Madhara ya maji chupa.....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Tumeelewashana kuhusu madhara ya soda...humu
na mimi kwa kiasi kikubwa nimepunguza kunywa soda na nataka kuelekea kuacha kabisa..

sasa kuna hili la maji ya chupa.....je yana madhara?

yana tofauti na soda???????
 
Ngoja tusubiri majibu, mi pia ningependa kufahamu ingawa kwa haraka haraka nahisi yale maji huwa si masafi.
 
Maji as long as ni masafi na hayako contaminated ni kburudisho ambacho creator wetu ametu wekea. Maji ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Inasadia transport system ya mwili kusambaza virutubisho. Pia inasaidia ku dissolve uchafu ili utolewe na mafigo. Maji yanasaidia ku fanya cells za mwili kuwa turbid so unabakia katika shape uliyo nayo. Bila ya maji mwilini utauguwa. You cant do without water. Ya chupa mara nyingi yameshakuwa sterelised na kuongezwa salts fulani ambazo mwilini ni rahisi kutoweka.

Maji ni kiburudisho ambacho hata watu wa peponi wanaki enjoy. Wacha soda lakini usiache maji. Hata kama ni ya chupa.
 
composition
-TDS
-sodium
-calcium
-magnesium
-chloride
-sulphate
-fluoride
-potassium
-ph

wataalam watuchambulie
 
Kuna Professor mmoja wa Open University alishafanya utafiti na kusema yana madhara ingawa watu wa TBS walimpinga sana
 
Tumeelewashana kuhusu madhara ya soda...humu
na mimi kwa kiasi kikubwa nimepunguza kunywa soda na nataka kuelekea kuacha kabisa..

sasa kuna hili la maji ya chupa.....je yana madhara?

yana tofauti na soda???????

Labda ya Azam, Uhai ndio yenye madhara, maana nasikia huchanganywa na maji ya Zamzam kutoka uarabuni!
 
Maji ya chupa ni maji ya kawaida. Tofouati yake ni katika processing. Yapo yanoyoongezwa madini na yapo yanayopunguzwa kutokana na asili yake.

Tatizo linaweza kujitokeza katika kuandaa na hapo yakawa contaminated kama inavyoweza kutokea kwa kitu kingine.

Yapo madai yanayochunguzwa kuhusiana na plastic zinazotumika. Wapo wana sayansi wanadai kuna plastic nyingine huchanganywa na vitu ambavyo huwa na madhara. Hata hivyo imebaki kuwa ni mjadala usio na hitimisho hadi sasa.

Tukumbuke kuwa vitu vyote vinavyoingia katika 'processing' za viwanda mara nyingi hupoteza uasili, achilia mbali madhara yatokanayo na uandaaji ikiwa ni pamoja na hifadhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom