Habari,
Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.
Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.
Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
Habari wana jamii
Nasumbuliwa na tatizo la fangusi kwenye korodani na nilipata baada ya kukutana na mwanamke mwenye tatizo hilo apo ndipo nilipoaanza kuwasha mikono na mapajani sasa hivi...
Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini)
Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa...
Habari zenu wakuu?
Mie nimekuwa nikiwaza uhusiano uliopo kati ya kunywa maziwa na kupunguza vumbi ulilovuta,utasikia ukifanya kazi ktk eneo lenye vumbi kunywa maziwa.
Please wadau i need to know...
Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho...
Kuna vipimo vya kimaabara vya kubaini hayo? Vinapatikana kwenye hospitali zipi, kubwa tu au hata vituo vya afya?
Mara nyingi watu wamesisitizwa kula matunda na mboga za majanikwa wingi kwa kuwa...
Habari za saa hizi wadau wa JF?
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Ni kwamba mke wangu anasumbuliwa sana na kichwa kuuma kwa miaka zaidi ya 15 sasa mwanzo walikuwa wanasema ni ugonjwa...
Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko.
Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya...
Picha kwa hisani ya Google.
Madoa meusi kwenye meno ni hali ya upotevu au kutokuwepo kwa weupe wa kawaida wa meno, hivyo meno kuwa meusi au hata kahawia. Madoa meusi kwenye meno husababishwa na...
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo?
Wenye...
Habari za usiku wanajf,
Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe.
Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana.
Atumie dawa gani
Habari ya Jumapili wakuu,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka24 kwa sasa bado nipo chuo naendelea na masomo.
Tatizo langu kubwa linalofanya nisiyafurahie maisha yangu ni tatizo la kuwa na...
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .
Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k
Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo tunakutana na watu wengi na kushiriki mazingira mbalimbali, tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono imekuwa sehemu ya mazoea yetu ya kila siku. Ingawa kushikana...
Habari za hapa wakuu
Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 16 ni mwembamba na mrefu sana anasoma bording shule flani mjini lakini
Mwezi uliopita alikuja home akasma anasikia miguu kwemye unyayo...
Napenda kuwashukuru wote mlionisaidia kwenye changamoto yangu niliopitia nilienda hospitali nikapata tiba nilisafishwa uchafu wote na sasa naendelea vizuri haswa mazoezi nafanya vizuriii humu kuna...
Habari zenu,
Nina mtoto wa kike ambaye kesho, tarehe 13/06/24, anafikisha miaka 11 kamili (Happy birthday in advance my daughter).
Mtoto alizaliwa vizuri ingawa alikunywa maji machafu baada ya...
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.
Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.