Women Invissible Power.waraka kwa wanawake.

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
Invisible Power of Women*
Utafiti unaonyesha 98% ya watoto wote huzaliwa ni ma genius; mama zetu wana nguvu za kuona kitu kilichopo ndani yetu kuliko mtu yeyote.
-wanawake wana uwezo waliopewa na Mungu wa kumuibuwa mtu wa ndani, that genius aliyelala ndani yetu.
-Katika bible mfano tumeona hata Mungu anapotaka kuleta mabadiliko makubwa anamtumia mwanamke;
-Hata shetani anajua nguvu ya mwanamke.
-Nguvu ya mwanamke sio ya kupuuza, Biblia ikasema tuishi nao kwa akili.
-Mwanamke ana nguvu ya kumfanya mwanaume afike mbali sana.
-Siku moja obama alilia akasema bila mkewe asingekua rais
-Thomas Edson mama yake almwambia una akili sana mwanangu baada ya kufukuzwa shule, lakin mama yake aliona kiti ndani yake.
-Yuko jamaa yangu mmoja alitumbuliwa katika wafanya kazi hewa, lakini mke wake alimtia moyo na kumuonyesha mapenzi sana, akatafuta pesa wakafungua biashara ndogo, leo hii wana biashara kubwa sana.
-Mwanamke akijua nguvu iliyo ndani yake akiitumia vizuri maendeleo .
-The women have power to heal men, na kuwafanya wafike mbali.
-Nchi za mashariki ya mbali, China, Korea Japan wanawake wana nguvu sana katika jamii na wamepewa nafasi.
-Mwanamke akipata maarifa sahihi, anaeza leta mabadiliko makubwa sana.
-They are catalyst.
-mwanamke anapotumia ile nguvu vibaya, ndipo sasa unakua mwenz wake ana sukari na presha.

-Historia ya Marcedez benzi ukiisoma itakufurahisha sana: mara ya mwisho baada ya kufilisika sana, mkewe alimwaambia try it for last time please. Na baada ya hapo akatoboa.
Japo pia haina haja ya kukata tamaa hadi chembe.
JK ROWLING alikua rejected 12 times kabla haja publish kitabu chake cha Harry Potter
-Beyonce aliandika nyimbo zaidi ya mia kabla ya kuja na Halo
-Mack Zuckerberg alitengenez app nyingi za kuchag, game na studying kabla ya kuja na facemash ambayo baadae ni facebook.
-Mafanikio makubwa huja pale unapokubali kuwa na uhuru kushindwa pasipo kukataa tamaa
-no one who dont mistake, lets keep trying. Then we become greater together.

Pata nakala ya kitabu changu ujifunze zaidi. henryest600@icloud.com
 
Power ya mtu ipo ndani ya mtu na si Ndani ya mtu mwingine. Acha upotoshaji.

Unachojaribu kukieleza huna maarifa nacho kabisa. Mtu afikiriavyo ndivyo alivyo. Kesho ya mtu ipo kichwani mwake. Mtu ndiye anayeamua maisha yake yaweje.

Attitude ndio kila kitu. Kama mtazamo wako ni kuwa ili ufanikiwe basi unahitaji nguvu ya mwanamke au ya mtu fulani basi mambo huwa hivyo. Halikadhalika na asiye na mtazamo huo.

Nguvu ya mwanamke ipo kwa mwanaume dhaifu. Acha kuwapa moyo wanawake eti wananguvu sijui ya nini kwa mifano dhaifu kabisa.

Kitu chenye nguvu si rahisi kupatikana na kuingilika. Ni cha gharama. Na hakifikiki kwa urahisi.

Sasa embu niambie Mwanamke hafikiki kwa urahisi. Je ni wa gharama. Je haingiliki. Acha kupotosha Uma Mkuu.

Utawapata hao hao maamuma wenye akili ndogo.
 
Umejaribu kuweka maneno mazuri ya kupumbaza akili ili kuuza kitabu chako ni straterger nzuri lakini yamejaa upotoshaji na utegemezi kwa mwanamke kwa kiasi kikubwa.
Kama mwanamke anazo power hizo unazo mbatiza vipi yeye mbona bado ni kiumbe dhaifu sana katika universe hii?Je hizo power zina function kwa wanaume tu alafu kwao(wanawake) hazina nguvu.
Nguvu ya kila kiumbe ipo ndani yake na si kwa kiumbe chochote kile,unachoamini na kufikiria basi tegemea matokeo sawia na upeo wako wa kufikiri ilivyo.
Wewe ni mmoja ya vijana wanao lelewa na majimama huku wakiwahudumia kila kitu sasa umekuja kutoa shukrani kwao.

iPhone 7plus
 
Power ya mtu ipo ndani ya mtu na si Ndani ya mtu mwingine. Acha upotoshaji.

Unachojaribu kukieleza huna maarifa nacho kabisa. Mtu afikiriavyo ndivyo alivyo. Kesho ya mtu ipo kichwani mwake. Mtu ndiye anayeamua maisha yake yaweje.

Attitude ndio kila kitu. Kama mtazamo wako ni kuwa ili ufanikiwe basi unahitaji nguvu ya mwanamke au ya mtu fulani basi mambo huwa hivyo. Halikadhalika na asiye na mtazamo huo.

Nguvu ya mwanamke ipo kwa mwanaume dhaifu. Acha kuwapa moyo wanawake eti wananguvu sijui ya nini kwa mifano dhaifu kabisa.

Kitu chenye nguvu si rahisi kupatikana na kuingilika. Ni cha gharama. Na hakifikiki kwa urahisi.

Sasa embu niambie Mwanamke hafikiki kwa urahisi. Je ni wa gharama. Je haingiliki. Acha kupotosha Uma Mkuu.

Utawapata hao hao maamuma wenye akili ndogo.
Kweli mkuu anazingua huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom