Shekel Empire
Member
- Apr 8, 2014
- 27
- 11
Jamani naomba kwa yeyote anayejua tatizo hili anisaidie,mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo basi mgongo huwa unakuwa kama unawaka moto maeneo ya karibu na kiuno;hali hii huwa inanifanya nikose raha kabisa
Kanda Kwa tumia majani ya mnyonyo angalau mara mbili Kwa sikuJamani naomba kwa yeyote anayejua tatizo hili anisaidie,mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo basi mgongo huwa unakuwa kama unawaka moto maeneo ya karibu na kiuno;hali hii huwa inanifanya nikose raha kabisa