Zuckerberg alipokataa mbegu akauziwa mazao

Carlssin

Carlssin

Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
43
Likes
69
Points
25
Carlssin

Carlssin

Member
Joined Oct 22, 2017
43 69 25
Mnamo mwaka 1998 Jan Koum [Kulia kwenye picha ] alikutana kwa mara ya kwanza kabisa na Brian Acton [ Kushoto ] wote wakiwa wafanyakazi katika shirika la Yahoo. Walifanya kazi hapo kwa miaka 9, hadi September 2007 ambapo walishauriana kuacha kazi pale Yahoo Inc na kuchukua mwaka mmoja wa kupumzika wakiwa wanatafakari ni kitu gani kingine tofauti wafanye.

Baada ya hapo waliamua kwenda Twitter na Facebook Inc kuomba kazi kwa Bwana Mark Zuckerberg , lakini wote wawili walitolewa nje maombi yao. Hapo ilipita miaka 2 bila kufanya lolote la maana hadi ilipofika January 2009 ambapo Jan Koum aliponunua iPhone, kipindi hicho App Store ilikuwa ina miezi 7 tu tangu ilipoanzishwa.

Kama alijua vile, aliishtukia kuwa itakuja kuteka sana soko la Apps za simu. Basi hapo ndio akamshirikishawa Brian Acton wazo lake kuhusu kutengeneza App halafu haraka sana waitupie kwenye App Store kabla haijashika kasi sokoni. Kouma aliipa jina hiyo App kuwa iitwe WHATSAPP, alichagua hivyo kwa sababu alikuwa anapenda sana kusalimia watu kwa kusema "What's Up". Basi, week moja baadae Feb 24, 2009 siku ya birthday yake, Koum aliitambulisha rasmi Whatsapp Inc, California.

Mwaka 2014, Koum na Acton walikubaliana kuiuza Whatsapp kwenye shirika la Facebook ambalo miaka 7 iliyopita waliombaga kazi hapo na wakakataliwa. Walikubaliana kuiuza kwa USD 19 Billions, lakini mwisho walipanda hadi USD 22 Billions.

Natumaini umejifunza kitu.
fb_img_1509721292341-jpg.623362
 
falcon mombasa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
8,491
Likes
6,037
Points
280
falcon mombasa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
8,491 6,037 280
living like there is no tomorrow, wazungu walibarikiwa. magufuli anapaswa awasikilize sana
 
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
7,502
Likes
9,735
Points
280
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
7,502 9,735 280
huwenda mbegu angezitumia kama chakula kingine chochote ila mazao kaweka stock ya maana mpaka leo shehena bado iko
 
Mchezasumo

Mchezasumo

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
103
Likes
116
Points
60
Mchezasumo

Mchezasumo

Senior Member
Joined Jul 13, 2015
103 116 60
Hawa watu wako millimetre moja mbele
 
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
2,366
Likes
1,441
Points
280
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
2,366 1,441 280
Mnamo mwaka 1998 Jan Koum [Kulia kwenye picha ] alikutana kwa mara ya kwanza kabisa na Brian Acton [ Kushoto ] wote wakiwa wafanyakazi katika shirika la Yahoo. Walifanya kazi hapo kwa miaka 9, hadi September 2007 ambapo walishauriana kuacha kazi pale Yahoo Inc na kuchukua mwaka mmoja wa kupumzika wakiwa wanatafakari ni kitu gani kingine tofauti wafanye.

Baada ya hapo waliamua kwenda Twitter na Facebook Inc kuomba kazi kwa Bwana Mark Zuckerberg , lakini wote wawili walitolewa nje maombi yao. Hapo ilipita miaka 2 bila kufanya lolote la maana hadi ilipofika January 2009 ambapo Jan Koum aliponunua iPhone, kipindi hicho App Store ilikuwa ina miezi 7 tu tangu ilipoanzishwa.

Kama alijua vile, aliishtukia kuwa itakuja kuteka sana soko la Apps za simu. Basi hapo ndio akamshirikishawa Brian Acton wazo lake kuhusu kutengeneza App halafu haraka sana waitupie kwenye App Store kabla haijashika kasi sokoni. Kouma aliipa jina hiyo App kuwa iitwe WHATSAPP, alichagua hivyo kwa sababu alikuwa anapenda sana kusalimia watu kwa kusema "What's Up". Basi, week moja baadae Feb 24, 2009 siku ya birthday yake, Koum aliitambulisha rasmi Whatsapp Inc, California.

Mwaka 2014, Koum na Acton walikubaliana kuiuza Whatsapp kwenye shirika la Facebook ambalo miaka 7 iliyopita waliombaga kazi hapo na wakakataliwa. Walikubaliana kuiuza kwa USD 19 Billions, lakini mwisho walipanda hadi USD 22 Billions.

