Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,.
Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD
Huwa mnaongezea na maneno tena kwa...
Ukisoma maandiko ya kale hata kupitia Vitabu vyetu vya kiimani ni kama utaona Dunia ya kitambo hicho ilikuwa nyuma sana ki teknolojia.Hawakuwa na mashine za kuwarahisishia kazi.
Na ukifuatilia...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Kitabu hiking kinasimulia jinsi Wanajeshi wa Marekani walivyoingia kwenye mtego wa Wachina wakati wa vita ya Korea 1950-1953.
Juni Mwaka 1950 NK iliivamia SK na kuteka kwa Kasi karibu nchi yote...
Charles Darwlin
He proposed that humankind originated from man-like apes (first quote) in Africa and that humans are most allied to chimpanzees and gorillas (second quote). Further, Darwin seems...
Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri.
1. Endapo kuna mtu unayemjua kukuwinda kwa Bunduki au kisu
(When someone you know chasing you with a Gun or knife)
~Haijalishi mtu huyo unamahusiano gani...
Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo:
1.Ulazimishwaji wa kuwa...
Bila shaka mko salama waungwana...
Kikawaida neno msingi na chanzo ni maneno mawili ambayo ukiangalia kwa jicho la kawaida ni kama yanafanana hivi lakini ni maneno yaliyo na utofauti mkubwa.
Kwa...
Mtu mpaka anafikia kiwango cha kuitwa Jasusi , huyo sio mwenzako tena. Amini nakwambia .Anyway leo nakupa kisa kimoja hivi;
Siku moja Kwenye moja ya mitaa ya jiji la Moscow, maafisa wa polisi...
Tunaishi katika kizazi kilicho na:
Simu zenye akili kuliko watumiaji wake.
Mitandao ya kijamii yenye ushawishi kuliko wazazi, walimu, au viongozi wa dini.
Maarifa mengi, lakini hekima haba.
Je...
Wanajamvi:
Niwieni radhi nilibanwa na majukumu ya kuisadia nchi yetu kusonga mbele.Nilikosa kabisa muda wa kuweza kuendelea kuleta humu mijadala ambayo inahusisha mambo ambayo bado yanabeba...
Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara.
Mwandishi mmoja mwenye IQ ya...
Katika kueleza makundi haya mawili ya waamini wa imani ijulikanayo kama Wakristo (maana yake wafuasi wa Yesu) kumekua bado na mzozo mkubwa hadi leo hii kuhusu mambo Muhimu sana kuhusu imani au...
GAZA MARINE; CHANZO CHA GAZA KUWA CONCENTRATION CAMPS.
Uvamizi wa Israel "Gaza" ni mpango wa siku nyingi, sio jambo la Bahati mbaya, Kinachofanyika Gaza kina Sura mbili.... Moja mkakati wa...
Kabla ya mwili na nafsi ya Mwanadamu kuumbwa kwanza iliumbwa roho ya mtu.
Mwanadamu ni kiumbe cha kiroho chenye mwili. Mwanadamu anaishi ulimwengu wa roho (Spiritual realm) na ulimwengu wa mwili...
Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara...
Kama umewahi kujiuliza Ufunguo Mdogo wa Sulemani ulionekanaje, hizi hapa ni kurasa za uchanganuzi wa mojawapo ya matoleo ya maandishi ya kitabu. Kama unavyoona hapa, matoleo ya awali yalikuwa hati...
jamani naoma mnipe data zaidi ya huyu jamaa anayejiita mwanamboka maana mm namuona ona tu sijui anafanya shghuli gani ila nasikia kuwa ni mmoja kati ya matajiri sana tz ss kama kuna mtu anamjua...
Habari gani wakuu?
Kama kinavyo jieleza kichwa Cha uzi hapo juu kwamba...
Kama ilivyo kwa gali mpya uinunuapo Basi lazima utapewa tool box ambayo itakuwa na vifaa vyote mhimu kwa ajili ya...