MTU MWENYE DALILI HIZI ANAUMWA NINI??

Mpeleke hospitali mkuu hapa tutapiga ramli chonganishi tu.

Ila huko akienda atapata vipimo vya uhakika na matibabu pia.
 
Mpeleke kwa daktari, dalili hizo haziwezikuhitimisha ugonjwa wowote kwa uhakika.

Macho mekundu mtu anaweza kupata kwa kukosa usingizi tu.

Kuharisha hata kwa kula kitu ambachotumbo halipatani nacho unaweza kuharisha.

Mkojowa njano hata mtu mwenye afya nzuri tu asipokunywa maji ya kutosha atakojoamkojo wa njano.
 
Kwanza kabla ya kukujibu ningependa kujua yafuatayo je huyo mtu ana umri gani na hiyo hali ya kuharisha imemuanza toka lini na vipi joto la mwili liko sawa nikimaamisha kuwa anahoma au yuko sawaaa na je kuna vitu vingine vinamsumbua mbali ma hivyoooo by Dr.RASO
 
Lakin kwa mda mrefu vyote kwa pamoja inatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kat ya miaka 25-26... Imeanza taratibu sahv inaenda kuwa ndo kawaida... Homa anapata mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin kwa mda mrefu vyote kwa pamoja inatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu inatisha, hapo ndipo umuhimu wa kwenda kwa daktari unahitajika.

Kwa mfano, daktari anaweza kumpima damu na stool kujua kisayansi kwa kuangalia vimelea kwamba kuna ugonjwa gani.

Hata kama ukikutana na daktari hapa JF, kufanya vipimo mtandaoni ni kimbembe.

Kwa kweli madili ya udaktari yanakataza kuagua mtu anaumwa ugonjwa gani kwa kupewa dalili tu hivi mtandaoni.
 
duh pole sana, nenda hospitali ya karibu yeyeto , kuhusu dalili kuwa ni ugonjwa gani inategemea na prescriptions ambazo dokta atakufanyia...ila for imergence fanya kuangalia hali yake kabla ilikuaje, amekula nini, ninikimeanza na umri na mazingira anapoishi...kama kuna antibiotic atangulize kupunguza makali ya tatizo
 
Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu inatisha, hapo ndipoumuhimu wa kwenda kwa daktari unahitajika.

Kwa mfano, daktarianaweza kumpima damu na stool kujua kisayansi kwa kuangaliavimelea kwamba kuna ugonjwa gani.

Hata kama ukikutana na daktari hapa JF, kufanya vipimomtandaoni ni kimbembe.

Kwakweli madili ya udaktari yanakataza kuagua mtu anaumwa ugonjwa gani kwa kupewa dalili tu hivi mtandaoni.
Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom