Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mji wa Biharamulo umeanza kutoa matangazo kwa kutumia magari vijijini kuwaomba Wanyarwanda kuanza kuondoka nchini. 1. Bei za ng'ombe zimeshuka kwa 50% ikizingatiwa Rwanda walishaondoa marufuku...
8 Reactions
258 Replies
30K Views
Habari za jioni wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane...
20 Reactions
94 Replies
28K Views
Huenda majeshi ya kukodi au "mercenaries" kutoka ama nchi za Afrika Kusini, Angola, Msumbiji na hata Congo DRC yanaweza kuwa yamehusika na utekaji wa mfanyabiasha maarufu Mohamed Dewji. Vikosi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Napenda Kujua historia ya Kanisa La Orthodox. Je kuna mahusiano kati ya Orthodox church na Roman Catholic church? Nimejaribu ku Google lakini sijaelewa, mwenye maelezo mazuri na ya kueleweka...
2 Reactions
48 Replies
63K Views
China imeonesha ndege yake mpya ya kivita yenye uwezo mkubwa wa kukwepa rada na kushambulia maeneo magumu kufikika. Ndege hiyo iliyopewa jina la Wing Loong II imetengenezwa kwa teknlojia ambayo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga “Kanisa Katoliki, ambalo linajitokeza kwenye kamba ya kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia, inakabiliwa na aibu mpya baada ya...
11 Reactions
148 Replies
27K Views
Katika jitihada za kupunguza gharama za taa za barabarani usiku, jiji la Chengdu nchini China litakuwa na kivutio kikubwa cha utalii katika mpango wake wa kutengeneza mwezi wa bandia utakaowekwa...
5 Reactions
104 Replies
15K Views
Katika kufuatilia masomo mbali mbali; nilikutana na mhelimishaji mzuri ambaye kwa maelezo yake mengi nilimuuliza swali: Nawezaje kuziamsha nguvu zangu za ndani? Alinipatia majibu / sentensi nne na...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika jitihada za kupunguza gharama za taa za barabarani usiku, jiji la Chengdu nchini China litakuwa na kivutio kikubwa cha utalii katika mpango wake wa kutengeneza mwezi wa bandia utakaowekwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Je utamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni Musk anadhanii binadamu huwenda wakaepuka kifo kutokana na ujio wa teknolojia mbalimbali duniani...
3 Reactions
74 Replies
12K Views
1. Alizaliwa Tarehe 15 Januari 1929, Atlanta Georgia nchini Marekani na kufariki Memphis April 4, 1968. (Aliishi Miaka 39) 2. Baada ya kuzaliwa alipewa jina la Michael King Jr , Baba yake aliitwa...
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Published on 5 Apr 2014 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwanasheria maarufu nchini, Mabere Marando alipotembelea chumba cha habari cha Global Publishers na kufunguka mambo...
0 Reactions
65 Replies
20K Views
How the United States Overthrew Ghana's President Kwame Nkrumah combort sebraa October 10, 2018 10:08 am Follow The success of Ghanaian industrialisation would have further cemented the fact...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This system uses Direct Digital Synthesis Sweep and dedicated software to maximize its effectiveness. This high powered jamming system vehicle enables the operator to swiftly program the unit...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Mapema asubuhi, mnamo 30 Oktoba 1961, ndege ya kuangusha mabomu ya Muungano wa Usovieti aina ya Tu-95 ilipaa kutoka uwanja wa kambi ya ndege za kivita ya Olenya katika rasi ya Kola kaskazini mwa...
5 Reactions
31 Replies
9K Views
Habarini wana Intelligence .... ...hili jambo linanichanganya sana juu ya uwepo wetu Duniani.... Nikiangalia vitabu vya Dini zote vinatuambia kwamba, lengo la kuumbwa kwetu Mungu alitaka kiumbe...
3 Reactions
326 Replies
26K Views
Neno Sadism ni la lugha ya kingereza, kiswahili chake ni ukatili. Au mtu kufurahi anapoona mwingine anaumia. Hii ni hulka mbaya sana, kwa maneno mengi kupenda kuona unyama ukiwatesa baadhi ya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara nyingi hua nasikia MTU akisema huu ni mwili wangu, sikio langu, pumzi yangu, moyo wangu, mawazo yangu, akili yangu, hisia zangu... Roho yangu n.k.. Sasa maswali ninayojiuliza:-...
0 Reactions
33 Replies
21K Views
Huyu nimrodi ni mjukuu wa Hamu mmoja wa watoto wa Noah Baba yake nimrodi ni Kushi mtoto wa Hamu Yaelezwa alijenga miji mingi moja kati ya miji hiyo ukiacha babulon ni Ereki, Akadi, nchini...
6 Reactions
45 Replies
14K Views
  • Closed
Taasisi hii ambayo ndio uhai wa taifa letu imefanya mengi ya kutukuka na yasiyomithirika hata kwa chembe ya haradali. Wadadisi wa masuala ya kijasusi wataungana nami kuwa TISS ndicho chombo pekee...
68 Reactions
318 Replies
69K Views
Back
Top Bottom