Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

“KANUNI ISIYOONEKANA INAYOONGOZA HISTORIA” Utangulizi Katika historia ya binadamu, tumeshuhudia ustaarabu ukisimama na kuanguka, falme zikitukuka kisha zikifutika, na viongozi maarufu wakifika...
9 Reactions
9 Replies
759 Views
Ghafla tumeanza kusikia Yada Yada za maneno mapya kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, Eti "Kuna foreign Element" zinataka kuleta machafuko," "Watu waliovuruga OKtba29 si Watanzania,"...
5 Reactions
7 Replies
569 Views
Juzi nilikuja na mada ya "Je, uchawi upo?" Kwa kufikiri kwa kutumia logic na mtazamo wa kisayansi, tunaweza kusema uchawi haupo, bali ni fiction hasa kutokana na story nyingi za uongo...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, Matokeo ya Uchaguzi mkuu yameshatoka na maisha yanaendelea na tumeapishwa. Lakini, kama mdadisi wa mambo, nimekuwa nikicheza na takwimu rasmi za INEC na Sensa yetu ya 2022. Naomba...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
"Licha ya kubeba historia ya chama kikongwe nchini, mtaa wa Lumumba umebeba jina la aliekuwa mmoja wapo wa viongozi bora kabisa wa Afrika ya wakati huo. Si mwingine bali ni Patrice Lumumba" Huu...
15 Reactions
88 Replies
15K Views
Yanayo andikwa huko mitandaoni, binafsi nabaki katika mawazo kutokana na kuwa muumini wa Tanzania yenye upendo, amani na utulivu, lakini yalio pelekea yote haya kwa vijana ni chuki ilio jengwa...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Hatimaye nimefikia hitimisho kuwa juhudi za kupambana na ufisadi nchini hazitofanikiwa na ya kuwa upepo wa ushindi unavuma kuelekeza merikebu za mafisadi kuelekea ushindi! Zaidi ya watu kulalamika...
5 Reactions
145 Replies
19K Views
Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, mitaa mingi nchini imejawa na mijadala, midomo na mikono juu — wengine wakiita kilichotokea ni maandamano, wengine wakisema ni vurugu, na wachache...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Mnamo tarehe 17 Novemba, 2002 mahabusu wapatao 85, wanaume wakiwa 79 na wanawake 6 waliondoka katika gereza la Ruanda majira ya saa 3:00 asubuhi kuelekea Rujewa. Ilikuwa mahabusu hao wafikishwe...
14 Reactions
41 Replies
12K Views
UAMSHO WA UJASIRI WA NDANI KILA BINADAMU ANA CHEMCHEMU YA UJASIRI NDANI YAKE Kila mtu ana kipimo cha hofu, lakini ndani ya hofu hiyo kuna mbegu ya ujasiri. Ubongo wa mwanadamu umeumbwa na uwezo...
3 Reactions
1 Replies
384 Views
Membe suspicious of France as well as Libya - A Wikileak document shows 2nd September 2011 The whistleblower organisation Wikileaks has now decided to spill all the beans by releasing the...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Sven-Goran Eriksson 'duped into managing football minnows by businessman who promised billions in incredible fraud' By Neil Sears Last updated at 7:32 AM on 19th April 2011 Add to My...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Umewahi kujiuliza kwanini Matajiri au watu waliofanikiwa ni wachache Sana kwenye jamii?Je unafikiri kwanini wengi wanashindwa kuupata UTAJIRI?Kuupata UTAJIRI unahitaji NGUVU ziwe za kiroho (za...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Tuifahamu time travel ninini kwanza (si lazima iwe sawa na ile unaifahamu wewe) .... Ni sawa na kurudisha muda nyuma na kuleta uhalisia wa jambo lililipita ulifanye tena ama kupeleka muda mbele na...
28 Reactions
254 Replies
30K Views
Wakuu, Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata...
10 Reactions
615 Replies
95K Views
A Theological Inquiry into the Nature, Attributes, and Works of God Introduction: The Foundational Question The question, "Who is God and from where did He originate?" is of profound...
1 Reactions
5 Replies
657 Views
Mungu ni neno...nikimaanisha ni muunganiko wa herufi M, irabu U , herufi N, herufi G na Mwisho Tena irabu U, ...neno hili ni ishara, ishara hii Ina maana...maana hii Mara nyingi huwa Ina taswira...
3 Reactions
4 Replies
894 Views
Niliwahi kufika Kaole Bagamoyo kule kwenye makumbusho... Pale kuna kaburi moja maarufu sana... Wamezikwa watu wawili kwa pamoja mke na mume ambao walipendana sana kiasi kwamba walikufa pamoja...
15 Reactions
137 Replies
20K Views
Speculation is a broad term referring to a conjectural consideration or hypothesis formed about an event or question, typically without enoug h information to be certain. It is essentially an...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…