Je, Jua ni Mungu?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,303
Jua ni miongoni mwa nyota kubwa kuliko zote kwenye solar system ndio chanzo cha energy na maisha ya hapa Duniani na ulimwengu mzima na ikitokea jua limezima basi maisha ya ulimwengu mzima yanakoma. Mimea na miili ya binadamu inategemea mwanga jua kuendelea kuishi na sio mwanga wa Tanesco..kwanini ni mwanga wa jua peke yake..Mwanga wa jua una siri gani kubwa ya uhai na kuuisha inayoitofautisha na mianga mingine? Na lina mahusiano gani na utukufu wa kimungu? Na kwanini jamii nyingi Duniani zilifikia hatua ya kuliabudu kama Mungu? Na kwanini walipata majibu yao na kuishi kwa amani kuliko sisi? Kuna maswali mengi sana yanaibuka hapa.

Ila jua ni nyota kubwa kuliko zote inaaminika Dunia ili ilingane na jua inabidi ziwe dunia milioni 3,000,000/= dunia ni moto mkali sana unaowaka kwa miaka zaidi ya billion 5 bila kukoma I kutengeneza yenyewe hii energy kwa mfumo wa nuclear fission kwa kuzigonganisha hydrogen into helium na kutengeneza megawatts za energy 386 billion billion of megawatts kwa siku kiasi hili cha nguvu dunia toka kuumbwa hadi Leo haijawahi kutengeneza ilhali jua linatengeneza kwa siku na kinasafiri kwa sekunde kutoka miles ya jua lilipo hadi Duniani. Energy hii inaitwa cosmos sometimes ambayo ni sawa na energy rays ya rohoni ya binadamu inayofahamika kama "Aura" ndio maana binadamu akitizama na kuruhusu mionzi ya jua ya asubuhi impige kila siku kwa masaa matatu kwa miezi nane anakuwa spiritual awaken and powerful maana minzi hii ya jua ina ushabihianisho na mionzi ya energy ya roho ya binadamu. Swali je mionzi ya jua ndio supreme energy( Mungu)?
0f1c30b6744f8502a8256fa05f263eb5.jpg

Jua likioneshwa likiwa katikati ya sayari na nyota zote likizivuta kwa uga wake mkali wa sumaku zije katika USO wake na vyote hivi havina support yeyote ilivishikilia vinaelea angani kwa utukufu mkubwa na jua kutaka kuthibitisha Uboss wake sayari na nyota zote zinazunguka isipokuwa jua pekee ndio lipo limekaa pale pale kibosi.

Dini zote za zamani zinakubaliana kwamba jua ni Mungu na wakaita "Sun God " na ndio ikazaliwa "Sun day" siku ya jua ambapo watu hawakuruhusiwa kufanya kazi bali waende wakalisujudie na kulitukuza jua kwa matendo makuu linalowafanyia hii hata Ancient Roman waliamini sun is God ndio maana hata Jesus baada ya kuzaliwa na kufanya makubwa wakamwita "Son God' ambapo baadae aliitwa the Son of God"

f1e0dcd8b9f7f05a0bce72c88c06910c.jpg

Picha ya zamani Roman bikira mariamu akiwa kambeba mwanae na kukumbatia jua kwa wakati mmoja.

98a6d723baa72cda3d98a2dc3013614d.jpg

Kiti kilichoko Vatican cha Papa anachokalia kikiwa na mchoro wa jua kwa nyuma yake.

d15e8ee62a4f9215a174da918fff9dcf.jpg

Jesus kabebwa akiwa kazungukwa na jua kichwani pake.

75a1b66f6bfa2bad9aff9d18712d1928.jpg
Jua likiwa linaonekana altareni.

Hata Egypt ya kale waliamini katika jua kuwa Mungu na walimwita "Ra" waliamini jua ndio Mungu mkuu kuliko wote aliewaumba hata wale miungu walikuwa wanaabudiwa pale Egypt wote wanapaswa kumuabudu Sun God anaitwa "Ra".

67b831f25be6c233a084c208bb1f41db.jpg

Michoro ya kwenye madhabu ya Egypt ikionesha watu wa zamani wakiabudu jua.

81ca432ead37eaaabd6780c007a9c371.jpg

Mchoro wa mfalme wa Egypt ambaeni Deity akiwa kalibeba jua kichwani pale kuonyesha utukufu wa Mungu.

Japan waliamini Sun God anaitwa "Amaterusi"waliamini ndio Mungu alieumba viumbe vyote kwa na mwenye nguvu zisizomithilika.

Libya kwenye makabauri ya wale mummies wote wafalme zamani wa kiume na wa kike baada ya kufukuliwa walikutwa na Sun tattoos zinazotoa alama ya Sun worship.

c0873af6d93324fce46b6d5105036c06.jpg

Kuna mengi sana ya kuzungumza na kushare kuhusiana na jua na utukufu wake wa kimungu na kuaminiwa na kuabudiwa jamii nyingi za zamani Duniani kama Mungu na maisha yao yalikuwa mazuri na yenye siha njema.

Na dini zote hizi za kisasa pia zimetoka kwenye sun worshipers which makes more sense kwangu kuamini this energy ya jua ndio energy kubwa kuliko zote Duniani hivyo since God ndio mwenye energy kubwa kuliko zote kwanini Jua lisiwe na uungu ndani yake!? Nahisi napaswa kuacha dini za kimapokeo na kuamini kwa Sun God kama huyu bwana hapa

076c539e3e3ad7b4e5303db53c47d912.jpg
Maana it makes more sense sisi binadamu kihualisia ni nguvu yaani energy ya rohoni kwanini nguvu kuu inayofanana na sisi isiwe baba yetu? Sun is God
db97541a77bf38b7cb55738708e6ffb8.jpg
.

Rejea nyimbo ya alpha blondy Masada utaona hata yeye anapoint ya msingi juu ya uungu wa jua. Rejea nyimbo ya Bob Marley talking blues.
 
Jua siyo Mungu, watuwengi wanaliabudu jua kwasababu shida walizo pitia mfano waliteswa sana na mvua na baridi kali kwa kipindi kirefu matokeo yake jua lilipochomoza waliliabudu tu! kutokana na faraja waliyoipata kupitia jua kwakweli bila jua hakuna uhai.
Nadhani watu walipaswa kuabudu mvua maana inaleta chakula pia lakini ikumbukwe bila jua kufanya photosynthesis hamna chakula..jua huwa watu hawalipi kipaumbele sana maana likizidi ni lawama ila linazidi baada ya binadamu kufanya uchafuzi na kutoboa ozone layer ya kupozea miale ya dunia inayofika duniani.

Mungu atupenda sio siri.
 
Jaribu kudownload huu wimbo ndio ujue hata Israel walikuwa wanaamka asubuhi pale karibu na Dead sea wanatizama Masada jua linapochomoza na kutoa sifa na utukufu kwa Mungu. Blondy akaamua kutungia nyimbo hii hapa chini inaitwa Masada.

Alpha Blondy & Solar System - Masada.

I'm gonna sleep by the dead sea,
And rise up with the birds from the hills.
And clean up my sins, while the birds sing
I'm gonna walk up to the top of the rock of sacrifice,
'Cause I know now, that life ain't no dice.
Yes, I know now, that life is a sacrifice.
And I know now, life is a sacrifice.

I'm gonna witness the rising sun from Masada
Witness Jah rising sun from Masada.
I'm gonna witness the rising sun from Masada
Witness Jah rising sun from Masada.
Yes from Masada - I want you to see
The sun, the sun, the sun..

Sleep by the dead sea,
And rise up with the birds from Jah hills.
And clean up my sins, while the birds sing.
I'm gonna climb to the top, of the rock of sacrifice,
'Cause I know now,
That the Lord had conforted his people.
Yes, the Lord had conforted his people.
Yes, the Lord had conforted his people.

Witness the rising sun from Masada.
Witness Jah rising sun from Masada.
I'm gonna witness the rising sun from Masada
Witness Jah rising sun from Masada.
Yes from Masada - I want you to see
The sun, the sun, the sun..

Elohim YEVARECH ETE MASADA.
YEVARECH, ELOHIM ETE MASADA.
Elohim YEVARECH ETE MASADA.
YEVARECH, ELOHIM ETE MASADA.
 
Jua si MUNGU

Mungu aliyetengenezwa na elements kama Hydrogen, Helium, oxygen na vielement vingine????

Jua ni mojawapo kati ya components za Solar System...yenye sifa ya kutoa Mwanga na Joto katika sayari zote baas.

Ukisema Jua ni Mungu wengine watasema Planet Earth ndio Mungu kwasababu

-Pekee ndio inayoprovide Habitat kwa viumbe hai.

-Pekee tu ndio yenye nguvu ya mvutano (Gravitational force) chini yenye kuwezesha Organisms na Materials kumove on the surface

-Pekee ndio yenye udongo wenye rutuba na madini yaliyo ya muhimu kwa sisi viumbe.

-Pekee ndio yenye Oxygen pure ifaayo kuvutwa na kutumiwa na wakazi wake.

On the other side, wengine watasema kwamba Jupiter ndio MUNGU kwasababu ni sayari kubwa sana na yenye Miezi (satelites) 20 hivyo kunang'aa sana kuliko sayari dunia.

