The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 464
- 704
Nina miaka sita sasa tangu ni balehe nakushuhudia chunusi kwa mara ya kwanza kwenye uso wangu lakini chunusi hazina dalili ya kutoka nitumie dawa gani au sabuni gani msaada tafathali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app