MALAIKA NDANI YA KIWILIWILI CHA BINADAMU
Desemba 1994, Rapa Tupac Shakur alihukumiwa kifungo jela kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka minne na nusu. Kosa likiwa kumnyanyasa kingono mwanamke mkazi...
Habari wanajf!
Ndugu zangu,sisi wengine elimu zetu za STD 7 lakini hazituzuii kufikiri kuliko kawaida.Wanasayansi njooni hapa 'mtupakulie' maajabu ya huu ubongo kama ifuatavyo:
1.Kitendo cha mtu...
Rédoine Faïd, picha ya mwaka 2010
Jambazi sugu aliyekuwa akisakwa nchini Ufaransa alifuatiliwa nyendo zake na polisi kwa njia ya simu na alikuwa akitumia burqa kujiificha, waendesha mashtaka...
Nina imani humu Jamii forum kuna wajuvi wengi sana ,
Leo sijaja na maelezo mengi sana bali nimekuja tu na maswali haya machache wajuvi wanaojua waje wanijibu ,
Je ni kweli kwamba mtu akiuawa basi...
Salaam wakuu,
Habari zenu. Katika pita pita zangu, nimekutana na hii kitu kwakweli nimeshindwa kuelewa kabisa. Kuna mambo ya Schrodinger's cat, kwa kifupi inasemekana huu ulimwengu tuliopo kuna...
For centenaries,inquiries concern Godhead existence have been debated by philosophers,theologians,and even scientists
In debate between atheists and theists,accusation of bias,
Contemptuousness...
mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time...
Ngono
Maana: Tabia ya viumbe wa duniani ambayo ni njia ya kuzaana kutokana na wazazi wawili. Tofauti kati ya jinsia ya kiume na kike huleta mabadiliko mengi katika maisha ya wanadamu. Kwa kuwa...
Kanuni za Akili na Ulimwengu
Kanuni ya nne - Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha
Wewe ni Kama Sumaku Inayoishi.
Maisha unayoishi hivi sasa hayajaachana na ulimwengu...
Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced...
Ndugu wanajukwaa la siasa,habari za jioni.
Naomba mnijuze kuhusu tofauti ya maamuzi ya kisiasa na kisheria. Mfano,wiki iliyopita,mh m bunge wa Kigoma,Zito R. Kabwe,aliita waandishi wa habari na...
“Know yourself is beginning of all wisdom” <Aristotle>
1. MWANZO
Kwanza ningeliweka wazi hili suala kabla ya kuendela na makala hii fupi Ijapokuwa magonjwa ya akili ni magonjwa tu kama...
Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu...
English Audience.
Hero Syndrome is the condition where a person will intentionally create a dangerous situation just so they can "be a hero" and resolve it.The phenomenon has been noted to affect...
Unajimu na Kubashiri—Je, ni Njia Sahihi za Kujua Kuhusu Wakati Ujao?
UNAJIMU
Unajimu ni aina ya uaguzi inayotegemea imani ya kwamba nyota, mwezi, na sayari huathiri maisha ya wanadamu duniani kwa...
KIDON, KITENGO CHA SIRI CHA MAUAJI NDANI YA SHIRIKA LA KIJASUSI LA MOSSAD, ISRAEL
KIDON ni kitengo ndani ya Mossad chenye jukumu la kufanya mauaji dhidi ya wale wenye kuhatarisha usalama wa...
Enoki alimzaa Methusela aliyemzaa Lameki ambaye alikujaa mzaa Noah. Huyu Noah ndio wa kipindi cha gharika! (Kutoka 5:29).
Kipindi hicho malaika waasi wameshuka duniani kula 'good times' na watoto...
Mi nilichokiona kwenye mjadala wa Weusi ndio walistaarabika kwanza...!' Ni watu kutokujitambua, kukosa taarifa sahihi kuwahusu, mfumo wa elimu usiowafikisha watu kuyafikia hayo awali semwa...
Habari za mchana wana JF natumaini kila mmoja wetu ana jumapili njema, hivyo basi moja kwa moja niingie kwenye mada husika ya leo.
UTANGULIZI
SS Ourang medan ilikuwa ni jina la meli ya huko...
Sayansi ina habari nyingi sana,na vimbwanga kadha wa kadha. Sasa kuna maswali nataka kuuliza juu ya suala la Big Bang.
1. Nataka nipewe uthibitisho wa tukio hili kama kweli lilitokea. Na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.