Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Msitu huu Unapatikana Katika Mji wa Cluj-Napoca Kaskazini Magharibi mwa Romania, Una Ukubwa wa Ekari 729 na Ndio Msitu Nambari Moja Hatari Duniani Watu Kupotelea Humo. Inaelezwa Miaka ya Nyuma...
4 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wakuu, Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa watu wote hapa jukwaani kwa kuweza kutuelimisha pia kutukaribisha katika mijadala mbali mbali yenye utata hapa duniani, Pia mijadala na elimu...
10 Reactions
80 Replies
21K Views
OKTOBA 25 2001 " Why do you always want to blame someone in the Middle East? This is a very genious work requiring sophiscated equipments,It's very unlikely to be produced in some cave" (kwanini...
17 Reactions
50 Replies
13K Views
August 28,2003 saa 8:28 mchana, Mwanaume wa makamo Brian wells anaingia katika benki ya PNC iliyopo Erie, Pennsylvania akiwa ameshika fimbo fupi ya kutembelea huku akionekana na uvimbe wa ajabu...
76 Reactions
83 Replies
18K Views
Ummat Interviews Usamah Bin-Ladin 28 September 2001 Bin-Ladin Denies Involvement in the 9/11 Attacks Source: Khilafah.com, 10 Oct 2001 The Al-Qaidah group had nothing to do with the 11...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Muanzishilish wa mitambiko ni Mungu, Mungu ni roho hapo mwanzon Mungu alitafuta njia ya kuwasiliana na mwanadamu, njia mojawapo ni damu Kwa sababu uhai unakaa kwenye damu, na kwenye damu ndo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam waungwana [emoji1538] Leo uzi huu nitauweka kama swali ila nami nitaweka hoja yangu. Miaka ya nyuma 1960s huko Marekani ubaguzi ulidhamiriwa kufikia ukomo hasa nyanja za msingi na hapa...
8 Reactions
25 Replies
6K Views
Nipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini...
3 Reactions
33 Replies
14K Views
Hiv ni kweli siku ya ufufuo ipo au ni tricky tu ya kutufariji pindi tunapofiwa na ndugu na jamaa ili tuamini ipo siku tutaonana nao paradiso na kama kweli ipo? Maana watu wamefariki miaka zaidi ya...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Dunia yetu ni sayari ya tatu kutoka kwenye jua. Mirihi (“Mars”) ni ya nne na Mushtarii (“Jupiter”) ni ya tano na kubwa kuliko zote katika mfumo wa jua wa Sol. Katikati ya Mirihi na Mushtarii kuna...
19 Reactions
107 Replies
22K Views
Kipaji au talanta kwa maana nyingine ni uwezo ambao binadamu anapewa na Mungu wa kufanya mambo mbalimbali hapa duniani.Vipaji hivi vinatofautiana baina ya mtu na mtu japokuwa kwa baadhi ya watu...
5 Reactions
3 Replies
12K Views
Invisible Power of Women* Utafiti unaonyesha 98% ya watoto wote huzaliwa ni ma genius; mama zetu wana nguvu za kuona kitu kilichopo ndani yetu kuliko mtu yeyote. -wanawake wana uwezo waliopewa na...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
ALMASI ZA ANASTASIA (ANASTASIA DIAMONDS) Binti Mrembo Anastasi.... Makatili wale hawakuwa na utu kabisa kumtendea vile mrembo kama huyu. inasikitisha sana. je hawakuona kuwa hili lilikuwa ni moja...
7 Reactions
6 Replies
4K Views
Huku tunakoelekea sasa kubaya na haya mambo inaonekana yalifanyika miaka ya sabini na kufanikiwa, hivyo wameplan kutumia minara ya simu au ndege, magar yenye vifaa maalumu kwa ajili ya kucontrol...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Jua ni miongoni mwa nyota kubwa kuliko zote kwenye solar system ndio chanzo cha energy na maisha ya hapa Duniani na ulimwengu mzima na ikitokea jua limezima basi maisha ya ulimwengu mzima...
19 Reactions
221 Replies
31K Views
Nchi za Ulaya zimekosa wafungwa kabisa magerezani kufuatia watu kutokutenda uhalifu Sasa huenda ikawa na chaguzi mbili,moja kupitisha sheria ikiwa mtu anataka kuonja maisha ya jera Kwa matakwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni Kanisa Catholic Ambalo Lina Nguvu Kwa Kila Idara Zake Kuanzia Pande Mbalimbali Za Ulimwengu Huu. Inajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana Duniani Yaani Eneo Lolote...
7 Reactions
61 Replies
12K Views
Historia ya binadamu na ustaarabu wake,inatusimulia na kutilia mkazo juu ya chanzo cha ulimwengu na vilivyomo. Achilia mbali usahihi wa nukuu hizo za kihistoria,hili ni somo kando na hapa...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) "Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si...
103 Reactions
131 Replies
36K Views
CAMDEN, NEW JERSEY Eneo maskini kuliko yote marekani Camden iko mjini new jersey nchini marekani Camden imepakana na Philadelphia ambapo imetenganishwa na daraja la frankly. Frankly ni kieneo...
5 Reactions
47 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…