Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Je, Kweli Wanasayansi Wamepata Mashimo Meusi? YAONEKANA kuwa hadithi ya kisayansi—wakati mmoja yalikuwa nyota nyangavu, ambazo zilipoteza mng’ao wake na kuporomoshwa na nguvu zake zenyewe za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dunia imejawa na kila aina ya mambo. Usimuone mtu ni tajiri au maarufu ukatamani utajiri wake au umaarufu wake pasipo kujua anapitia nini au alifanya nini mpaka kufikia hapo alipo. Simaanishi...
24 Reactions
156 Replies
84K Views
Kuna vitu wanadamu tumejaliwa na ubishi hata yesu tukampeleka msalabani na bado vyote kupewa na miujiza ila bado mpaka leo tunabisha tu. Hivi michoro kama hii iliona nini Ombi Tueleze ,kuna...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni kufikirisha kabisa ila ni kama ukweli kwa nini! Ulimwengu wa anga kila nyota, tabaka, galaxy na tusivo vijua huko angani vinaleta midaalo mikubwa kutokana na sisi kujua dunia ina majira...
2 Reactions
118 Replies
11K Views
Historia Mnamo mwaka 1938, mwanafizikia wa Kiitaliano Enrico Fermi na washirika waligundua fission ya nyuklia. Waligundua kuwa fission inapofanyika kipindi wakati kiini cha atomiki cha urani-235...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na jambo la imani kwa upande wa dini hizi mbili za uislam na ukristo. Awali ya yote ningependa kueleweka kuwa nimezaliwa ktk familia ya...
10 Reactions
235 Replies
21K Views
Bado kuna lugha kadhaa za zamani wasomi wa kisasa hawawezi kufafanua, kama hieroglyphics ya Minoan (iitwayo Linear A) au Khipu, mfumo wa ajabu wa Incan wa kuandika kwa mafundo. Alama hizi zina...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipata mgongano hasa ktk kuelewa ukweli kuhusu Afrika na Muafrika mwenyewe.Katika usomaji wangu wa machapisho mbalimbali na majarida Afrika inaonekana ni sehemu anapopatikana mwanadamu...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Siku zote sayansi ni mazoezi unapotaka kujua nini ?! Lakini watu wengi tumekuwa tukijiuliza kipi ni kipi na kwa nini kipo.mambo ya kuadithiwa sikutaka na kuisoma vzuri sana. Basi tunazungumzia...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Duniani watu wachache tu ndio wanatumia akili. Wengine mabilioni hawawezi tena kutumia akili katika kuishi. Kuna sababu kubwa moja kwanini mabilioni ya watu duniani hawatumii akili katika kuishi...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Kila siku kukicha wanasayansi wanazidi kugundua na kutambua nyota na sayari zilizopo zilizopo na mpaka kujua je mwisho wa hizo nyote ni wapi !. Ilifikia upande kusema tukijumlisha vyote kwa hiyo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukusanyaji wa data na kupata nini kuna muda tunaitaji vifaa super computer za hali ya juu kuzidi hata google kuhesabu na kujibu kila mmoja. Lakini wanasayansi wa anga wamejaribu kukusanya picha...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
STAFF SERGEANT Carlos Norman Hathcock: Askari Jeshi aliyetambaa mita zaidi ya 2,000 kwa siku 3 msituni bila kula wala kulala na kumuua Major General Vietnam. Wakati wa mission hatari ya...
59 Reactions
112 Replies
18K Views
Huwa najiuliza uteule wa wayahudi! Kumbe huhitaji kuwa mkristo ili uwe mteule AU JE MUNGU NI WA UPENDELEO, watu wengine wakimuasi wanaitwa wadhambi, wengine wakiasi wanaitwa wateule?
23 Reactions
415 Replies
67K Views
Hadi hivi sasa mwanadamu amekuwa akijitahidi kufanya kila kitu ili kutimiza na kurahisisha maisha yake,moja Kati ya jambo pana mpaka sasa kiumbe huyu analotaka ni kutua unyayo wake katika sayari...
14 Reactions
77 Replies
17K Views
Habari wana jamii. Slogani hizi ndo imenishawishi kutafakari haya yote. "Education is the Key To Success" "Education For The Bright Future" Nimeshindwa kutambua kosa liko wapi lakini natambua...
18 Reactions
104 Replies
10K Views
Imeatangazwa kuwa tawi la Alqaeda la Afrika Magharibi linajulikano kama AQIM limemchagua muAlgeria Abu Obaida Yusuf al-Annabi aliyekuwa mjumbe baraza la watukufu wa tawi hilo kuchukua nafasi ya...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Kemikali yoyote au mchanganyiko ambao huleta mabadiliko ya kihisia na ufahamu ni dawa za kulevya. Matumizi ya dawa za kulevya huleta utegemezi na usugu. Utegemezi ni hali ya kushindwa kuishi...
27 Reactions
115 Replies
30K Views
Hii ni njia ya kuachia virusi, bacteria au fangasi kwenye jamii ya watu, mazao au mifugo ili kuweza kuwaambukiza kwa makusudi ugonjwa fulani na kuua kila kitu chenye uhai kwenye sura ya ardhi...
12 Reactions
25 Replies
5K Views
Henrietta Lacks: Seli pekee za mwanadamu zilizoendelea kukua na kuzaliana katika maabara Saa 1 iliyopita CHANZO CHA PICHA,AP Maelezo ya picha, Simulizi yake ilikuwa maafuru kutokana na kitabu...
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…