Mashirika mengi ya kijasusi duniani huwa yanakuwa na mawakala wazawa katika nchi ambazo wana interest zao ili kuweza kuwatumia kwenye mission zao inapohitajika.
Mfano mosad Kuna watu wanaitwa...
Habari za muda huu wana JF?
Kama tunavyojua Dunia ina watu zaidi ya Bilioni 7.
Najaribu kuwaza inawezekanaje fingerprint ya mtu mmoja isifanane na ya mtu mwingine hapa duniani?
Ukiachana na...
Wana jamvi naamini hamjambo wote
Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi...
Kawaida ya mwanadamu naturally anavutika kuamini vitu ambayo vipo katika kanuni zake za maisha yaani kanuni za fizikia (Law of Physics) kwa mfano kuona, kusikia, kuonja,kugusa nk.
Kwahiyo, sisi...
Mwaka 2004 pale Fallujah paligeuka machinjio baada ya kuwa pametulia kitambo! Askari wanne Mamluki Scott, Jerry, Wesley na Mike, waajiriwa wa kampuni ya Kijeshi ya Marekani Black water walikodiwa...
Mabadiliko mbalimbali yaliyoikumba sayari yetu yangetosha kutengeneza mabuku makubwa jiographia na historia na kutoa elimu sahihi wapi tumetoka na wapi tunaelekea.
Na juu ya yote kwanini tuko...
Bonde la Isdalen karibu na jiji la Bergen, Norway linajulikana kama bonde la kifo/umauti "death valley" kwa wakazi wa eneo hilo si kwa sababu watembezi/watalii hupotelea kwenye mlima wa bonde hili...
The definition of the 'just life'.
Mwanafalsafa wa kale wa Ujerumani, Friedrich Nietzsche, aliwahi kusema "kitu bora kabisa ni kutokuzaliwa na kitu cha pili kwa ubora ni kufa mapema".
Maneno...
Naomba mnipatie ukweli wa yote kabla sijachukua maamuzi magumu. Naomba kufahamu yafuatayo:-
Binadamu anaabudu Mungu, dini, mtu au mnyama?
Binadamu anajuaje yupo sahihi tofauti/baina ya mwenzake...
Kwa maelezo mafupi ni msitu ambao upo katika nchi ya Romania, lakina nimeshindwa kupata history kamili kuhusu msitu huu ,hivyo naomb ma-great thinker wa jf wanisaidie au watusaidia tusio faham juu...
Mwanadamu kwa haiba yake akiwa kwenye changamoto ndio anapata wasaa mzuri wa kuchakata akili yake ili kupata suluhisho la matatizo yanayomzunguka. Na hili ndio lilimkuta Msanifu majengo na...
Barua iliyoandikwa kwa hati ya mkono na Albert Einstein, ambapo anajadili suala la dini na imani, imeuzwa kwenye mnada kwa bei ya karibu $2.9m (£2.3m).
Bei hiyo imepita makadirio.
Barua hiyo...
Wasalaamu ma intelegensias
Kabla ya mjadala Nianze kutoa namna tutakavyo define MUDA kwa leo tu...
MUDA -- seconds, minutes, hours, days, weeks, months, years, decades, centuries, milleniums etc...
Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani.
Binafsi kwangu...
NOTE: Ndugu mchangiaji mada. Kama ni mara yako ya kwanza kuja katika uzi huu, jaribu fuatilia ulikoanzia. Aidha, usisahau kwanza kuisoma mada na kuielewa awali ya yote ndiposa kubofya like kwenye...
Bila kupoteza muda naomba kujua juu ya watoto wa Fatima
Lucia
Fransis
Yasinta
Hawa walitokewa na bikira maria mwaka 1917 kama sikosei (apparitions)
Kwa mujibu wa masimulizi ni kwamba bikira...
Salute Comrades:
Wakuu leo naomba tujadidili juu ya kifo cha muigizaji BRUCE LEE.
Hivi ni kweli alikufa kifo cha kawaida..?
Alikufaje? Sababu ya kufariki ni nini..?
Kwa story nazo zifahamu...
kichwa cha habari na kwa mtazamo wa haraka utadhani ni michezo ya kuchangamsha mwili, michezo ya kubahatisha au michezo ya kushindana na kupata zawadi
Lakini hapa ni zaidi ya hicho...