Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie.
Asanteni
Habari njema kwa wapenzi wa kahawa. Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume.
Utafiti wa hivi karibuni...
Assallam walykum, bwana Yesu asifiwe the main point of writting this thread is to seek advice i have many personal inner battles i have been fighting, im 29yrs now ive been masterbating since i...
Ndugu zangu naitwa John Venas nasumbuliwa na maumivu ya muda mrefu ya UPANDE mmoja wa KIFUA na mbavu nilifanya
Vipimo vya Exray bila matokeo yoyote lakini Sasa tatizo linasogea na linahamia na...
Mmeng'enyo wa chakula ni mchakato muhimu kwa afya zetu, lakini wengi wanakutana na changamoto kama kuvimbiwa, gesi, na maumivu ya tumbo. Tatizo linaweza kusababishwa na lishe duni, kutokunywa maji...
Je, hali ya mwili kukosa nguvu inaweza kulinganishwa na namna akili na kompyuta zetu zinavyofanya kazi? Ubongo na kompyuta vyote vimeundwa na mizunguko isiyoelezeka kiurahisi.
Vyote viwili...
Ndugu habarini.
Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele...
SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi.
Daktari Bingwa wa...
BAADHI YA MASWALIYALIYOULIZWA KUHUSU JAMBO HILI
Wadau jamani mimi najiona nimekonda nataka kunenepa kiasi flani hivi embu naombeni ushauri wenu''
---
Habarini JF Doctors!
Husika na kichwa cha...
Nasikia hali mbili
Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.
Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa
Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya...
Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya
1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa...
Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula...
Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni...
Habari za Leo Wakuu, naombeni msaada, nina kijana wangu wa kiume umri miaka 5, anasumbuliwa na tonsils, tulienda hospitali wakampatia dawa za kunywa antibiotics na nyingine Bufen.
Pamoja Nakuwa...
1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi
Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na...
Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi.
Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo...
Habari wanajamvi, mwaka jana 2023 mwezi wa 3 nilianza kupata dalili ambazo sikuzielewa km vile; Kuvimba miguu, tumbo kuuma nk.
Ikabidi niende Amana hospital ambapo nilipima vipimo kadhaa ie...
Habarini wadau.
Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je...
Habari zenu,
Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi...
Masaada wakuu
Mtoto n mchanga WA week 1
Na anaswet shingoni ukimpanguza
Anakua kama anababuka
Naomba kujua poda nzuri Kwa
Mtoto
Na ametokwa na vipele
Ambavyo vnakaa kama uzaraha
Ila ukivitumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.