CIA kwa bahati mbaya limefichua taarifa jinsi ku-control akili bila mtu kujua akili yake imekuwa hacked

Mr ceragem

Senior Member
Feb 22, 2015
109
65
Huku tunakoelekea sasa kubaya na haya mambo inaonekana yalifanyika miaka ya sabini na kufanikiwa, hivyo wameplan kutumia minara ya simu au ndege, magar yenye vifaa maalumu kwa ajili ya kucontrol akili yetu, swali je tupo salama au hata unachowaza leo ni mtu tu kaamua uwaze hivyo unavyowaza?

Kwa maelezo zaidi link hii hapa chini

US govt counterterrorism center accidentally releases ‘remote mind control’ documents - report


5ada5ab9dda4c8697a8b45d3.gif
 
There would be no such mythical power!!

Hizo ni propagandas za kuwatia wasiwasi maadui zao
 
There would be no such mythical power!!

Hizo ni propagandas za kuwatia wasiwasi maadui zao
Usibishe kila jambo ndugu haya mambo yanawezekana kabisa, mfano mdogo angalia kundi kubwa lilivyoathirika na matumizi mabaya ya mtandao hasa hizi smartphone, imesababisha watu wawe kama mazombie na kushindwa hata kutafakari mambo yenye manufaa kwa jamii...
 
Mbona utaalamu huo hata Bongo tunao!
Mambo ya chuma ulete si ndiyo hayo ya kumteka mtu akili?
 
Mbona kuhack akili ya mtu ni jambo jepesi sana.
kama sisi kwa sisi tuna hackiana.

Unadhani movie za mazombie zina ujumbe gani?
Kweli zombies ni another good way ambayo people control people. Mfano: cheki kitu kinachoitwa Voodoo Magic huko ndo mtu anafanya kitu bila mind yake kuwa active

Sent using Infinix hot 4
 
Wanatengeneza vodoo pupet

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio pia kuna movie inaitwa John English kacheza Mr. Bean Kuna solution ilitengenezwa inayo "Timoscrine Baberbutonal" sikumbuki vizuri sana jina lake but wameonesha ni jinsi gani wanaweza kumcontrol mtu bila kuwa na ufahamu wake. Hii Nilidhani ni movie but ukifutailia ndani kuna hidden meaning ya kuwepo kwake.

Sent using Infinix hot 4
 
No you can't be serious ma nigga mm nilijua umeshusha nondo ili tuchangie kumbe umelete ma link. Huku hatufanyi hvo
Wengine tunatumia free basic mambo ya link daah. Afanye tu uchambuzi kisha aweke link kama reference. May be can help
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom