Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

YAFUATAYO NI MAUAJI TISA (9) YA HALAIKI MAKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA AMBAYO HAYAZUNGUMZWI SANA. Ukisikia mauaji ya Halaiki (genocide) akili inakimbilia Rwanda , Soweto na Holocaust (waisrael...
27 Reactions
68 Replies
17K Views
Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!. iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k...
3 Reactions
9 Replies
311 Views
"Maandamano ya kupinga ada ya vyuo vikuu Afrika Kusini" Wiki iliyopita, wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Afrika Kusini walianza kufanya maandamano ya kupinga ongezeko la ada kwa asilimia 10.5 katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba amani na utulivu wetu kama nchi mwisho wake ulikuwa 1995 Baada ya hapo amani na utulivu wetu tuliviweka rehani pale tulipoanza kubinafsisha kila kilicho chetu kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I am in a deep thoughts,Is God really fair? For instance...Watu wengi ambao ni WEMA hupitia changamoto nyingi kuliko wale ambao si WEMA
15 Reactions
894 Replies
63K Views
Wakuu, Jana tarehe 27 Novemba 2025, Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) limepitisha azimio zito ambalo kidiplomasia tunaweza kuliita "Kadi Nyekundu" kwa Serikali ya Tanzania. Nimepitia...
2 Reactions
3 Replies
375 Views
Tunasema kwamba binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Mimi nakataa kumfikiria Mungu aliye fukara, mjinga, mshirikina, mwoga, dhalili, mnafiki nk, ambayo ndiyo hali ya walio wengi kati ya wale...
15 Reactions
295 Replies
34K Views
Taarifa za kijasusi zinadai kuwa, baadhi ya mawaziri wa Tanzania, Uganda na Kenya wapo kwenye Payroll ya siri ya Misri. Misri mara kadhaa imekuwa ikiapa kuwa itayalinda maji ya mto Nile hata kwa...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Hii ni article ya Cezary Pietrasik; Nachelea kusema ni kweli kuna rise of Mass Stupidity na Decline of Critical Thinking inayosababishwa na information overload hivyo watu kuacha kutumia muda wa...
1 Reactions
9 Replies
676 Views
Habari wakuu, Kwa wale waliobahatika kupata elimu ya sekondari bila shaka walijifunza kitu kinachoitwa Newton's law of motion ambazo ziko tatu:First Newton's law of motion, second law na third...
21 Reactions
46 Replies
9K Views
Muhtasari Katika dunia ya leo, ishara za kuporomoka kwa nchi hazitokei kwa ghafla; huanza kama mitetemo midogo inayosikika tu kwa wale wenye jicho la kiintelijensia. Wakati siri za jeshi...
8 Reactions
13 Replies
874 Views
Heshima zenu wakuu! Kwanza ninapenda kuweka wazi kwamba, nimewiwa kuandika mada hii kwa lengo la kutafakari kwa pamoja. Sijanuia kumuudhi, kumkwanza mtu wala kuibua hisia chungu kwa yeyote awaye...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni...
17 Reactions
273 Replies
33K Views
Mimi si nabii wala mtabiri lakini huwa naota ndoto ambazo sizielewi. Naomba wataalamu wa tafsiri wanisaidie. Nimeona katika ndoto ndugu Stephen Masele na mtu mwingine ambaye simkumbuki vizuri...
3 Reactions
7 Replies
718 Views
Viongozi wa dini za Kiislam pamoja na Kikristo TANZANIA wanatia aibu kwa kukaa kimya bila kukemea jinsi serikali ilivyo wasahau wananchi NA maskendo yanayohusiana na RUSHWA yalivyokithiri Na...
0 Reactions
527 Replies
73K Views
Habari zenu waungwana..... Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumesikia na kushuhudia aina mbalimbali za Serikali duniani. Ikitia ndani tawara za Kifalume, Kidikteta, Kijeshi na hata Demokrasia. Katika historia hakuna zama zilizotawara kwa muda mrefu kama...
2 Reactions
3 Replies
229 Views
Systemic change refers to deep, fundamental transformation that affects the entire structure of a system — not just surface-level adjustments. It goes beyond fixing symptoms to address root...
2 Reactions
4 Replies
418 Views
“KANUNI ISIYOONEKANA INAYOONGOZA HISTORIA” Utangulizi Katika historia ya binadamu, tumeshuhudia ustaarabu ukisimama na kuanguka, falme zikitukuka kisha zikifutika, na viongozi maarufu wakifika...
9 Reactions
9 Replies
759 Views
Ghafla tumeanza kusikia Yada Yada za maneno mapya kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, Eti "Kuna foreign Element" zinataka kuleta machafuko," "Watu waliovuruga OKtba29 si Watanzania,"...
5 Reactions
7 Replies
568 Views
Back
Top Bottom