Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu poleni na majukumu, kama kichwa kinavyosema hapo naomba kujua kama kuna kipimo cha kujua tarehe halisi uliyopata mimba. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kama zilivyo dawa nyingine zote, bangi inaathari kwa mwili wa binadamu — baadhi zenye manufaa lakini nyingine zenye madhara. Ingawa wengi wanaifahamu kwa athari zake zinazojulikana kama macho...
0 Reactions
1 Replies
16K Views
Kaifah hali jamia... Wanaume wote leo nawapen dawa ya kuboost nguvu zako za kiume ..km wasemavyo ktk jamii ya kileo uzur wa mwanaume si sura,umbo(six pack) wala fedha ila uzur wako mwanaume ni...
5 Reactions
99 Replies
19K Views
habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kitambi changu kinanisumbua, ikizingatiwa mimi ni mwanamama. Nguo hazikai vizuri. Naomba mnisaidie "Diet" na mpangilio wa chakula kuanzia chai, lunch na dinner.
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Hivi tatizo la tumbo kuuma kama anataka kuingia kwenye period halafu isije hili husababisha na nn au ni mimba
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Mambo yafuatayo hufanywa kila siku pasipo kugundua kuwa yanaathiri afya zetu. 1.Kukaa kwa muda mrefu. Kwa wakati flani, watu hutumia muda wetu tukikodolea macho kompyuta. Tafiti zinaonyesha...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
MADHARA YA KUTOA MIMBA. Kutoa mimba ni nini? Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake. Hebu tuyaangalie madhara ya kutoa mimba kama...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Kila mahari mabango yote ni dawa ya nguvu za kiume shida ni nink? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kifahamu kipindi cha baleghe kwa wavulana na wasichana. Ubalehe ni jumla ya mabadiliko ya mwili na ya roho yanayomfanya mtoto kuwa kijana halafu mtu mzima. Ufafanuzi. Ingawa kila mtu ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, kuna rafiki yangu sehem za siri anaumwa nisijue kaswende au kisonono na yupo katka hali ya kutoa usahaa kwa mujib yeye anavyosema make alianza kwa kuuma baada akiwa anamaliza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini za leo wakuu nimepatwa na hivyo vipele takribani mwezi wa pili sasa havikui vipo hivyo hivyo vipo katikati ha kwenye mfereji wa paja na korodani je huo ni ugongwa gani ....?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kuzaa mtoto mfu (stillbirth), kulingana na wanasayansi. Katika utafiti uliofanyika nchini Ghana, wanawake wajawazito ambao...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular diseases) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika nchi za Afrika kinyume miaka ya nyuma. Kati ya sababu mojawapo ni mabadiliko katika mitindo ya...
9 Reactions
11 Replies
9K Views
Mwenzenu nina tatizo la kula sana siku hizi hata sijui kwanini mwanaume nakula robo tatu ya kilo mlo mmoja na najikuta napata njaa baada ya mda mfupi . Kazi zangu ni za kiproffessional ila zina...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Jeni za nguruwe zimeimarishwa kisayansi ili kuweza kusaidia kumaliza ukosefu wa viungo vya mwili katika upandikishaji , watafiti wa Marekani wamesema. Wanasayansi walioondoa virusi ndani ya jeni...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Streptococcal Necrotizing Fasciitis Ndugu wana jamvi, mwenye ufahamu na ugomjwa huu hapo juu naomba anifahamishe matibabu yake, kuna ndugu yangu nimembiwa ana ugonjwa huu, alianza kutoka kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu naona thread nyingi za kukandia dada zetu kuhusu harufu sehemu za siri. Binafsi nawashangaa hawa wakosoaji kwanini wanakuwa wasema hovyo. Wengi wao nimegundua mapenzi wameyajua sasa...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
Back
Top Bottom