Kwanini ujiulize kuwa Jua pekee ndio Mungu?
 
Jua linapata utukufu na heshima kubwa kuliko sayari na nyota zote maana ndio life provider wa all universe.

Its the biggest source of life.

No sun..No life in all planets and stars.
 
Hahaha the humble African, wanasema M(Z)UNGU Ndiye.
Hili jua lipo Sayari ya kwanza na ya pili lakini hazina uhai, dunia ya tatu ina uhai, hakuna sayari ina uhai zaidi ya hii, hata Mars hakuna uhai lover iko huko mars inapiga picha lakini mpaka sasa hakuna picha ya kiumbe chochote kilicho hai, hata mabaki hakuna. Mwanzo walisema kuna bacteria wakapingana wenyewe.
Duniani ndio kuliko uhai, na sisi ndio MIUNGU wa humu. Kila kiumbe ni MUNGU, kina nguvu yake.
 
But remember water comes for condensation process in which sun plays a vital role in the water forming process.

We all thrives when sun comes in between.

No sun no life.
Not all water comes from evaporation+ condensation then precipitation with the help of sun. ua talking about Rainfall...right?

What about underground water? water about surface water?
 
Hahaha the humble African, wanasema M(Z)UNGU Ndiye.
Hilijua Sayari ya kwanza na ya pili hazina uhai, dunia ya tatu ina uhai, hakuna sayari ina ugai zaidi ya hii, hata Mars hakuna uhai lover iko huko mars inapiga picha lakini mpaka sasa hakuna picha ya kiumbe chochote kilicho hai, hata mabaki hakuna. Mwanzo walisema kuna bacteria wakapingana wenyewe.
Duniani ndio kuliko uhai, na sisi ndio MIUNGU wa humu. Kila kiumbe ni MUNGU, kina nguvu yake.
Mpwa..kwa concept ya kuumbwa na kwa kutumia spiritual energy sisi tuna uungu ndani yetu maana Mungu ni spiritual energy pia.

Nakubaliana na kauli yako ila nataka ujue yupo mmoja ndio the most supreme being..The God.
 
Jua ni miongoni mwa nyota kubwa kuliko zote kwenye solar system ndio chanzo cha energy na maisha ya hapa Duniani na ulimwengu mzima na ikitokea jua limezima basi maisha ya ulimwengu mzima yanakoma. Mimea na miili ya binadamu inategemea mwanga jua kuendelea kuishi na sio mwanga wa Tanesco..kwanini ni mwanga wa jua peke yake..Mwanga wa jua una siri gani kubwa ya uhai na kuuisha inayoitofautisha na mianga mingine? Na lina mahusiano gani na utukufu wa kimungu? Na kwanini jamii nyingi Duniani zilifikia hatua ya kuliabudu kama Mungu? Na kwanini walipata majibu yao na kuishi kwa amani kuliko sisi? Kuna maswali mengi sana yanaibuka hapa.

Ila jua ni nyota kubwa kuliko zote inaaminika Dunia ili ilingane na jua inabidi ziwe dunia milioni 3,000,000/= dunia ni moto mkali sana unaowaka kwa miaka zaidi ya billion 5 bila kukoma I kutengeneza yenyewe hii energy kwa mfumo wa nuclear fission kwa kuzigonganisha hydrogen into helium na kutengeneza megawatts za energy 386 billion billion of megawatts kwa siku kiasi hili cha nguvu dunia toka kuumbwa hadi Leo haijawahi kutengeneza ilhali jua linatengeneza kwa siku na kinasafiri kwa sekunde kutoka miles ya jua lilipo hadi Duniani. Energy hii inaitwa cosmos sometimes ambayo ni sawa na energy rays ya rohoni ya binadamu inayofahamika kama "Aura" ndio maana binadamu akitizama na kuruhusu mionzi ya jua ya asubuhi impige kila siku kwa masaa matatu kwa miezi nane anakuwa spiritual awaken and powerful maana minzi hii ya jua ina ushabihianisho na mionzi ya energy ya roho ya binadamu. Swali je mionzi ya jua ndio supreme energy( Mungu)?
0f1c30b6744f8502a8256fa05f263eb5.jpg
Jua likioneshwa likiwa katikati ya sayari na nyota zote likizivuta kwa uga wake mkali wa sumaku zije katika USO wake na vyote hivi havina support yeyote ilivishikilia vinaelea angani kwa utukufu mkubwa na jua kutaka kuthibitisha Uboss wake sayari na nyota zote zinazunguka isipokuwa jua pekee ndio lipo limekaa pale pale kibosi.

Dini zote za zamani zinakubaliana kwamba jua ni Mungu na wakaita "Sun God " na ndio ikazaliwa "Sun day" siku ya jua ambapo watu hawakuruhusiwa kufanya kazi bali waende wakalisujudie na kulitukuza jua kwa matendo makuu linalowafanyia hii hata Ancient Roman waliamini sun is God ndio maana hata Jesus baada ya kuzaliwa na kufanya makubwa wakamwita "Son God' ambapo baadae aliitwa the Son of God"
f1e0dcd8b9f7f05a0bce72c88c06910c.jpg
picha ya zamani Roman bikira mariamu akiwa kambeba mwanae na kukumbatia jua kwa wakati mmoja.
98a6d723baa72cda3d98a2dc3013614d.jpg
kiti kilichoko Vatican cha Papa anachokalia kikiwa na mchoro wa jua kwa nyuma yake.
d15e8ee62a4f9215a174da918fff9dcf.jpg
Jesus kabebwa akiwa kazungukwa na jua kichwani pake.
75a1b66f6bfa2bad9aff9d18712d1928.jpg
jua likiwa linaonekana altareni.

Hata Egypt ya kale waliamini katika jua kuwa Mungu na walimwita "Ra" waliamini jua ndio Mungu mkuu kuliko wote aliewaumba hata wale miungu walikuwa wanaabudiwa pale Egypt wote wanapaswa kumuabudu Sun God anaitwa "Ra".
67b831f25be6c233a084c208bb1f41db.jpg
michoro ya kwenye madhabu ya Egypt ikionesha watu wa zamani wakiabudu jua.
81ca432ead37eaaabd6780c007a9c371.jpg
mchoro wa mfalme wa Egypt ambaeni Deity akiwa kalibeba jua kichwani pale kuonyesha utukufu wa Mungu.

Japan waliamini Sun God anaitwa "Amaterusi"waliamini ndio Mungu alieumba viumbe vyote kwa na mwenye nguvu zisizomithilika.

Libya kwenye makabauri ya wale mummies wote wafalme zamani wa kiume na wa kike baada ya kufukuliwa walikutwa na Sun tattoos zinazotoa alama ya Sun worship.
c0873af6d93324fce46b6d5105036c06.jpg

Kuna mengi sana ya kuzungumza na kushare kuhusiana na jua na utukufu wake wa kimungu na kuaminiwa na kuabudiwa jamii nyingi za zamani Duniani kama Mungu na maisha yao yalikuwa mazuri na yenye siha njema. Na dini zote hizi za kisasa pia zimetoka kwenye sun worshipers which makes more sense kwangu kuamini this energy ya jua ndio energy kubwa kuliko zote Duniani hivyo since God ndio mwenye energy kubwa kuliko zote kwanini Jua lisiwe na uungu ndani yake!? Nahisi napaswa kuacha dini za kimapokeo na kuamini kwa Sun God kama huyu bwana hapa
076c539e3e3ad7b4e5303db53c47d912.jpg
maana it makes more sense sisi binadamu kihualisia ni nguvu yaani energy ya rohoni kwanini nguvu kuu inayofanana na sisi isiwe baba yetu? Sun is God
db97541a77bf38b7cb55738708e6ffb8.jpg
.

Rejea nyimbo ya alpha blondy Masada utaona hata yeye anapoint ya msingi juu ya uungu wa jua. Rejea nyimbo ya Bob Marley talking blues.
All Writtings kuhusiana na

- Ukubwa wa jua
-Components za jua
-umbali wa jua kwa kila sayari, (mfano kusema kuna 150kms mpaka duniani)

Zote hizo hazina Ukweli na Uhakika.

Kwasababu sisi hapa duniani tunaungua sana na jua mpaka watu wengine wanatokwa na damu puani na mazao yanakauka ilihali Jua lipo mbali sana na tena kuna Ozone layer hapo juu.

SWALI: Wanaosema jua lina Helium, Hydrogen etc na kwa asilimia zake walipimaje?

Ni akina nani waliopima size ya jua na kujua kuwa dunia inaingia mara 3,000,000 ?
 
Not all water comes from evaporation+ condensation then precipitation with the help of sun. ua talking about Rainfall...right?

What about underground water? water about surface water?
Hizi water bodies zote zilizopo ni nature they were created that way na ziko sustained na jua ili kuwa sustainable..fikiri Dunia ingesogea kidogo kuelekea ilipo jua basi nadhani hizi maji yote yangekauka na kuwa mvuke kwa ukali wa mionzi na dunia lingesogea mbali kidogo kutoka uwepo wa Jua basi hata haya Maji yangekuwa barafu tupu kama Barafu la Pluto.

But jua limekaa umbali sahihi kabisa na dunia ili jua lirahisishe maisha ya hapa Duniani. Kwa hiyo mother nature inabaki kuwa mtoto mtiifu wa jua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom