What is the meaning of PMTC1?

Sep 27, 2011
7
10
Hi GT!
My wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve
and PMCT1Update!
Nilileta hii mada kipindi hicho na kiukweli ili kupima upepo nipate majibu ya uhakika niliweka kuwa ni PMCT1 ila ilikuwa inasomeka PMCT2, kweli nilimkatalia mke wangu kwenda nae na yeye kwa jeuri alivyorudi baada yakupima akanidanganya kuwa kaathirika, , mtoto alizaliwa fresh Februaly 2012 binti yupo Pre unit sasa. Mimba ya pili mwaka jana Clinic waligoma kabisa kumpima wife bila mimi, walahi nilienda huku kiroho kikidunda balaa, kwa mara ya kwanza kupima, nesi alivyosema tu hongereni kwa uaminifu wenu kwenye ndoa aisee nilishusha pumzi, nilivyotoka pale nkamwambia wife umeona nilivyomwaminifu kwako?? Teh teh teh, kumbe mimi kimeo (sorry kwa kusema hili ), ila sikurudi kupima mara ya pili, alienda mwenyewe, Now baby boy ana miezi 10, ukipima ukikutwa huna inasaidia kupunguza umalaya sana, mimi nimepunguza sana mambo hayo.
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,210
8,681
Mkuu,
Umeboa!
Hii kitu haina raha yoyote kuongelea hapa majukwaani, especially kama unayemwongelea ni mwandani wako!
Una raha gani aisee?
Kakaeni kama familia na mkeo muongelee jinsi ya kukabiliana na challenge ya maisha haya na yajayo, na jinsi ya kumlea mtoto wenu mtarajiwa, na zaidi kumwepusha na tatizo!
Andamana na mkeo muwaone medical practitioners mara moja!
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,630
8,449

Thanks pal

kuna watu hapa sijui wanatumia masaburi kufikiri, au ni watoto wanaodhani they know alot

it is really sad
 
Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
243
Usiogope PMTCT1 ni kwamba hana maambukizo lakin kama ingekuwa PMTCT2 hapo ndo inaonyesha kuna kitu cha pili yaani ameungua
kwako wewe inaonyesha tu hujiamin na ningekushauri ukapime mana si busara kufanya kama baadhi ya watu wanavyofanya eti mke akipima clinic negative basi na yy atakuwa negativ, si kweli kapime
 
Snipper

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,244
1,947

wewe ni mkunga? maana uwa wnaandika mpaka pmct3 sasa na hiyo ina maana gani? kama ameathirika akiwa na hilo neno kwa nn hawamuambii mapema? na kwa nini kwenye ile sehem ya vdrl inawekwa negatve km ameathirika? hebu fafanua Noti mpya tz
 
Last edited by a moderator:

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,464
2,255
we kama unaogopa sana au doubt ungejua ushaenda kupina ngoma.. easy!
kwa nini matatizo yanayohusiana na afya mnayaleta huku, madaktari wafanye nini sasa.. afu dokta aliyewaandikia kwa nini msingemuuliza
 
Snipper

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,244
1,947
Hivi kama mtu ameungua kuna haja ya kuficha na kumwandikia kwenye kadi pekee bila kumwambia ukweli ilihali anajua kuwa an tatizo? unakuta unaandikiwa hiyo 1 au 2 halafu unaambiwa huna tatizo hiyo imekaaje?
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506

ondoa shaka, nenda kamuone muhudumu wako wa afya au kama kuna watu wenye ujuzihumu waje watoe ufafanuzi!
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506
@MziziMkavu njoo huku uokoe jahazi maana vijana siku hizi wanavizia wake zao wakienda kupimwa wajue fya zao, sasa huyu kaandikiwa pmct1 hajui maana yake na invyoonekana mke wake hajamwambi alichoambiwa huko likoenda clinic
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom