Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 25 nnasumbuliwa na tatizo LA kupoteza hamu ya kufanya mapenzi pia Kama nikifanya Mara moja siwezi kurudia kabisa tendo ni miaka mitatu nimehangaika lakin...
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea...
Viongozi salaam!
Kama heading ilivyo. Naomba kujua sababu za mtoto kutokugeuka akiwa tumboni kwa mama wakati wa ujauzito. Inasemekana mtoto hugeuka kuanzia miezi sita ya ujauzito. Tatizo la...
Mtu anaye harisha, mwenye macho mekundu na anakojoa mkojo wa njano, anakuwa anaumwa nini??
Msaada wenu Jaman mweny kujua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Fahamu tatizo la Apendex.(kidole tumbo).
Kidole tumbo au Apendeksi hupatikana katika utumbo mkubwa, urefu wake ni kama kidole cha mwisho cha mkono,
Sehemu hii hupitisha myeyuko wa chakula na...
usiku nikilala ikatokea nimeshtuka jicho langu moja linatoa machozi mengi nikifuta yanaongezeka zaidi na haliumi lakin naona tu machozi yanamiminika kwa muda mpaka nikisinzia linaacha. na hii hali...
Nina miaka sita sasa tangu ni balehe nakushuhudia chunusi kwa mara ya kwanza kwenye uso wangu lakini chunusi hazina dalili ya kutoka nitumie dawa gani au sabuni gani msaada tafathali
Sent using...
Ninashanga nimeipataje typhoid:
Tangu nije hapa Dar mwaka 2005 mpaka leo huwa nakunywa maji ya chupa tu, hata kupigia mswaki na kunawa uso ni maji ya chupa tu.
Sasa leo nimefika hospitali...
Malezi ya mtoto akiwa tumboni.
Wataalam wa afya wamethibitisha kuwa baadhi ya vyakula vina uwezo mkubwa wa kujenga uwezo wa mtoto kujifunza na kujenga akili yake na vingine vinaweza kuharibu...
Nimefikia lengo wakuu!!
Tangu nakua nilikuwa na malengo ya kuwa na watoto wanne kila mmoja akiwa na mama yake.
Lengo limefikia na hata kupita maana sasa kuna watoto watatu na mimba mbili nimeona...
SLIM& TRIM
1; PRO-SLIM TEA
* Accelerates metabolism and degradation of fat
* Burn fat as fuel to reduce the lipid content of the body
* Reduce absorption of dietary fat and helps...
Ni kwa wkt mwingine tena tukijaribu kuapdate na kureview bidhaa zetu zile adimu dunian zilizo konga nyoyo za watu kwa utibu magonjwa yoooooote yale sugu yaliyo shindikana kutibika na kumaliza...
Wakuu naombeni msaada mimi ni mchezi mpira ila kwa takrbani miaezi 5 ninasumbuliwa na tatizo la nyonga nimeshauriwa kutumia aina mbali mbali za dawa za kujichua na majani ya mnyonyo na kupaka...
Wataalam. Mwili wangu unawasha mnoo yaani hasa wakati wa jioni nikiwa nyumbani. Sehemu mbali mbali huwa zawaasha sivimbi mwili ila nawashwa kama vile nimegusa upupuuu.
Msaada katika hili
Tatizo la nguvu za kiume.
Upungufu wa nguvu za kiume ni
ugonjwa ambao mwanaume
hushindwa kusimamisha uume na pia kushindwa kuendelea kubaki imara wakati wa tendo la ndoa.
Uume kusimama hutokea...
Wasalaaaaaam wana jamvi!
Kama mnavojua mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Juzi kati hapa nilikua kwenye semina flani hivi hukoo mahala kwa muda wa wiki mbili.
Kwa eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.