Habari za wakati huu wakuu, heri njema ziwe nanyi.
Nimejaribu kufikiria jinsi mwanadamu anavyoiendesha dunia kwa muda mrefu sasa pasipo ushindani wowote utokao kwa viumbe wengine mfano...
Mara tu unapozaliwa elimu ya kwanza nikuanza kukuprogramu kuwa mtu mwingine ambaye jamii inamwitaji hivyo jamii itakupa jina,watakuamulia lugha, na wataanza kukufundisha neno la kwanza la kutamka...
Kinachoifanya Dunia viumbe hai waezee kuisha ni kuwepo kwa Magnetic field na Ozone layer
Magnetic field
Jua linatoa miale ya mwanga ambayo inatumika Kama mwanga dunia na inakuja na upepo...
Ukisoma vizuri asili ya waafrika na sehemu mojawapo ambayo sisi waafrika tumekuwa tukijivunia kila tunapozungumzia ustaarabu tutagundua kuna sehemu hatupo sawa. Misri ni moja ya nchi za kale sana...
Naamini Mungu yupo, na ndo ametujaalia akili na utashi wa kupambanua mambo. Mara zote linapokuja suala la kuhoji origin ya hivi vitabu vitakatifu, viongozi wetu wa dini wanakimbilia neno moja tu...
Muujiza ni kitu kinachofanyika ambacho akili za binadamu haziwez kuelewa, ndo maana tunapokutana na mambo magumu tunaomba muujiza Kwa sababu uelewa wa akili zetu umefika mwisho, na akili...
Tuna ndugu zetu wana asili ya kiarabu ila ni wazawa tangu ukoloni na ni wasomi kama huko Urambo,Sikonge na kwingineko,sheria inasemaje kuhusu wao kujiunga na depo CCP na kuwa askari polisi ikiwa...
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoongoza duniani kwa kuathirika na kuwepo kiwango kikubwa cha madini ya Fluoride (Fluorine) ambayo husababisha Ugonjwa wa Fluorosis. Mwaka 2008, Tanzania iliamua...
Na. Belvin Kagoma
Miaka ya 1970 nchi ya marekani walipitisha Sheria maalumu ya Uhuru wa Kupata Taarifa (Freedom of Information Act). Moja wapo ya vipengele vya Sheria hii ni kulitaka Shirika la...
Msiogope !! Covid 19 sio mwisho wa dunia.
Mwisho wa dunia will be like around the year 2100 to the year 2500.
And these are my reasons.
The world can only contain 10 billion people. In other...
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire...
Mwaka 2011 Wachina walitamba sana waliporusha satelite yao ijulikanayo kama Tiangong-1 kwenda angani.
Satelite hiyo ilishindwa kukaa kwenye trajectory yake na hivyo kupungua speed kadri siku...
NJIA KUMI ZA KUMTAMBUA MTU ANAYESEMA UONGO WAKATI UNAONGEA NAYE.
kuna msemo unasema kwamba kila mtu ni muongo hapa duniani yaani , hakuna mtu ambaye ameshawahi kuishi bila kusema uongo kabisa...
Poleni na Majukumu wana JF wote, zaidi wale mashabiki wa jukwaa la Jamii intelligence.
Nilipenda kutupia UZI (thread) huu katika jukwaa la Great thinkers, kwa imani kule wapo Wasomi, Wazee wenye...
Ilikuwa ni Mei 2, 2013 ambapo Jason Airey (37) alipatikana akiwa amefariki chumbani kwake nyumbani kwao Cumbria kaskazini mwa UK. Baada ya uchunguzi ilifahamika kuwa alifariki baada ya kufungua...
Japo nchi nyingi haziamini uchawi,Ila uchawi umetajwa kwenye vitabu vitakatifu,hivyo upo,maofisini,mashuleni na hata majumbani.
Kweli marais hupendwa na wananchi ila ni kweli pia...
Ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje na usiku iwashwe,majiji yetu yakiwa na taa za nje hasa tube light hupendeza sana hasa unapoanza kuingia toka safari.
Mwisho nadhani Tabora sasa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu ikiwa hadhi wasomi nchini imeshuka au vipi
Kiwango cha elimu yangu ni darasa la Saba tu lakini nilikuwa nikisikia na kuona wasomi walivyokuwa...
By Simon Mkina
Tanzanian company registration instruments, just like the East African country’s banking institutions, are unaware of a firm that has channeled over Shilling 1.4 trillion ($620...
Watu wengi hushangaa wanawake wanawezaje kukadilia chumvi na mafuta kwenye mboga bila kuzidisha wala kupunguza,wakati watu wengi hasa wanaume hushindwa japo kukadilia tu sukari kwenye chai na...