Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.
Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Habari Wakuu
Moja kwa moja kwenye mada kuu, Inawezekana na wewe ni mmoja wa wale raia ambao kama walevi hivi unapiga hatua tano mbele unarudi saba, Unasema naacha kabisa kupiga hii kitu inaitwa...
Wakuu hii shida inanitesa sana. Hali hii hutokea kila baada ya dakika kama 15 au 20 na hasa nikiwa nafanya kazi yoyote au nikowa natembea tu.
Hali hii pia huambatana na kama kizunguzungu ikiwa...
Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama...
Hi GT!
My wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve
and PMCT1
Update!
Nilileta hii mada kipindi hicho na kiukweli ili kupima upepo nipate majibu ya...
Tumeelewashana kuhusu madhara ya soda...humu
na mimi kwa kiasi kikubwa nimepunguza kunywa soda na nataka kuelekea kuacha kabisa..
sasa kuna hili la maji ya chupa.....je yana madhara?
yana...
Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida...
Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja.
Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na...
Kichwa kinajiekeza.
Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia...
Habari za Jumapili wadau wote wa JF.
Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu- Kwamba mtoto anapozaliwa ni lazima alie na asipolia automatically basi, jitihada zitafanyika ili alazimishwe...
Habari wapendwa,
Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.
Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC...
Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.
Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture...
Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano...
Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko...
Madaktari wa binadamu na watalaamu wote wa afya kwa ujumla mlioko humu ndani,naombeni ushauri wa tatizo langu linalo nisumbua kijana wenu.
Miezi ya mwanzoni ya mwaka huu 2024 majipu yalitokea...
Habari zenu wapendwa naombeni msaada nina tatizo kimeo kimerefuka sana mpaka kinagusa ulimi wakati mwingine naskia kinaninyoka kooni sasa sielewi nifanyaje maana wako wanaoniambia nikakate wengine...
Kuna huu ugonjwa sasa hivi unakuwa common hapa Arusha, I know like 4 to 5 friends ambao watoto wao wamesumbuliwa na hizi nyama za pua na ikabidi wafanyiwe operation hapa SELIAN HOSPITAL. Dalili za...
Habari wakuu
Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza...
Waheshimiwa habari zenu.
Shoga angu amenipigia simu tena, kijana wao (age 25) bado anawumbuliwa na ganzi kwenye mikono, na sasa ni too much, tusaidieni kwa anaejua dawa au awevanakula nini...
Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.