Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef...
7 Reactions
8 Replies
303 Views
Kutokunywa maji ya kutosha kunaweza kusababisha madhara kadhaa mwilini: Madhara ya haraka (upungufu mdogo hadi wa kati) Kiu kali na kinywa kukauka Uchovu na kukosa nguvu Kizunguzungu na maumivu...
10 Reactions
16 Replies
334 Views
Kiafya, matumizi ya muda mrefu ya simu yanaweza kusababisha madhara yafuatayo mwilini: Macho Uchovu wa macho (digital eye strain) — macho kuwaka, kukauka, kuwa mekundu Kuona vibaya kwa muda...
3 Reactions
2 Replies
130 Views
Wadau natafuta chuo kwaajili ya ku upgrade taalamu ya ndugu yangu kutoka certificate kwenda diploma Naomba kwaanayefahamu chuo chochite cha peivate kiwe Daresalaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
397 Views
__________________ 👉ðŸ»Ukiwa na Acid nyingi tumboni kula Tango 👉ðŸ»Ukiwa na tatizo la kutopata choo kunywa mtindi 👉🻠Presha ya kupanda kula ndizi mbivu inaishusha haraka 👉ðŸ»...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
Faida za kula nyanya . Nyanya huwa tunazichukuliwa kama mboga za majani, ingawa kiuhalisia ni tunda. Nyanya ni chakula kizuri sana. Ni tamu ukila mbichi katika kachumbari au katika sandwiches, na...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Leo nawaletea mbinu za kumuondoa mdudu aliyeingia sikioni. Kuna baadhi ya wadudu huwa wanapenda kuingia masikioni kama vile mende,chawa,nzi nk. Tunamuondoaje?:Tumia moja kati...
4 Reactions
15 Replies
26K Views
Ugonjwa wa Figo (Kidney Disease) Aina kuu: Ugonjwa wa figo wa ghafla (Acute Kidney Injury) - hutokea haraka, mara nyingi kutokana na maambukizi, upungufu wa maji mwilini, au dawa fulani. Unaweza...
4 Reactions
4 Replies
195 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa...
4 Reactions
211 Replies
111K Views
Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind)...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Madhara ya uvutaji sigara: Saratani ya mapafu, koo, kinywa, umio, kibofu, na viungo vingine Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (kiharusi, shambulio la moyo) Emphysema na bronchitis ya kudumu...
5 Reactions
9 Replies
158 Views
Anonymous
Kila mwaka tunaona bajeti kubwa zikipitishwa kwa matumizi mbalimbali, na tunasikia mabilioni yakitengwa kwa ajili ya kuboresha vituo vya afya na hospitali, hasa katika maeneo ya mijini. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Ugonjwa wa Presha (Shinikizo la Damu - Hypertension) Presha ni hali ambapo damu inasukuma kwa nguvu kupita kiasi kwenye kuta za mishipa ya damu kwa muda mrefu, jambo linaloweza kuharibu moyo...
6 Reactions
0 Replies
149 Views
## Ugonjwa wa Bawasili (Hemorrhoids/Piles) Bawasili ni uvimbe wa mishipa ya damu iliyopo kwenye sehemu ya haja kubwa (rectum na anus) unaosababishwa na shinikizo kupita kiasi kwenye eneo hilo...
2 Reactions
0 Replies
134 Views
Julai 14, 2026 zaidi ya watu 4,000 wamepata huduma za uchunguzi wa awali wa magonjwa ya saratani wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yanayomalizika katika viwanja...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Ugonjwa wa Ngili (Henia) Ngili ni hali ambapo sehemu ya ndani ya mwili—kama utumbo au tishu ya mafuta—hujitokeza kupitia sehemu dhaifu ya misuli au tishu inayoshikilia viungo vya ndani, hasa...
1 Reactions
4 Replies
123 Views
Jf doctors nipeni muongozo wakuu, ukiachilia mbali UKIMWI ambao tunaweza jikinga kwa kuvaa condoms huu ugonjwa wa U.T.I hata ukivaa condom unaupata Je ni njia gani sahihi ya kujikinga na huu...
3 Reactions
48 Replies
543 Views
Kuna wakati nikikaa kuna mlio fulani hivi nausikia sikio moja tu. Kuna ule mlio unausikia mfano mtu akikupiga kofi la siikio au umejigonga sehemu kwenye kichwa unasikia kitu km kinalia...
3 Reactions
12 Replies
181 Views
Ukichunguza vizuri, utaona U.T.I. kama kifurushi fulani hivi kipya kinachowatafuna watu kimya kimya, tena kwa kasi. Hakichagui watoto au watu wazima, wazinzi au watu waliotulia. Vipi, miaka 20...
0 Reactions
16 Replies
186 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…