Tunasema kwamba binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Mimi nakataa kumfikiria Mungu aliye fukara, mjinga, mshirikina, mwoga, dhalili, mnafiki nk, ambayo ndiyo hali ya walio wengi kati ya wale...
Taarifa za kijasusi zinadai kuwa, baadhi ya mawaziri wa Tanzania, Uganda na Kenya wapo kwenye Payroll ya siri ya Misri.
Misri mara kadhaa imekuwa ikiapa kuwa itayalinda maji ya mto Nile hata kwa...
Hii ni article ya Cezary Pietrasik; Nachelea kusema ni kweli kuna rise of Mass Stupidity na Decline of Critical Thinking inayosababishwa na information overload hivyo watu kuacha kutumia muda wa...
Habari wakuu,
Kwa wale waliobahatika kupata elimu ya sekondari bila shaka walijifunza kitu kinachoitwa Newton's law of motion ambazo ziko tatu:First Newton's law of motion, second law na third...
Muhtasari
Katika dunia ya leo, ishara za kuporomoka kwa nchi hazitokei kwa ghafla; huanza kama mitetemo midogo inayosikika tu kwa wale wenye jicho la kiintelijensia. Wakati siri za jeshi...
Heshima zenu wakuu!
Kwanza ninapenda kuweka wazi kwamba, nimewiwa kuandika mada hii kwa lengo la kutafakari kwa pamoja. Sijanuia kumuudhi, kumkwanza mtu wala kuibua hisia chungu kwa yeyote awaye...
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni...
Mimi si nabii wala mtabiri lakini huwa naota ndoto ambazo sizielewi. Naomba wataalamu wa tafsiri wanisaidie.
Nimeona katika ndoto ndugu Stephen Masele na mtu mwingine ambaye simkumbuki vizuri...
Viongozi wa dini za Kiislam pamoja na Kikristo TANZANIA wanatia aibu kwa kukaa kimya bila kukemea jinsi serikali ilivyo wasahau wananchi NA maskendo yanayohusiana na RUSHWA yalivyokithiri
Na...
Habari zenu waungwana.....
Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama...
Tumesikia na kushuhudia aina mbalimbali za Serikali duniani. Ikitia ndani tawara za Kifalume, Kidikteta, Kijeshi na hata Demokrasia.
Katika historia hakuna zama zilizotawara kwa muda mrefu kama...
Systemic change refers to deep, fundamental transformation that affects the entire structure of a system — not just surface-level adjustments.
It goes beyond fixing symptoms to address root...
Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii...
Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali...
“KANUNI ISIYOONEKANA INAYOONGOZA HISTORIA”
Utangulizi
Katika historia ya binadamu, tumeshuhudia ustaarabu ukisimama na kuanguka, falme zikitukuka kisha zikifutika, na viongozi maarufu wakifika...
Ghafla tumeanza kusikia Yada Yada za maneno mapya kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, Eti "Kuna foreign Element" zinataka kuleta machafuko," "Watu waliovuruga OKtba29 si Watanzania,"...
Juzi nilikuja na mada ya "Je, uchawi upo?"
Kwa kufikiri kwa kutumia logic na mtazamo wa kisayansi, tunaweza kusema uchawi haupo, bali ni fiction hasa kutokana na story nyingi za uongo...
Wakuu,
Matokeo ya Uchaguzi mkuu yameshatoka na maisha yanaendelea na tumeapishwa. Lakini, kama mdadisi wa mambo, nimekuwa nikicheza na takwimu rasmi za INEC na Sensa yetu ya 2022. Naomba...
"Licha ya kubeba historia ya chama kikongwe nchini, mtaa wa Lumumba umebeba jina la aliekuwa mmoja wapo wa viongozi bora kabisa wa Afrika ya wakati huo. Si mwingine bali ni Patrice Lumumba"
Huu...
Yanayo andikwa huko mitandaoni, binafsi nabaki katika mawazo kutokana na kuwa muumini wa Tanzania yenye upendo, amani na utulivu, lakini yalio pelekea yote haya kwa vijana ni chuki ilio jengwa...
Hatimaye nimefikia hitimisho kuwa juhudi za kupambana na ufisadi nchini hazitofanikiwa na ya kuwa upepo wa ushindi unavuma kuelekeza merikebu za mafisadi kuelekea ushindi! Zaidi ya watu kulalamika...