Natumaini umejifunza kitu. View attachment 623362
kuna vitu vingi umeacha.umeshindwa kuhitimisha.
umeshindwa kupangilia visa, matukio na wakati
 
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,294
Likes
3,026
Points
280
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined Nov 5, 2006
9,294 3,026 280
Pengine...wangepata kazi wasingekua na kiu ya kubuni whatsapp bali kubuni kitu tofauti ..
Kazi ya ubunifu ukiifanya ukiwa na kiuu fulani inakuwa bora zaidi ..toka mwaka 2009 hadi sasa watu walio kitengo cha R and D cha Zuckenburg pengine hawajaweza kuja na solutions kama hizi bali wanamaintain solution zilionunuliwa
 
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
2,366
Likes
1,441
Points
280
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
2,366 1,441 280
Heshima kwenu wakuu,

Naomba nitumie wasaa huu kuwaasa wale wanaotegemea kuoa. Nakusihi sana wewe unayetaka kuoa, Usioe Mwanamke aliyejichubua au anayevaa Mawigi, Utajuta sana.

Ndoa nyingi zenye matatizo au Wanawake wanaoonekana kupinda/kushindikana au kutobabaika na lolote, wengi wamejichubua au wanavaa Mawigi.

Mtu ameshindwa kumheshimu Mungu wake aliyemuumba kwa rangi nzuri nyeusi atakuheshimu wewe uliyemuoa? Mna macho lakini hamuoni.

Ukitaka ndoa yenye furaha, Nyumba isiyo na makelele basi epuka wanawake waliojichubua na kuvaa mawigi.
View attachment 623858
Usiponisikiliza mimi itakula kwako. Au kabla ya kunisikiliza, fanya uchunguzi wako wa watu wenye mawigi na kujichubua tabia zao ukilinganisha na hawa natural. Hawa waliojichubua ndio wanafundisha tabia mbaya hawa natural, Usikubali mpenzi wako aongee wala kuzoeana na Mwanamke mwenye kujichubua au kuvaa mawigi.

Wanaobandika kope ni wale wavaa mawigina waliojichubua

Wanaobandika kucha ni wale wavaa mawigi na wanaojichubua

Wanaopiga Kelele Mitandaoni hata Mitaani bila soni ni wale Waliojichubua na Wavaa Mawigi.

Kujichubua ba kuvaa Mawigi ni laana kwenye mahusiano, mara chache sana mahusiano yenu yakadumu. Kwa Ufupi jua upo na Pepo ndani.

Naamini ujumbe umefika. Ila neno langu sio sheria. Mtoto akililia wembe mpe.

Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi?
ndo maana mademu dizain hii chuo nilikuwa natia naamsha.
Uandishi pia ni taaluma
Ila ameeleweka
kwani hili wewe unalijua leo?
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,816
Likes
1,098
Points
280
Age
30
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,816 1,098 280
Mnamo mwaka 1998 Jan Koum [Kulia kwenye picha ] alikutana kwa mara ya kwanza kabisa na Brian Acton [ Kushoto ] wote wakiwa wafanyakazi katika shirika la Yahoo. Walifanya kazi hapo kwa miaka 9, hadi September 2007 ambapo walishauriana kuacha kazi pale Yahoo Inc na kuchukua mwaka mmoja wa kupumzika wakiwa wanatafakari ni kitu gani kingine tofauti wafanye.

Baada ya hapo waliamua kwenda Twitter na Facebook Inc kuomba kazi kwa Bwana Mark Zuckerberg , lakini wote wawili walitolewa nje maombi yao. Hapo ilipita miaka 2 bila kufanya lolote la maana hadi ilipofika January 2009 ambapo Jan Koum aliponunua iPhone, kipindi hicho App Store ilikuwa ina miezi 7 tu tangu ilipoanzishwa.

Kama alijua vile, aliishtukia kuwa itakuja kuteka sana soko la Apps za simu. Basi hapo ndio akamshirikishawa Brian Acton wazo lake kuhusu kutengeneza App halafu haraka sana waitupie kwenye App Store kabla haijashika kasi sokoni. Kouma aliipa jina hiyo App kuwa iitwe WHATSAPP, alichagua hivyo kwa sababu alikuwa anapenda sana kusalimia watu kwa kusema "What's Up". Basi, week moja baadae Feb 24, 2009 siku ya birthday yake, Koum aliitambulisha rasmi Whatsapp Inc, California.

Mwaka 2014, Koum na Acton walikubaliana kuiuza Whatsapp kwenye shirika la Facebook ambalo miaka 7 iliyopita waliombaga kazi hapo na wakakataliwa. Walikubaliana kuiuza kwa USD 19 Billions, lakini mwisho walipanda hadi USD 22 Billions.

Natumaini umejifunza kitu. View attachment 623362
Mkuu inavutia sana kiukweli maana imekuwa ndo habari ya Mjini hii WhatsApp!
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,970
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,970 1,485 280
Nimeipenda hii
 
Hacktivist

Hacktivist

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Messages
250
Likes
82
Points
45
Hacktivist

Hacktivist

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2017
250 82 45
Mkuu ungeendelea kushusha nondo maana umeikatisha patamu aiseee.......
 
Forum statistics

Threads 1,235,607
Members 474,678
Posts 29,228,550