo ya kifuani na kuharibu mapafu,moyo ,ini na hata kiunoni na kuharibu figo au kichwani na kuharibu ubongo.Kama mtu amepigwa risasi chini ya goti au mikononi anaweza kuvuja damu kiasi kidogo na kuwahishwa hospitalini na kupata matibabu akapona.
 
Back
Top Bottom