Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,135
2,000
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .

Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.

Please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,956
2,000
Ni bahati nzuri tu mkuu mkeo aendelee kumnyonyesha mtoto kama atapenda. Matatizo yanakuja mtoto mpya anapozaliwa au morning sickness zinapozidi mnasahau kuwa huyu bado ni mtoto na anahitaji mapenzi.
Hata kama mkeo anakuhitaji jitahidi kuwa na muda na dogo hata mwingine akizaliwa
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,651
2,000
Mm nilimpumzisha mama watoto miezi 6 halaf akaenda kuweka vijiti ndio tukaanza kujiachia vzr
 
Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,317
2,000
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .

Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.

Please.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio jambo jema kwa wanandoa kutoa ujauzito kwa sababu kama hii uliyoitaja wewe! Ukiendekeza huu mchezo, mkeo anaweza akajenga mazoea. Iko siku mkeo atapata ujauzito lakini mkakosana tu kidogo au yeye akawa hapendi kuwa na ujauzito basi akautoa na kukudanganya kuwa ujauzito huo umeharibika!

Kwa sasa mkeo amnyonyeshe mtoto kwa miezi hata 6 ijayo ili huyu wa sasa afikishe mwaka mmoja halafu amwachishe! Wakati huo mama ujauzito wake utakuwa unaelekea au umefika miez 6. Kwa mda huo sidahani kama huyu mtoto atapata athali yoyote!

Kumbuka, hali hii haijakukuta peke yako, ni wanandoa wengi hukumbwa na tatizo kama hili hasa kwa mtoto wa kwanza na wa pili!

Kila la kheri!
 
Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,488
2,000
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .

Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.

Please.

Sent using Jamii Forums mobile app
watoto ni furaha..ni pambo la nyumba.
ukimflash huyo alieko tumboni ni saqa na kunyonga huyu wa miez minne ulombeba..wote ni binadamu sawa.
nashauri mama alee mimba hiyo..mtafutie housegirl wa kumsaidia kazi za nyumbani..mtoto huyo wa miez minne aendelee kunyonya hadi afike miez sita amuanzishe vyakula vingine..kama uji..maziwa..cerelac..mtori..

zaeni hao wswili mapema akijifungua mpeleke hosp akaekwe kijiti ili isiwe hivi tena..baadae mkiamua kuongeza mtoto atavitoa na kubeba mimba nyingine
 
New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,186
2,000
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .

Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.

Please.

Sent using Jamii Forums mobile app
Io aibu aipekiki...mkuu toeni io mimba..mtoto bdo mdogo sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,191
2,000
Mkuu umekosea mwanamke akishazaa kizazi chake kinakua bado hakijafunga so mimba ni Dk sifuri tu inaingia,ulitakiwa kujizuia au ungepiga tu nyeto kuliko kumparamia huyo mama mtoto na ulishindwa nn kutumia condom,take care utasababisha matatizo kwa hicho kichanga chenu atanyonya maziwa yenye uchafu mwisho wa siku anadumaa gonga na condom
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom