Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mwenye ufahamu wa dawa ya mitishimba kama tiba ya maumivu chini ya mgongo.
1 Reactions
21 Replies
881 Views
Ndugu zangu, Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3. Sasa, maumivu haya huwa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za usiku huu, Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa...
1 Reactions
2 Replies
720 Views
QISTI Faida za Qisti huwezi kuzizungumzia kwa mara moja zikajulikana na kueleweka zote kwa mara moja, qisti ina faida nyingi sana ambazo ukikaa na kuzisoma utatamani uipate sasa hivi na kuanza...
2 Reactions
28 Replies
12K Views
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
The Three Power Laws of Health: Sleep, Exercise, and Diet The journey to enhanced well-being doesn't need to be overwhelming. By focusing on three core pillars—sleep, exercise, and diet—you can...
2 Reactions
2 Replies
895 Views
UGONJWA wa maumivu ya viungo huitwa kwa jina lingine yabisikavu. Jina la Kingereza la ugonjwa huo, ‘arthritis, linatokana na maneno ya Kigiriki yanayomaanisha viungo vilivyovimba. Mbali na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa nimejalibu kunywa maji mengi kiasi Cha Lita 3 kwa siku ili kupata matokeo mazuri lakini mkojo Bado mi wa orange,mkojo utakua mweupe kwa siku hiyo japo sio sana lakini kesho...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Hivi maji ya kupimia Ukimwi Kama yameandikwa expired 26/4/2024 ukatumia kupima mwezi huu 11 kipimo kikasoma negative kitakuwa kipo sahihi Mara ya mwisho kucheck health status ni mwezi wa 4 mwaka...
0 Reactions
16 Replies
657 Views
Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza kumbukumbu zako . Na unaangalia aina gani ya Dawa huwa unatumia , mazoezi n.k . Binafsi huwa naumwa Sana kichwa . Dawa ambayo huwa natumia nakunywa Tangawizi...
1 Reactions
0 Replies
249 Views
Wadau, heri ya mwezi mpya huu, nina swali ambalo linahitaji msaada wenu. Kwa nini kuna baadhi ya watu midomo inatoa harufu mbaya!? Hata Kama akipiga mswaki baada ya muda harufu hiyo hurudi...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu! Nimechoka sana; nimekuwa nikiugua homa na kikohozi tangu Alhamisi, hivyo sikuweza kupita kwenye vijiwe vyangu. Leo na jana nimepata simu nyingi kuulizia kama nitafika kazini...
1 Reactions
4 Replies
618 Views
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii...
12 Reactions
134 Replies
7K Views
Watoto huzaliwa wakiwa na uwezo wa kunyonya bila kufundishwa (sucking reflex). Kitendo hiki ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia pekee ya kumpatia chakula mtoto mdogo. Sayansi imeonesha kwamba...
1 Reactions
5 Replies
638 Views
Vipimo vinavyotumika mara nyingi sana kupima HIV/VVU ni aina ya HIV antibody tests, changamoto ya vipimo hivi ni kuwa kinahitaji mtu awe amepata maambukizi angalau miezi mitatu nyuma kabla ya...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Manyonyo kwa wanaume hasa watu wazima wengi na baadhi ya vijana huchangiwa na nini? Kwa namna gani mwanaume unaweza kuondokana na manyonyo?
1 Reactions
2 Replies
452 Views
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa Sikumbuki...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom